Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
ChaiKama wewe ni mwanachama active wa JF angalau kwa miaka miwili na kuna mada ikawa inazungumzwa ambayo haitegemei taaluma fulani na ukashindwa kuchangia chochote angalau 50% basi wewe ni sawa na bure na hauna haja tena ya kuendelea kutumia JF maana umeshindwa kabisa kuchota maarifa ya humu.
Humu almost kila mada imeshazungumzwa na pia hata kama mada ni mpya ila ni mwanachama mzoefu wa humu basi hatutarajii ukose chochote cha kuchangia huko ulipo kama tu haiusishi taaluma moja kwa moja.