Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Unajua kwenye bible imeandikwa " Kumcha Mungu ndio chanzo cha maarifa" yani knowledge .And the true knowledge is the one that help you to acquire, maintain and protect power.Mind u wazungu sio wajinga kiasi hicho wakwambie kila kitu kuhusu Mungu aliye wapa maarifa yaliyo wafanya wawe na nguvu za kuutawala ulimwengu. Wakupe siri zao ili na wewe uwe kama wao.Unacho kijua kuhusu Mungu ni kile kilicho achiwa na kukusudiwa kijulikana kwa wale tu wanao stahili kupotoshwa.But kiukweli kabisa u don't no nothing about the creator
Kwa hili nakubaliana na wewe 100% hata neno la Mungu kuna mengi tu hayajawekwa wazi actually tumepewa 20% pekee ya kinachotakiwa ila sisi ndio tunajifanya wafia imani kuliko wazungu waliotuficha hiyo 80% nyingine
 
Mbona umeweka tangazo bila kumalizia vizur,haujatoa namba,na wala haujasema makao makuu yetu wapi na wala haujasema ibada ni siku gani...hide my id
Mavi yako
 
Mavi yako
Mkuu siku zote JF ukiweka mada inayokinzana na imani za watu unaonekana kama shetani flani hivi so wafia dini lazima waje na matusi kejeli n.k ila inatakiwa uwe na busara kubwa ili uvumilie so hii comment kma hii haipaswi kutolewa na mtoa mada hata kma hawakubaliani na mada yako.... Najua inaudhi sana ila samehe tu maana unaweza ishia kutukana jukwaa zima.....

Mtazamo tu
 
Nyie vilaza mlitaka ni publish thethis yangu at Jf ?
yap labda kama huelewi nini maana ya Utafiti..!! kwa sisi tuliofanya reserch at university level tunajua mtu akisema kafanya utafiti tunataka aje na nondo za ushawishi.!!
wewe bwege kweli et kwa miaka kadhaa alafu unatuletea upuuzi, hapo ni sawa na kujitekenya na kucheka mwenyew!! hiyo ya kwako sema kwa dodoso nilizopata na sio kwa utafiti. Mimi na wewe nani kilaza?
 
Mkuu siku zote JF ukiweka mada inayokinzana na imani za watu unaonekana kama shetani flani hivi so wafia dini lazima waje na matusi kejeli n.k ila inatakiwa uwe na busara kubwa ili uvumilie so hii comment kma hii haipaswi kutolewa na mtoa mada hata kma hawakubaliani na mada yako.... Najua inaudhi sana ila samehe tu maana unaweza ishia kutukana jukwaa zima.....

Mtazamo tu
Mwambie jamaa hili ni jukwaaa huru sasa unapoleta kitu asidhani yupo peke yake. alafu hana busara huyu jamaa
 
FREEMASONS (wajenzi huru) ikiwa umemaanisha hivyo sina tatizo ni kweli, ila pale unaposema FREEMASONS iliyojaa maswala ya kiimani si kweli hawa jamaa ni mbogo hawana mpango mzuri hata kidogo ila wanataka kujionesha wema machoni pa watu ili watu wajumuike nao.

huwezi tambua ubaya wao bila kujiunga nao mleta uzi jiunge nao then utupe feedback yatakayokukuta, naamin utatambua ubaya wao na utajuta
 
yap labda kama huelewi nini maana ya Utafiti..!! kwa sisi tuliofanya reserch at university level tunajua mtu akisema kafanya utafiti tunataka aje na nondo za ushawishi.!!
wewe bwege kweli et kwa miaka kadhaa alafu unatuletea upuuzi, hapo ni sawa na kujitekenya na kucheka mwenyew!! hiyo ya kwako sema kwa dodoso nilizopata na sio kwa utafiti. Mimi na wewe nani kilaza?
University utakuwa ulienda kukariri wewe.. For u to understand what am talkin about, ur mind have to be free like Nelson Mandela....
 
FREEMASONS (wajenzi huru) ikiwa umemaanisha hivyo sina tatizo ni kweli, ila pale unaposema FREEMASONS iliyojaa maswala ya kiimani si kweli hawa jamaa ni mbogo hawana mpango mzuri hata kidogo ila wanataka kujionesha wema machoni pa watu ili watu wajumuike nao.

huwezi tambua ubaya wao bila kujiunga nao mleta uzi jiunge nao then utupe feedback yatakayokukuta, naamin utatambua ubaya wao na utajuta
According to Nabii Tito
 
According to Nabii Tito
hapo umejifanyia citation mwenyewe kweli kuna mfanano wa wew na huyo nabii uliyemtaja utafiti wako bado sana hiyo post yako ni kama literature review sasa nenda kwenye field (masonic lodge) kakusanye data utuletee kama ulikuwa kweli unataka kuipresent kazi yako uliyoifanyia utafiti
 
Mbona una mnyanyapaa hivyo Mtumishi wa Bwana Nabii Tito ? Mungu anakuona ujue ?
 
University utakuwa ulienda kukariri wewe.. For u to understand what am talkin about, ur mind have to be free like Nelson Mandela....
Yap!! na nilikua vizur sana kwenye kukariri
 
Na hata hizo siri ambazo members wakizitoa wanauwawa[emoji53] Ni hizo siri kuhusu Mungu na uwezo wake ambazo huwezi kuzikuta kwenye Bible.[emoji477][emoji57]

Ongeza Nyama Hii Bado inapepea[emoji808]2
 
Back
Top Bottom