Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Miaka kadhaa iliyopita nilitangaza hapa JF adhima yangu kufanya utafiti kuhusu uchawi na imani za siri.

Safari yangu katika tafiti kuhusu uchawi ilinifikisha kwa Mungu wa Kabili, mganga wa Jadi anaetajwa kama mganga mwenye nguvu kubwa za kiganga kuliko waganga wote wanaopatikana katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki kati na Kusini mwa Afrika.

Nianze kwa kutoa shukurani zangu za dhati kwa Mungu wa Kabili kusema ukweli ameniongoza vizuri sana na kunipa mwanga halisi kuhusu masuala yote yanayo husiana na uganga, uchawi, ulozi, imani za jadi, upagani, imani za kale na imani za siri.

Kuna mambo ambayo wengi hamjui pamoja na Mungwa wa kabili aliyekupa hii elimu. Hawa free mason ni watu wanaocheza na akili ya binadamu ktk kuficha siri zao au kuhakikisha ukweli halisi hauwekwi wazi lkn wao nyuma ya pazia wakiendelea na mipango na taratibu zao. Hawa jamaa wana mfumo unaitwa REFORMED PALLADIAN RITE au REFORMED PALLADIUM na utaratibu huu una makundi mawili:
1:WAANGAZIWA -ASKED au brothers hawa wanajulishwa na walijulishwa na kufundishwa ukweli juu ya yule wanayemwabudu ya kuwa ni LUCIFER. Kundi la pili.
2:COMPANION OF ULYSSES AU COMPANION OF PENELOPE hawa wanafundishwa ukweli ktk mtindo wa kinyume kuwafanya wasijue kile wanachokiabudu huku wakidhani wanakifahamu. Na hapa ndipo watu wengi huangukia wakifundishwa kwamba freemason ni watu wa kawaida. Kutokana na mafundisho yao kuna maana mbili maana ya ndani na maana ya nje, hivyo Mungwa wa Kabili alikufundisha yale ya nje kwa sababu yeye si mwangaziwa (EENLIGHTENED) kwa kifupi tu mkuu utakuwa umenielewa kidogo. Na. hadi mwaka 1954 walikuwa wameshatengeneza digrii 24kati ya 34 walizo nazo kwa sasa. Na zilitengenezwa na CATHOLIC JESUITS ktk chuo cha CLERMOUNT jijini Paris mwaka huo 1954.digrii za mwanzo ni hizi:
1.Apprentice
2.Fellow craft
3.Master - hii aliipata JAY Z mwaka 2012
4.secrete master
5.Perfect master
6.Intimate secretary
7.Intendate of the building
8.Prorost and judge
9.Elect of nine
10.Elect of fifteen
11.Illustrious elect, chief of the eight tribes
12.Grand master archtect
13.Royal arch
14.Grand elect, ancient, perfect
Master
15.Knight of the sword
16.Prince of Jerusalem
17.Knight of the east and west
18.Rose croix knight
19.Grand pontiff
20.Grand patriarch
21.Grand master of the key of Freemasonry
22.Prince of Libanus
23.Sovereign prince of adept chief
24.Illustrious Knight commander of the black and white eagle
25.most illustrious sovereign prince of Freemasonry, grand knigt, sublime commander of the royal secret.
To be cont... NB: KUMBUKA KUWA FREEMASON HAWANA SHIDA NA DHEHEBU LAKO.
 
Degree za free masons zipo tatu tu hizo 33 ni utaratibu wa Freemasons wa Scotland ambao wamezibreak down hizo hizo tatu
 
Unajua mwenyewe nimefanya research sana kuhusu Freemansory nikaja kugundua kuwa wanachokijua wengi kuhusu hawa jamaa sio kweli na ni upotoshaji tu.

Freemasons sio watu kama wanavyofikiriwa ila ni moja kati ya secret societies ambazo zina maamuzi na impact kubwa sana katika matukio yanayoendelea duniani kila uchwao

Vipi tena? Societies za Simba ,tembo ,panya au??
 
.

