Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Mbona unaniwekea maneno mdomoni mkuu? Mimi nimesema namuabudu mungu wa Kabili ? Inaonekana hiyo Bible huwa inaipapasa kwa maana ungekuwa unaisoma vizuri usingepaswa kubabaishwa na mtu kujiita ama kuitwa " mungu " kwa sababu hata huyo mungu wa Kabili mwenyewe aliempa mamlaka ya kujiita ama kuitwa " mungu" ni Mungu mwenyewe kupitia Zaburi 82: 6...Swali ni lako jibu ni la kwangu.Haki yako iliishia kwenye kuniuliza Swali tu na sio kunipangia namna ya kujibu..
Mkuu umekuwa mtu wa kuzunguka sana kuhusu huyo mungu wa kabili kama hajakujibu au hujui ungesema unatumia maneno mengi kukwepa.Anyway kwa maelezo yako nimeshapata jibu,nitakuja kukuelimisha nikipata muda.Huyo mungu mwenye wake huyo ni mungu ila si mungu wa kweli period.Mungu wa kweli hana wake,naona mungu wako ulipompelekea maswali yangu aligundua ni ya mtego na wewe ulipogundua maswali yangu ni ya mtego umegoma kujibu kwa kinywa chako kama mungu wako ana wazazi.Tunakazi kubwa ya kumhubiri Mungu wa kweli.
kwa wakristo wa kweli,angalieni watu wanavyopotea hii ni kwa sababu wengine hatujafanya kazi ya Mungu ya kuhubiri injili kwa watu wote sasa ona mtu kama LIKUD na habari zake za mungu wa kabili.
Jibu lako kuhusu watu waliookoka nililitegemea halitakuwa zuri kwao kwani wamekuwa wakiharibu kazi za miungu fake kwa hiyo sikushangaa kwa jinsi ulivyojibu.
Kwa maelezo yako hata kama ukileta maandiko ya kwenye biblia haisaidii,kwani hujui kuna watu wanayatumia maandiko vibaya?Huo mstari wa zaburi 82:6 ,huo unawahusu waliomwamini Mungu wa kweli hao kweli ni miungu,usitumie maandiko vibaya.Hata kuna watumishi fake nao wanatumia biblia kupotosha watu wachanga,kama unatumia andiko hilo kwamba mungu wa kabili ni mungu na ameoa,it means kama ameoa ni mtu anayemwamini mungu na wewe unamwabudu mtu,ambaye amechukua utukufu wa Mungu wa kweli.Mungu wa kweli ni mmoja tu na hakuna mwingine wengine ni mbwembwe tu.Mungu wa kweli hajaoa ,hana mke huyo wako ameoa,hii ni shida.
Nimefuatilia pia post zako siwezi kusema wewe ni mtu wa aina gani lakini wewe mwenyewe pitia post zako utajijua.
 
Maelezo yako hayana hoja za kimaandiko.Unasema walokole wanaharibu kazi za shetani??? How????Mi ninavyo jua shetani ndio anaharibu mipango na kazi za Mungu na Biblia ime li aprove hilo..Unless otherwise uniambie u don't read or trust the bible..Ili uwe " Mkristo" mzuri unahitaji kumjua Lucifer vizuri
 
Huwezi kuelewa wanavyoziharibu kwa sababu you are not part of the team.Mungu anatenda kazi na wanadamu walio tayari kufanya kazi naye,wenye mioyo iliyobondeka ,watiifu,etc.Kwa hiyo Mungu anawatumia ,Wewe unaelimu ya kupotosha aliyekuambia ili uwe mkristo mzuri unahitaji kumjua Lucifer vizuri ni nani?Mjue Mungu na njia zake,Lucifer kitu gani mbele za Mungu aliye hai?Pakiwa na giza ,giza huondolewa kwa kuleta nuru na si kuahangaika kuliondoa giza unaliondoaje kwa sababu hata huwezi kulishika,unachotakiwa ni wewe kuwa nuru,nuru ikiangaza giza litaondoka automatically.
Mkristo mzuri ni yule anayetii na kuishi katika njia za Bwana,kulishika na kulitenda neno la Mungu.Tunayajua yale ambayo Mungu ametufunulia,ambayo hajayafunua hayo ni yake,ila akitaka kutufundisha kuhusu Lucifer of course amekuwa anatufundisha kupitia Biblia,watumishi wake na kupitia Roho mtakatifu na si elimu za watu ambao hawana asili ya kumtumikia Mungu wa kweli ,hapo ndipo udanganyifu unaanzia na wengi mmekamatwa huko.
Kwa elimu yoyote ile lazima ujue "reliability" ya source of information siyo unapokea kila kinachokuja.
 
