enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Ajibu kunguru tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kazi ya kiutendaji imekwama?Ceo badala ya kufatilia timu kazi kufanya ziara ya kujifunza ile nafasi haiitaji mtu wa kujifunza leo mtamkumbuka Kigwangala
Ajibu ndo mmemrushia zigo sasa.Ajibu kunguru tu.
Ulikuwa unaona utendaji wa Senzo , ceo ni kiungo kati ya timu na uongoziKuna kazi ya kiutendaji imekwama?
Kwamba CEO ndo anawafanya kina ajibu wacheze vibaya?
Unazijua hata kazi za CEO lakin?
Punguza ujuaji
Sehemu kubwa hayana mashiko Zaid ya nadharia ya kufikirika na huenda very tactical thinker wanaweza iona ni habari swali inatoka kwa maslahi ya Nani?1. Posho ya Wachezaji imekuwa ikipunguzwa na kuna muda hawakupewa kabisa isivyo kawaida na Mo Dewji anafichwa
2. Kuna Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji hali ambayo imesababisha Chuki na Majungu baina yao
3. Kocha Sven Vandebroek amechokwa kutokana na Misimamo yake ya Kutopangiwa Timu na sasa anachomeshwa afukuzwe
4. Kocha Msaidizi Matola na Kocha wa Makipa Mwarami kuongoza kwa Majungu kwa Kipa Kakolanya kwa Kumpendelea Manula
5. Kuna Wataalam (Waganga) Wawili Mmoja kutoka Kisiwani na mwingine Morogoro wamedhulimiwa Pesa yao japo ilitolewa
6. Hali ya Uchumi sasa Klabuni si nzuri kutokana na 'Mwekezaji' Hela yake nyingi kuitoa Kukisaidia Chama fulani katika Kampeni
7. Usaliti mkubwa baina ya Viongozi 'Waandamizi' wa Klabu kutoka pande zote mbili za Mwekezaji na ule wa Wanachama
Mo Dewji na 'Poti' wangu Magori ambaye ni Mshauri Mkuu wa Mwekezaji ambao wote kwa ujumla najua huwa mnanisoma mno tu GENTAMYCINE hapa Jamvini (JamiiForums) tafadhalini upesi sana 'okoeni' hii hali kwa kuanzia huko 'Uongozini' Kwenu mlipo ila 'ikiwapendeza' upesi sana Vunjeni Benchi lote la Ufundi kwani Kocha Mkuu 'hasikilizwi' na Msaidizi Matola ana 'Majungu' kupitiliza.
Tuambie wewe uliyeuona Utendaji wa Senzo, Tofauti na sasa nini?Ulikuwa unaona utendaji wa Senzo , ceo ni kiungo kati ya timu na uongozi
Huo ni utovu wa nidhamu na hakuna professionalism hapo na huyo kipa hatacheza tenaKuna mchezaji alikua akizozana na Matola baada ya mechi ya Ruvu kuisha. Hiki hakikukua kiashiria kizuri kwa watani wetu.
Huo ni utovu wa nidhamu na hakuna professionalism hapo na huyo kipa hatacheza tena
Papaso squarePapaso
We unaishi ulaya au africaHiyo no,5 ina maana karne hii timu bado inategemea ushirikina?
Wapo sawa huyo Rweymamu ana majungu sana ndio alikuwa anamuingilia uchebe eti ampangie kikosi, kipa wa makipa hakuwa na vyeti anafundishia uzoefu safi sanaRwemamu na kocha wa makipa wametupiwa virago kisa wapo karibu na Masingisa daaah kuna kitu kinaemdelea pale simba kwa kweli
Fafanua hapo ktk pichi ndogoHakuna lolote credict ziende kwa Ruvu na Prisons. Simba imepata ushindi wa tabu Sana na Ihefu Sokoine, ikadroo na mtibwa jamhuri morogoro, ikafungwa na Prisons na Jkt. Simba huwa inapata tabu Sana ikicheza na timu zinatumia mtindo wa "low block" na kukaba kwa nguvu hasa kwenye hivi viwanja vya zamani ambavyo pichi ni vidogo. Kwenye hizi mechi mbili za mwisho kukosekana kwa striker mwenye nguvu kumeiathiri Sana timu kwani ili uweze kuipenya defense ya timu inayocheza mtindo huu lazima striker aweze kuhold Mpira na awe na uwezo wa kugombea mipira ya juu. Vyote hivyo Simba hawakua navyo. Pichi ya Uwanja wa Mkapa ni mkubwa hata timu zikitumia mfumo huu Bado kunakuwa na nafasi kubwa Kati ya wachezaji. Watanzania tujifunze sayansi ya Mpira inatangulia kabla ya siasa ya Mpira. Huwezi kulaumu uongozi katika Jambo linaloonekana wazi kiufundi.