Kuna mambo ambayo wengi hamjui pamoja na Mungwa wa kabili aliyekupa hii elimu. Hawa free mason ni watu wanaocheza na akili ya binadamu ktk kuficha siri zao au kuhakikisha ukweli halisi hauwekwi wazi lkn wao nyuma ya pazia wakiendelea na mipango na taratibu zao. Hawa jamaa wana mfumo unaitwa REFORMED PALLADIAN RITE au REFORMED PALLADIUM na utaratibu huu una makundi mawili:
1:WAANGAZIWA -ADELPH au brothers hawa wanajulishwa na walijulishwa na kufundishwa ukweli juu ya yule wanayemwabudu ya kuwa ni LUCIFER. Kundi la pili.
2:COMPANION OF ULYSSES AU COMPANION OF PENELOPE hawa wanafundishwa ukweli ktk mtindo wa kinyume kuwafanya wasijue kile wanachokiabudu huku wakidhani wanakifahamu. Na hapa ndipo watu wengi huangukia wakifundishwa kwamba freemason ni watu wa kawaida. Kutokana na mafundisho yao kuna maana mbili maana ya ndani na maana ya nje, hivyo Mungwa wa Kabili alikufundisha yale ya nje kwa sababu yeye si mwangaziwa (EENLIGHTENED) kwa kifupi tu mkuu utakuwa umenielewa kidogo. Na. hadi mwaka 1954 walikuwa wameshatengeneza digrii 24kati ya 34 walizo nazo kwa sasa. Na zilitengenezwa na CATHOLIC JESUITS ktk chuo cha CLERMOUNT jijini Paris mwaka huo 1954.digrii za mwanzo ni hizi:
1.Apprentice
2.Fellow craft
3.Master - hii aliipata JAY Z mwaka 2012
4.secrete master
5.Perfect master
6.Intimate secretary
7.Intendate of the building
8.Prorost and judge
9.Elect of nine
10.Elect of fifteen
11.Illustrious elect, chief of the eight tribes
12.Grand master archtect
13.Royal arch
14.Grand elect, ancient, perfect
Master
15.Knight of the sword
16.Prince of Jerusalem
17.Knight of the east and west
18.Rose croix knight
19.Grand pontiff
20.Grand patriarch
21.Grand master of the key of Freemasonry
22.Prince of Libanus
23.Sovereign prince of adept chief
24.Illustrious Knight commander of the black and white eagle
25.most illustrious sovereign prince of Freemasonry, grand knigt, sublime commander of the royal secret.
To be cont... NB:FREEMASON HAWANA SHIDA NA DHEHEBU LAKO.
 
Am very sympathetic with you ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freemasonry Degree zipo tatu tu. Hizo 33 ni mfumo wa Freemasonry wa Scotland ambao wame zi break down hizo hizo tatu na kuzifanya kuwa 33.
Na sababu ni hiyo namba 33. Ina maana kubwa sana katika freemasonry
.

Kuna mambo ambayo wengi hamjui pamoja na Mungwa wa kabili aliyekupa hii elimu. Hawa free mason ni watu wanaocheza na akili ya binadamu ktk kuficha siri zao au kuhakikisha ukweli halisi hauwekwi wazi lkn wao nyuma ya pazia wakiendelea na mipango na taratibu zao. Hawa jamaa wana mfumo unaitwa REFORMED PALLADIAN RITE au REFORMED PALLADIUM na utaratibu huu una makundi mawili:
1:WAANGAZIWA -ADELPH au brothers hawa wanajulishwa na walijulishwa na kufundishwa ukweli juu ya yule wanayemwabudu ya kuwa ni LUCIFER. Kundi la pili.
2:COMPANION OF ULYSSES AU COMPANION OF PENELOPE hawa wanafundishwa ukweli ktk mtindo wa kinyume kuwafanya wasijue kile wanachokiabudu huku wakidhani wanakifahamu. Na hapa ndipo watu wengi huangukia wakifundishwa kwamba freemason ni watu wa kawaida. Kutokana na mafundisho yao kuna maana mbili maana ya ndani na maana ya nje, hivyo Mungwa wa Kabili alikufundisha yale ya nje kwa sababu yeye si mwangaziwa (EENLIGHTENED) kwa kifupi tu mkuu utakuwa umenielewa kidogo. Na. hadi mwaka 1954 walikuwa wameshatengeneza digrii 24kati ya 34 walizo nazo kwa sasa. Na zilitengenezwa na CATHOLIC JESUITS ktk chuo cha CLERMOUNT jijini Paris mwaka huo 1954.digrii za mwanzo ni hizi:
1.Apprentice
2.Fellow craft
3.Master - hii aliipata JAY Z mwaka 2012
4.secrete master
5.Perfect master
6.Intimate secretary
7.Intendate of the building
8.Prorost and judge
9.Elect of nine
10.Elect of fifteen
11.Illustrious elect, chief of the eight tribes
12.Grand master archtect
13.Royal arch
14.Grand elect, ancient, perfect
Master
15.Knight of the sword
16.Prince of Jerusalem
17.Knight of the east and west
18.Rose croix knight
19.Grand pontiff
20.Grand patriarch
21.Grand master of the key of Freemasonry
22.Prince of Libanus
23.Sovereign prince of adept chief
24.Illustrious Knight commander of the black and white eagle
25.most illustrious sovereign prince of Freemasonry, grand knigt, sublime commander of the royal secret.
To be cont... NB:FREEMASON HAWANA SHIDA NA DHEHEBU LAKO.
 
We umekomaa na poiti yako ya pembe Tatu, mfano ambao hauna mantiki yeyote! Mwanadamu alipewa free will, achague mema au atende anavyo ona yeye, kuhusu watu kurusha mabomu, uzinzi, mauaji, na mambo mengine ni mwanadamu amechagua mwenyewe kama wewe ulivyo chagua kumkana Mungu! Huo ni uchaguzi wako, Usipotoshe watu kwa pointi zako za kijinga!
 
