Kama wewe ni mwanachama active wa JF na kuna mada inazungumzwa mahali unapoishi na ukashindwa kuchangia chochote wewe ni sawa na bure

Kama wewe ni mwanachama active wa JF na kuna mada inazungumzwa mahali unapoishi na ukashindwa kuchangia chochote wewe ni sawa na bure

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Kama wewe ni mwanachama active wa JF angalau kwa miaka miwili na kuna mada ikawa inazungumzwa ambayo haitegemei taaluma fulani na ukashindwa kuchangia chochote angalau 50% basi wewe ni sawa na bure na hauna haja tena ya kuendelea kutumia JF maana umeshindwa kabisa kuchota maarifa ya humu.

Humu almost kila mada imeshazungumzwa na pia hata kama mada ni mpya ila ni mwanachama mzoefu wa humu basi hatutarajii ukose chochote cha kuchangia huko ulipo kama tu haiusishi taaluma moja kwa moja.
 
Hawakawi kusema Jamaa anajifanya msomi sana kila kitu anajua kicheki,
Kukaa kimya nibora kuliko kupoteza nguvu
Upo sahihi kabisa Mkuu,
Sio kila muda ujifanye unajua kila kitu,

Halafu anasema mwana JF angalau uchangie mada 50%
Ana uhakika gani kua kwenye hilo kundi kutakua na mwana JF mmoja tu?
Inawezekana kabisa kua hilo kundi wote ni wana JF ila hamjuani coz hakuna anayetaka kujulikana.
 
Soma vizuri bandiko langu.
Usikurupuke.
 
Kwaiyo mnatupangia matumizi ya bando na muda wetu

Sio kila ugomvi lazma upigane ugomvi mwingne unaangalia dhamani ya ugomvi kwanza
 
Back
Top Bottom