Mkuu utafit wako ungerudia tena ,utafiti umeufanya miaka kadhaa,,miaka yote hiyo ulikuwa kwa kabili ndiye aliyekuaminisha yote hayo mpk umeamua kuja kuweka uzi humu
 
Huwezi kuelewa wanavyoziharibu kwa sababu you are not part of the team.Mungu anatenda kazi na wanadamu walio tayari kufanya kazi naye,wenye mioyo iliyobondeka ,watiifu,etc.Kwa hiyo Mungu anawatumia ,Wewe unaelimu ya kupotosha aliyekuambia ili uwe mkristo mzuri unahitaji kumjua Lucifer vizuri ni nani?Mjue Mungu na njia zake,Lucifer kitu gani mbele za Mungu aliye hai?Pakiwa na giza ,giza huondolewa kwa kuleta nuru na si kuahangaika kuliondoa giza unaliondoaje kwa sababu hata huwezi kulishika,unachotakiwa ni wewe kuwa nuru,nuru ikiangaza giza litaondoka automatically.
Mkristo mzuri ni yule anayetii na kuishi katika njia za Bwana,kulishika na kulitenda neno la Mungu.Tunayajua yale ambayo Mungu ametufunulia,ambayo hajayafunua hayo ni yake,ila akitaka kutufundisha kuhusu Lucifer of course amekuwa anatufundisha kupitia Biblia,watumishi wake na kupitia Roho mtakatifu na si elimu za watu ambao hawana asili ya kumtumikia Mungu wa kweli ,hapo ndipo udanganyifu unaanzia na wengi mmekamatwa huko.
Kwa elimu yoyote ile lazima ujue "reliability" ya source of information siyo unapokea kila kinachokuja.
U don't seem to understand what am talking about...Jenerali mmoja alieongoza na kushinda mapambano mengi vitani kwa jina akiitwa Sun Zu aliwahi kusema " Know thy enemies as you know thyself".
And this is only if u real want to win ur battle or war.. Walokole mnadai mpo kwenye vita na shetani ..wakati hamjui chochote kuhusu huyo mnaemuita shetani..Sasa utamshinda vipi adui usie mjua? Ndo mantiki yangu kukwambia kama unataka kuwa Mkristo wa ukweli kweli unapaswa kumjua vizuri huyo Lucifer ...Personally sidhani kama kuna mlokole anaweza shindana na nguvu za Lucifer..Matter fact Lucifer does not consider u as his enemies instead ur the ones who claims to be his enemy ..U have nothing of his interest..Ur not a threat to him
 
Miaka kadhaa iliyopita nilitangaza hapa JF adhima yangu kufanya utafiti kuhusu uchawi na imani za siri.

Safari yangu katika tafiti kuhusu uchawi ilinifikisha kwa Mungu wa Kabili, mganga wa Jadi anaetajwa kama mganga mwenye nguvu kubwa za kiganga kuliko waganga wote wanaopatikana katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki kati na Kusini mwa Afrika.

Nianze kwa kutoa shukurani zangu za dhati kwa Mungu wa Kabili kusema ukweli ameniongoza vizuri sana na kunipa mwanga halisi kuhusu masuala yote yanayo husiana na uganga, uchawi, ulozi, imani za jadi, upagani, imani za kale na imani za siri.

Nirudi kwenye mada yangu kuhusu imani za siri.Dokta Mungu wa Kabili alinieleza kwa kina kuhusu vikundi mbalimbali vya siri duniani ambavyo vinatajwa kuwa na mafundisho ya kiimani ya siri ambayo hujulikana tu kwa memba wao. Vikundi hivyo ni kama Freemasons na Rosecrucians kwa kutaja vichache. Nijikite kwa Freemasons. Mungu wa Kabili aliniambia mambo mengi sana ya kushangaza kuhusu Freemasons.

