Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Yesu alkuja kwa maagizo ya nan hujajibu mkuu
Kwa nini unauliza maagizo ya nani? Kwa nini swali liwe nani na siyo nini?

Huoni kwamba kwa kuuliza swali la nani tayari ushalenga kwenye jibu lako ulilo nalo mfukoni?

Unaweza kuthibitisha Yesu alikuja kwa maagizo ya yeyote?
 
Wewe hujui kitu kuhusiana na hii TAASISI.
APPEARENCE AND REALITY ARE NOT THE SAME.
 
Ukikubaliana nao unakula bata kwa kwenda mbele. Utajiri, cheo na umaarufu
 
Ukikubaliana nao unakula bata kwa kwenda mbele. Utajiri, cheo na umaarufu
 
Waumini wa Yesu wamelishwa matango porii na wachungaji ambao na wao hawajui kitu niwapiga deal tuu na kunyanganya pesa za watu wasio na uelewa..

Christian ndio watu wavivuu na watumwa kwenye upande wa imani..Wote wanasubiria kukombolewa kwenye ujinga wao na mtu kutoka mawingunii..
Poleni sana..
 
Huyu jamaa anapotosha watu! Yaani unawapigia debe hao jamaa, jiunge mwenyewe hatuna haja sisi.
 
Wewe ni mpumbavu.
Hujathibitisha Mungu yupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote ni hadithi tu.

Hayupo.

Umesema mimi mpumbavu.

Tuseme uko sawa, umepatia. Mimi ni mpumbavu. Tufanye hivyo.

Hata mimi kuwa mpumbavu, ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao viumbe wake wanaweza kuwa wapumbavu.

Wewe unaona ukiniita mpumbavu unanitukana.

Mimi nakwambia, hata kama uko sawa kuniita mimi mpumbavu, kama kweli mimi mpumbavu, huo ni ushahidi zaidi kwamba Mungu hayupo.

You are helping me to make my point.

Kwamba Mungu hayupo.

Unazidisha kuonesha ushahidi kwamba Mungu hayupo.

Upumbavu wa watu ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao viumbe wapumbavu wanaweza kuwepo.
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote ni hadithi tu.

Hayupo.

Umesema mimi mpumbavu.

Tuseme uko sawa, umepatia. Mimi ni mpumbavu. Tufanye hivyo.

Hata mimi kuwa mpumbavu, ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao viumbe wake wanaweza kuwa wapumbavu.

Wewe unaona ukiniita mpumbavu unanitukana.

Mimi nakwambia, hata kama uko sawa kuniita mimi mpumbavu, kama kweli mimi mpumbavu, huo ni ushahidi zaidi kwamba Mungu hayupo.

You are helping me to make my point.

Kwamba Mungu hayupo.

Unazidisha kuonesha ushahidi kwamba Mungu hayupo.

Upumbavu wa watu ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao viumbe wapumbavu wanaweza kuwepo.
Kumbe hujui hata wapumbavu walianzaje... Kasome Mwanzo 3
 
Kumbe hujui hata wapumbavu walianzaje... Kasome Mwanzo 3
Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujaeleza kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao wapumbavu wanaweza kuwepo, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao wapumbavu hawawezi kuwepo.

Mwanzo 3 nimesoma, haijibu swali hili.

Jibu swali.

Kama hata kulielewa umelielewa.

Maana unaponitajia Mwanzo 3, unaonekana hujaelewa swali.
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujaeleza kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao wapumbavu wanaweza kuwepo, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao wapumbavu hawawezi kuwepo.

Mwanzo 3 nimesoma, haijibu swali hili.

Jibu swali.

Kama hata kulielewa umelielewa.

Maana unaponitajia Mwanzo 3, unaonekana hujaelewa swali.
Mwanzo 3 sura nzima inaeleza tukio gani?
 
Rudi tena kafanye utafiti ndo uje, hao watu ni hatari
Miaka kadhaa iliyopita nilitangaza hapa JF adhima yangu kufanya utafiti kuhusu uchawi na imani za siri.

Safari yangu katika tafiti kuhusu uchawi ilinifikisha kwa Mungu wa Kabili, mganga wa Jadi anaetajwa kama mganga mwenye nguvu kubwa za kiganga kuliko waganga wote wanaopatikana katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki kati na Kusini mwa Afrika.

Nianze kwa kutoa shukurani zangu za dhati kwa Mungu wa Kabili kusema ukweli ameniongoza vizuri sana na kunipa mwanga halisi kuhusu masuala yote yanayo husiana na uganga, uchawi, ulozi, imani za jadi, upagani, imani za kale na imani za siri.

Nirudi kwenye mada yangu kuhusu imani za siri.Dokta Mungu wa Kabili alinieleza kwa kina kuhusu vikundi mbalimbali vya siri duniani ambavyo vinatajwa kuwa na mafundisho ya kiimani ya siri ambayo hujulikana tu kwa memba wao. Vikundi hivyo ni kama Freemasons na Rosecrucians kwa kutaja vichache. Nijikite kwa Freemasons. Mungu wa Kabili aliniambia mambo mengi sana ya kushangaza kuhusu Freemasons.