Empty mind
 
Kiranga Acha Ubabaishaji! Nimekuuliza Swali "Nani" Au "Nini" Unachotakiwa Ni kunijibu Tu kuwa Ni Kipi! Kama tuliumbwa na hesabu Sema "Hesabu"! Kama Na Tulizuka Tu Sema "Tulizuka" Kama tuliumbwa Na mbuzi Sema "Mbuzi" Usianze Kuingia Kwenye Vichaka na Kutafuta mbinu za kulikwepa swali kijanja! "Sema hapa Dunia Inakusikia Kiranga"
Kiranga ni mbabaishaji hajielewi, we jibu swali mbona unamkwepa
 
We kakojoe
Miminaweza kushindwa kujibu swali lolote katika ulimwengu ambaoMungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kushindwa kwangu kujibu swali lolote kunaweza kuelezewakwamba kunatokana na kutojua mambo.

Katika ulimwengu ambao Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote yupo, na kaumba ulimwengu, hakuna mtu yeyote ambaye atashindwa kujibu swali lolote.

Hivyo, kama nimeshindwa kujibu swalilolote, hilo pia linaonesha Mungu huyo hayupo.
Kalale maana unazungumza kitu hicho hicho Muda wote, huna jipya
 
Mtu yeyote anayesema watu tuna free will, ana contradict perfect knowledge ya Mungu.

There is no trade off between human freewill and God's perfect knowledge.

You can't have both. You can have one or the other.

Ukisema watu wana uwezo wa kuchagua mema au mabaya, hapo hapo unakuwa umesema Mungu hana uwezo wote wa kuwachagulia watu cha kufanya na hapo hapo umesema Mungu hana ujuzi wote wa kujua watu watafanya nini.

Kwa hivyo, ukitaka kusema watu wana freewill, maana yake Mungu hana ujuzi wote na uwezo wote.

Na ukisema Munguana ujuziwote na uwezo wote, watu hawana freewill.

Huwezi kuwa na Mungu anayejua yote na kuweza yote, halafu hapohapowatu wana freewill.

Ni contradiction.
nlikuwa najua Kiranga ni great thinker kumbe hana chochote, zee la kukopi na kupest! Unajichanganya kinoma arifu!
 
Hujajibu hoja. Umeleta kiroja.

Argue. Don't shout. I do not need your approval.

Halafu. Kwangu mimi, "Great Thinker" ni tusi kubwa sana.

Nakuomba hata siku moja usiniweke katika kundi la "Great Thinker".
 
Miaka kadhaa iliyopita nilitangaza hapa JF adhima yangu kufanya utafiti kuhusu uchawi na imani za siri.

Safari yangu katika tafiti kuhusu uchawi ilinifikisha kwa Mungu wa Kabili, mganga wa Jadi anaetajwa kama mganga mwenye nguvu kubwa za kiganga kuliko waganga wote wanaopatikana katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki kati na Kusini mwa Afrika.

Nianze kwa kutoa shukurani zangu za dhati kwa Mungu wa Kabili kusema ukweli ameniongoza vizuri sana na kunipa mwanga halisi kuhusu masuala yote yanayo husiana na uganga, uchawi, ulozi, imani za jadi, upagani, imani za kale na imani za siri.

Nirudi kwenye mada yangu kuhusu imani za siri.Dokta Mungu wa Kabili alinieleza kwa kina kuhusu vikundi mbalimbali vya siri duniani ambavyo vinatajwa kuwa na mafundisho ya kiimani ya siri ambayo hujulikana tu kwa memba wao. Vikundi hivyo ni kama Freemasons na Rosecrucians kwa kutaja vichache. Nijikite kwa Freemasons. Mungu wa Kabili aliniambia mambo mengi sana ya kushangaza kuhusu Freemasons.

Kwa ufupi kabisa mambo nillyo jifunza kuhusu Freemasons ni kama ifuatavyo;

1.Freemasons wanafundishwa kuhusu Mungu aliye uumba ulimwengu na namna ya kuishi hapa duniani katika namna impendezayo yeye.Watu wa dini zote wangefundishwa kuhusu Mungu katika namna wanayo fundishwa Freemasons basi dunia ingekuwa sehemu nzuri sana ya kuishi.Mafundisho ya Freemasons kuhusu Mungu yanamchambua Mungu vizuri sana.

2.Freemasons wanafundishwa kuhusu ulimwengu, wanadamu na vitu vyote vilivyo ndani yake vinavyo onekana na visivyo onekana katika namna ambayo watu wa imani nyinginezo hawafundishwi.

3.Freemasons hawaamini kabisa katika black magic kwa hiyo ile dhana ya kwamba eti ukitaka utajiri nenda kajiunge Freemason umtoe kafara nduguyo ni dhana Potofu kutoka kwa watu wasio na ufahamu wowote kuhusu what freemasonry is.

4. Mfumo wa mafundisho ya freemasonry umenifanya nigundue kitu kimoja kwamba dini ya ukweli ni lazima iwe ya siri. Siri hiyo ndiyo inayo wapa waasisi wa dini au imani hiyo kuwa na nguvu dhidi ya watu wengine.

5.Kitu kingine nimegundua kwamba upako wa uhakika unapatikana kwa kujua siri zilizofichwa nyuma ya uwepo wa mambo yasiyo julikana.
Unatafta wafuasi..
 
Back
Top Bottom