Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Al-Watan ametoka visiwa vya Turks and Caicos sasa hivi anaelekea Antarctica.Wapi USA baby nyani ngabu?
Al watan pia ameadimika jamvini....
Al-Watan ametoka visiwa vya Turks and Caicos sasa hivi anaelekea Antarctica.Wapi USA baby nyani ngabu?
Al watan pia ameadimika jamvini....
Al-Watan ametoka visiwa vya Turks and Caicos sasa hivi anaelekea Antarctica.
Maandiko ya Yesu yamemtangaza Mungu ambaye hayupo. Kwa kutumia akili zake na mapokeo ya utamaduni wa jamii yake.
Kumtangaza Mungu si lazima awepo.
Gazeti la SANI limewatangaza Kipepe, Madenge, Lodi Lofa, Ndumilakuwili.
Wote hawapo hao. Ni fictional characters.
Aristablus Elvis Musiba alimtangaza Willy Gamba, kachero jasusi wa Kitanzania. Wa kutungwa, hayupo.
Kumtangaza fictional character hakumfanyi huyo fictional character awepo.
Mungu ni character katika hadithi ya kutungwa, hayupo.
Ndiyo maana mpaka leo nauliza wanaosema Mungu yupo wathibitishe yupo, wanashindwa.
Basi ni seme kwa nn alikujaKwa nini unauliza maagizo ya nani? Kwa nini swali liwe nani na siyo nini?
Huoni kwamba kwa kuuliza swali la nani tayari ushalenga kwenye jibu lako ulilo nalo mfukoni?
Unaweza kuthibitisha Yesu alikuja kwa maagizo ya yeyote?
Watu wote wanakuja duniani kuishi.Alikuja kufany nn mkuu na kwa sababu gani alikuja?
Watu wote wanakuja duniani kuishi.Basi ni seme kwa nn alikuja
Una hakika gani kwamba wewe ndiye utanisaidia mimi na si mimi ndiye nitakusaidia wewe?Biblia inasema Mungu ni Roho na imewapasa kumuabudu katika Roho na kweli. Yohana 4 mstari 24.Sasa swala la wewe kutaka kujua Mungu kama yupo kuna kanuni zake za kufuata than utamuona. Ntafute ntakusadia bure na hakika utamuona
Kwanini unatumaini..?Salama sana mkuu.
Natumaini na wewe salama.
Mh embu ngoja tumcheki atajibu nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You are so intelligent.
Kiranga hawezi kujibu haya maswali yako kwa ukamilifu. Am sure.
Kwanza kabisa, kabla ya kwenda mbali sana, mtu anaposema "natumaini" unaelewa nini?Kwanini unatumaini..?
Unamtumainia nani...? MUNGU AU SHETANI
Nini kinachokufanya uwe na matumaini kwamba jamaa yupo salama...?
Huoni kama hili tumaini lako linamtumainia Mwenye Mamlaka na asieonekana..?
Kupitia hii sentensi yako, nimepata picha kwamba moyoni mwako unafahamu dhahiri kuna Mamlaka ya Mwenye Mamlaka.
"Tumaini ni hali ya kutegemea jambo fulani liwe au litokee"Kwanza kabisa, kabla ya kwenda mbali sana, mtu anaposema "natumaini" unaelewa nini?
Unaweza ku define neno "tumaini"?
Swali hili ni muhimu, kwa sababu ili nikujibu swali lako vizuri, ni muhimu tukubaliane maana ya tumaini ni nini.
Maana ya tumaini ni nini?
Definition yako sina matatizo nayo sana."Tumaini ni hali ya kutegemea jambo fulani liwe au litokee"
"Tumaini ni hali ya kuwa na tamaa au matarijio ya kitu fulani" kwa mujibu wa oxford dictionaries
Sasa hapa huoni kwamba unatumani kitu kutoka kwenye nguvu zisizo onekana ambazo ndizo sisi tunaziita nguvu za kiMungu??
Okay tuseme conclusion yangu ni invalid na haifati protocal za logicDefinition yako sina matatizo nayo sana.
But.
Your conclusion is a logical non sequitur.
Unaelewa logical non sequitur ni nini?
Okay tuseme conclusion yangu ni invalid na haifati protocal za logic
Tuje kwako, kwann haukutumia logic kutambua kwamba jamaa atakuwa salama instead umetumia "tumaini"
Kipi kilichokufanya uwe na "tumaini" kuhusu Afya au hali ya jamaa
Logic ina pande mbili tu, TRUE au FALLACY/FALSE otherwise that is not logicNani kakwambia tumaini haliwezi kuwa katika msingi wa logic?
Kwa hiyo tumaini haliwezi kupatikana kutokana na hiyo logic yako ya TRUE au FALSE?Logic ina pande mbili tu, TRUE au FALLACY/FALSE otherwise that is not logic
Kama ulikuwa unategemea logic kutambua hali ya jamaa usitetanguliza neno "natumaini" hili neno limetengua nadharia nzima ya logicLogic ina pande mbili tu, TRUE au FALLACY/FALSE otherwise that is not logic