Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
wa tarime tuje?Msimamo unilinde,siwezi kudate na mwanaume anayeishi Dar,yaani sijui kwa nini ila kwa kifupi ukinifuata pm ukishanambia upo Dar huwa sireply.moyo hupendi wanaume wanaokaa Dar
Kama unakaa Dar,usisumbuke kunipm,hutajibiwa,au hutatimiza lengo lako
Asante