Kwa ufupi kabisa mambo nillyo jifunza kuhusu Freemasons ni kama ifuatavyo;

1.Freemasons wanafundishwa kuhusu Mungu aliye uumba ulimwengu na namna ya kuishi hapa duniani katika namna impendezayo yeye.Watu wa dini zote wangefundishwa kuhusu Mungu katika namna wanayo fundishwa Freemasons basi dunia ingekuwa sehemu nzuri sana ya kuishi.Mafundisho ya Freemasons kuhusu Mungu yanamchambua Mungu vizuri sana.

2.Freemasons wanafundishwa kuhusu ulimwengu, wanadamu na vitu vyote vilivyo ndani yake vinavyo onekana na visivyo onekana katika namna ambayo watu wa imani nyinginezo hawafundishwi.

3.Freemasons hawaamini kabisa katika black magic kwa hiyo ile dhana ya kwamba eti ukitaka utajiri nenda kajiunge Freemason umtoe kafara nduguyo ni dhana Potofu kutoka kwa watu wasio na ufahamu wowote kuhusu what freemasonry is.

4. Mfumo wa mafundisho ya freemasonry umenifanya nigundue kitu kimoja kwamba dini ya ukweli ni lazima iwe ya siri. Siri hiyo ndiyo inayo wapa waasisi wa dini au imani hiyo kuwa na nguvu dhidi ya watu wengine.

5.Kitu kingine nimegundua kwamba upako wa uhakika unapatikana kwa kujua siri zilizofichwa nyuma ya uwepo wa mambo yasiyo julikana.
Mkuu unpofanya your opinions to be facts hilo ni kosa,ukiandika mawazo yako sema.
No.2 nataka kujua wewe unajua ambavyo watu wa dini zingine wanafundishwaje kuhusu vitu vinavyo onekana na visivyo onekana?Je ulishawahi kupita kwenye dini zote mpaka uka conclude kwamba free mansons wanafunsha vizuri.Unachanganya mawazo yako na hali halisi,na mimi nikisema huku niliko nafundishwa vizuri kuhusu vitu vinavyoonekana na visivyo onekana,wewe utanipa prove gani kwamba si kweli?Kuna mambo unachanganya,hayo ni mawazo yenu na si hali halisi.

No.4 Dini ya ukweli ni lazima iwe ya siri?Why?Hiyo dini kama ni ya siri lengo lake ni nini?Dini nyingi huwa ziko wazi huwashawishi watu waamini,sasa hii ya siri huoni kuna hidden agenda?Yesu mwenyewe aliagiza watu waende ulimwenguni kote wakawafanye mataifa kuwa wanafunzi wake,hapo kuna siri?Mara nyingi kitu kuwa siri maana yake hutaki wengine wajue,na popote penye siri ukiacha sababu za usalama the rest huwa ni mambo mabaya ndiyo watu huyafanya kuwa siri.Na pia mambo ya siri wanayatumia sana watu wa dunia,kwa dini kuwa siri hii inaleta uwalakini.

No.5,mkuu napenda kujua kutoka kwako nini maana ya neno "upako"?Toa majibu usianze kuzunguka,nataka nijifunze kutoka kwako.
 
Mantiki ya dini ya ukweli kuwa ya siri ni ndogo sana..Kwamba ukimjua Mungu wa ukweli atakupa maarifa na hayo maarifa yatakusaidia Ku acquire, maintain and protect power.. Mfano wa maarifa hayo ni Yale aliyopewa Nabii Solar man ( Solomon ).
Nikuulize Swali mkuu " Mungu ametuleta duniani kwa sababu gani? According to the bible.
 
