Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,792
Umesoma hizo links kwanza?Mkuu nini maana ya Probability...?
Ndio mkuu, nimezipitia.Umesoma hizo links kwanza?
Hujajibu swali langu, unaweza kutumia logic kupanga mambo ya kufanya kesho?
Ndio mkuu, nimezipitia.
Unawezekana au isiwezekane kutumia logic kupanga mambo ya kufanya wakati ujaoSijauliza kama umezipitia, nimeuliza kama umesoma.
Hujajibu swali langu, unaweza kutumia logic kupanga mambo ya kufanya kesho?
Hii mara ya nne au zaidi nakuuliza hujibu swali.
Huyu nimemuuliza kwamba, tunaweza kupanga mambo ya kesho kwa kutumia logic?...Kwako Kiranga
Naomba nikuulize swali.Mkuu Kiranga naomba nikuulize swali..
Ili sentensi iwe ni ya inasifa za ki-logic inatakiwa iweje? Labda tuanzie hapa kwanza.
Unaelewa kwamba mpaka hapo ushajionesha hujui kujibu swali uliloulizwa?Unawezekana au isiwezekane kutumia logic kupanga mambo ya kufanya wakati ujao
... Kwako bwana Kizzy WizzyUnaelewa kwamba mpaka hapo ushajionesha hujui kujibu swali uliloulizwa?
Sijauliza kama haiwezekani, nimeuliza kama inawezekana, sasa kuniambia habari ya inawezekana au haiwezekani, hapo haiwezekani it was unnecessary kuweka, kwa sababu, tukiwa na ndoo yenye maji na mkojo vimechanganyika, nikikuuliza, ndoo hii ina mkojo, jibu lake ni "ndiyo, ndoo hii ina mkojo" si "ndoo hii ina maji na mkojo". Sijauliza maji, nimeuliza mkojo.
Sasa kama umesema logic ni lazima iende na mambo yanayojulikana kwa TRUE or FALSE.
Na kesho hatuna uhakika tutaiona kwa mfumo wa TRUE tutaiona au FALSE hatutaiona.
Hiyo logic unayosema tunaweza kutumia kupanga mambo ya kesho tunapanga vipi kwenye mambo ambayo hatujui kwa uhakika TRUE tutaiona kesho au FALSE hatutaiona kesho?
Umenibana sana kwamba logic haiwezi kutumika kwenye mambo ambayo hayana uhakika katika mfumo wa TRUE or FALSE.
Halafu unakubali kwamba logic inaweza kutumika kupanga mambo yasiyo na uhakika katika mfumo wa TRUE or FALSE.
Hata wewe mwenyewe unajua unasimamia upande gani?
You are contradicting yourself.
Ngoja nichimbue mkuu, unajua nilichogundua Kiranga ni mtu anaesoma sanaa vitabu, kwahiyo mkimuingia kichwakichwa unatoka kapa.... Kwako bwana Kizzy Wizzy
Mkuu, kwahiyo uko chimbo enhee, unaandaa nondo!!Ngoja nichimbue mkuu, unajua nilichogundua Kiranga ni mtu anaesoma sanaa vitabu, kwahiyo mkimuingia kichwakichwa unatoka kapa.
BTW
Hoja zangu na maswali yangu hakujibu hata moja.
Nimetaka kujua nn misingi ya tumaini lake..
Nani haswa anaemtumainia.
Kama alitegemea plobabikistic of logic alipaswa anionyeshe kutumaini kwake na hii nadharia kunaingiliana vp.
Unaponitaka nikujibu maswali yako, wakati hujajibu yangu ya awali, hutendei haki mjadala.Mkuu Kiranga
Nimezisoma hizo pages zinazopatikana kwenye hizo link zote mbili ulizonitumia na kuzielewa japokuwa sio mara yangu ya kwanza kusoma complex mathematics theories ila nikiri hizo concept ziko very advanced.
Turudi kwenye mada.....
Katika Logic kama logic ukisoma vizuri hizo link zako, wanatambua kwamba kuna utofauti uliopo kati ya logic na probability
1. Logic imebase au inatusaidia kupata qualitative or structure perspective on inference au kwa namna nyingine wamedadavua kwamba "deductive argument is based on the argument formal structure" while kwenye Probanility kuna utofauti kwani tunaangalia quantitative or numerical nature..!
