Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Yaani ule mpango wetu ndio unausaliti kwa design hii.
Halafu mimi sio wa dar ni mfugaji wa Mang'ombe hapa kahama
Halafu mimi sio wa dar ni mfugaji wa Mang'ombe hapa kahama
Msimamo unilinde,siwezi kudate na mwanaume anayeishi Dar,yaani sijui kwa nini ila kwa kifupi ukinifuata pm ukishanambia upo Dar huwa sireply.moyo hupendi wanaume wanaokaa Dar
Kama unakaa Dar,usisumbuke kunipm,hutajibiwa,au hutatimiza lengo lako
Asante