Kwa ufupi kabisa mambo nillyo jifunza kuhusu Freemasons ni kama ifuatavyo;

1.Freemasons wanafundishwa kuhusu Mungu aliye uumba ulimwengu na namna ya kuishi hapa duniani katika namna impendezayo yeye.Watu wa dini zote wangefundishwa kuhusu Mungu katika namna wanayo fundishwa Freemasons basi dunia ingekuwa sehemu nzuri sana ya kuishi.Mafundisho ya Freemasons kuhusu Mungu yanamchambua Mungu vizuri sana.

2.Freemasons wanafundishwa kuhusu ulimwengu, wanadamu na vitu vyote vilivyo ndani yake vinavyo onekana na visivyo onekana katika namna ambayo watu wa imani nyinginezo hawafundishwi.

3.Freemasons hawaamini kabisa katika black magic kwa hiyo ile dhana ya kwamba eti ukitaka utajiri nenda kajiunge Freemason umtoe kafara nduguyo ni dhana Potofu kutoka kwa watu wasio na ufahamu wowote kuhusu what freemasonry is.

4. Mfumo wa mafundisho ya freemasonry umenifanya nigundue kitu kimoja kwamba dini ya ukweli ni lazima iwe ya siri. Siri hiyo ndiyo inayo wapa waasisi wa dini au imani hiyo kuwa na nguvu dhidi ya watu wengine.

5.Kitu kingine nimegundua kwamba upako wa uhakika unapatikana kwa kujua siri zilizofichwa nyuma ya uwepo wa mambo yasiyo julikana.
 
Mwanzo 3 sura nzima inaeleza tukio gani?
Inaelezea tukio baada ya Mungu kuumba ulimwengu. Linaloitwa anguko.

Swali langu linauliza kabla ya ulimwengu kuumbwa.

Kwa nini Mungu hakuchagua kuumba ulimwengu ambao mtu hawezi kukosea?

Hujaelewa swali. Hivyo, hujajibu swali nililouliza.

Nimeuliza, kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hakuumba ulimwengu ambao kiumbe wake hawezi kukosea?

Unanijibu kwa kunionesha sehemu mtu alipokosea.

Hujaelewa swali. Hivyo hujalijibu.

Ndiyo maana mnafeli mitihani.

Genesis 3 New International Version (NIV)

The Fall

3 Now the serpent was more crafty than any of the wild animals the Lord God had made. He said to the woman, “Did God really say, ‘You must not eat from any tree in the garden’?”
2 The woman said to the serpent, “We may eat fruit from the trees in the garden, 3 but God did say, ‘You must not eat fruit from the tree that is in the middle of the garden, and you must not touch it, or you will die.’”
4 “You will not certainly die,” the serpent said to the woman. 5 “For God knows that when you eat from it your eyes will be opened, and you will be like God, knowing good and evil.”
6 When the woman saw that the fruit of the tree was good for food and pleasing to the eye, and also desirable for gaining wisdom, she took some and ate it. She also gave some to her husband, who was with her, and he ate it. 7 Then the eyes of both of them were opened, and they realized they were naked; so they sewed fig leaves together and made coverings for themselves.
8 Then the man and his wife heard the sound of the Lord God as he was walking in the garden in the cool of the day, and they hid from the LordGod among the trees of the garden. 9 But the Lord God called to the man, “Where are you?”
10 He answered, “I heard you in the garden, and I was afraid because I was naked; so I hid.”
11 And he said, “Who told you that you were naked? Have you eaten from the tree that I commanded you not to eat from?”
12 The man said, “The woman you put here with me—she gave me some fruit from the tree, and I ate it.”
13 Then the Lord God said to the woman, “What is this you have done?”
The woman said, “The serpent deceived me,and I ate.”
14 So the Lord God said to the serpent, “Because you have done this,

“Cursed are you above all livestock
and all wild animals!
You will crawl on your belly
and you will eat dust
all the days of your life.
15 And I will put enmity
between you and the woman,
and between your offspring[a] and hers;
he will crush (b) your head,
and you will strike his heel.”

16 To the woman he said,

“I will make your pains in childbearing very severe;
with painful labor you will give birth to children.
Your desire will be for your husband,
and he will rule over you.”

17 To Adam he said, “Because you listened to your wife and ate fruit from the tree about which I commanded you, ‘You must not eat from it,’

“Cursed is the ground because of you;
through painful toil you will eat food from it
all the days of your life.
18 It will produce thorns and thistles for you,
and you will eat the plants of the field.
19 By the sweat of your brow
you will eat your food
until you return to the ground,
since from it you were taken;
for dust you are
and to dust you will return.”

20 Adam[c] named his wife Eve,[d] because she would become the mother of all the living.
21 The Lord God made garments of skin for Adam and his wife and clothed them. 22 And the Lord God said, “The man has now become like one of us, knowing good and evil. He must not be allowed to reach out his hand and take also from the tree of life and eat, and live forever.”23 So the Lord God banished him from the Garden of Eden to work the ground from which he had been taken. 24 After he drove the man out, he placed on the east side[e] of the Garden of Eden cherubim and a flaming sword flashing back and forth to guard the way to the tree of life.[/b]
 
Wewe umeuliza kwanini kuna matatizo majanga maafa na adha sasa jibu ni kwasababu ya dhambi zako kama ulivyosoma kwenye Mwanzo
 
Mbona kama sio utafiti ,kwa maana vitu viingi vinavyofanyika kwenye utafiti hujaviweka wazi
 
Back
Top Bottom