Swali; kauli yako ulioitoa nanukuu "natumaini na ww mzima" ipo kwenye kipengele kipi hapo? Qualitative ambayo ndio logical sense yenyewe au quantitative ambayo ndio probability
Naomba nijibu hili swali ili twende kwa ufasaha.
2. Ukisoma vizuri hizo link, kuna kipengele zinatambua kwamba logic kama logic imegawanyika kuna "inductive logic" na "deductive logic" ambapo probability logic ime rely on deductive logic.... sasa baasi swali langu ni, Je umetumia vp deductive logic kutumaini kwamba jamaa atakuwa salama..? While deductive au probability logic imeegemea kwenye quantitative numerical aspects only, naomba niorodheshee au tuseme quantify aspects ulizotumia katika kugenerate truth table mpaka uka come upe with that conclusion kwamba "you hope he is okay"
Tuanzie hapo kwanza..
Hivi mkuu kati yangu mm na ww ni nani alienza kumhoji mwenzie maswali?Unaponitaka nikujibu maswali yako, wakati hujajibu yangu ya awali, hutendei haki mjadala.
Pia, maswali mengine unayoniuliza, kama kweli una nia ya kujadiliana, kujenga hoja na kujifunza mambo, ungeweza kupata majibu yake kama ungejaribu kujibu maswali ninayokuuliza.
Mimi natumia Socratic method, maswali ninayokuuliza yana maana sana katika kupata uelewa, ukiyadharau na kuyaruka, matokeo yake unaniuliza maswali ambayo majibu yake ungeweza kupata kama ungejaribu kujibu maswali yangu.
Aau angalau usingetatizwa na kuuliza maswali yanayoonesha tatizo lako hujafuatilia mjadala kwa makini, kwa kufikiri kwa kina kuhusu maswali niliyokuuliza.
Nimekuuliza:
Hiyo logic unayosema tunaweza kutumia kupanga mambo ya kesho tunapanga vipi na kutumia logic kwenye mambo ambayo hatujui kwa uhakika TRUE tutaiona kesho au FALSE hatutaiona kesho?
Umenibana sana kwamba logic haiwezi kutumika kwenye mambo ambayo hayana uhakika katika mfumo wa TRUE or FALSE.
Halafu unakubali kwamba logic inaweza kutumika kupanga mambo yasiyo na uhakika katika mfumo wa TRUE or FALSE (mambo ya kesho).
Hata wewe mwenyewe unajua unasimamia upande gani?
You are contradicting yourself.
Your question is as meaningless as it it general. Be specific please.Hivi mkuu kati yangu mm na ww ni nani alienza kumhoji mwenzie maswali?
Anhaaa kiranga uko bongo pamekucha chalianguYour question is as meaningless as it it general. Be specific please.
Pia, usikimbie swali langu.
Umesema logic ni lazima iendane kwa mambo ya kuthibitishwa kwa uhakika wa TRUE or FALSE.
Nikakuuliza, je, tunaweza kupanga mipango yetu ya mambo ya kesho kwa kutumia logic?
Ukasema inawezekana.
Nimekuuliza, sasa wewe unayesema logic ni lazima iende na mambo ya kuthibitishwa kwa uhakika wa TRUE or FALSE itatumikaje kwenye mambo ambayo hatuwezi kuwa na uhakika nayo kwa maana ya TRUE or FALSE, kwa sababu ni mambo ya kesho, na kesho hatuwezi kujua kama tutafika kwa uhakika wa TRUE or FALSE.
Umegwaya kujibu. Hutaki kujibu.
Kwa sababu umevurunda tangu mwanzo ulipoweka msingi wa mipaka ya wapi logic inaweza kutumika.
Hujui umesimamia wapi, unaji contradict.
Mara logic haiwezi kutumika kwenye mambo yasiyo na uhakika wa TRUE or FALSE, mara logic inaweza kutumika kwenye mambo yasiyo na uhakika wa TRUE or FALSE.
Hivi hata wewe mwenyewe unajua unataka kusema nini hapa?
Watu wanajicontradict kuanzia asubuhi wanavyoamka, mpaka usiku wanaenda kulala.Anhaaa kiranga uko bongo pamekucha chaliangu