U don't seem to understand what am talking about...Jenerali mmoja alieongoza na kushinda mapambano mengi vitani kwa jina akiitwa Sun Zu aliwahi kusema " Know thy enemies as you know thyself".
And this is only if u real want to win ur battle or war.. Walokole mnadai mpo kwenye vita na shetani ..wakati hamjui chochote kuhusu huyo mnaemuita shetani..Sasa utamshinda vipi adui usie mjua? Ndo mantiki yangu ya kukwambia kama unataka kuwa Mkristo wa ukweli kweli unapaswa kumjua vizuri huyo Lucifer ...Personally sidhani kama kuna mlokole anaweza shindana na nguvu za Lucifer..Matter fact Lucifer does not consider u as his enemies instead ur the ones who claims to be his enemy ..U have nothing of his interest..Ur not a threat to him

Mkuu nilianza kwa mas
wali ukajitega mwenyewe,tuelimishane tu kwa upole.Kadri muda unavyoenda utajulikana tu wewe ni nani.Nimecheka kwamba walokole hawamjui adui,wewe unadhani tunahitaji kumwona kwa macho?Some efeso 6:12-13,pia kwa jinsi unavyoandika inaonekana hujui how christian fight their spiritual war,nitakusaidia wewe na wengine ambao walikuwa hawajui.Kwanza kanisa lolote lisilo ongozwa na Roho mtakatifu haliko salama hiyonataka ujue,sasa ukiwa katika kanisa linalo ongozwa na Roho mtakatifu yeye atawaambia shetani anapanga nini?Muombe juu ya nini na muombe vipi yote mtafahamishwa.
Kwa nini si lazima tumjue shetani ila ni lazima tumujue Mungu,tunapokuwa vitani sisi huomba kwa imani,siyo sisi tunaotenda anayetenda ni Mungu,kwa mfano nikiomba kwa jina la Yesu naangamiza madhabahu za wachawi,Mungu yeye ndiye anaziangamiza kutokana na ombi langu.Ndiyo maana mwanzo nilkuambia Mungu anatenda pamoja na wanadamu,sisi ni mabalozi wa ufalme wa Mungu,unaposhambulia ubalozi fulani ,umeishambulia nchi.Shetani anapofanya vita na mabalozi wa ufalme wa Mungu amefanya vita na Mungu,ndiyo maana Mungu akasema "Vita ni vya Bwana".Sasa mkuu nilitegemea utakuwa unajua vitu hivi vya awali kabisa lakini naona humjui Mungu wa Israel na jinsi anavyotenda kazi na wanadamu.
Mkuu ,wewe jamaa wamekukamata kweli,huwezi kujua kama Lucifer anatuona ssi ni adui,wewe unadhani hata siku moja atakuambia walokole wamempa loss kiasi gani?He will never do that na kwa sababu huyajui maandiko ya kwamba yeye ni baba wa uongo,umeamini.Mungu wa kweli akurehemu umjue yeye ,uachane na mungu wa kabili,kweli dunia ina mambo.
Eti unasema "we have nothing of his interest" nimeshakuambia wewe unaandika opinions zako alafu unazifanya kuwa fact.Shetani anafanya vita na yeyote anayeitwa mwanadamu bila kuangalia ni dini gani,wengine alishawakamata ni wake hao hana wasiwasi nao,walokole na wengine wanaoishi maisha ya kumpendeza Mungu hao anavita nao kuhakikisha anawakamata,leo wewe unasema we have nothing of his interest,are you serious brother?
Shetani alikuwa tayari kumpa Yesu milki ya dunia yote akimsujudia,hata leo kuna watu amewapa utajiri kupitia kwa ma agenty wake wengine wamo humu jf ,waganga wa kienyeji,watumishi feki,majini ,mipete ya bahati,sijui utajiri wa majini.haya yote yuko tayari kumpa mwanadami ili tu aikamate roho yake.
Mkuu wewe mwenyewe umeleta andiko Zaburi 82:6 "Mimi nimesema,Ndinyi miungu,Na wana wa aliye juu".Shetani akiwa anajua kwamba tumeumbwa kwa mfano wa Mungu,hakuna kitu chenye thamani duniani kama nafsi ya mwanadamu,ndiyo maana anawapa utajiri in exchang for their soul.
Kweli amekudanganya na umekamatwa,sisi ni wa thamani sana,Lucifer anajua ila hawezi kukwambia wewe kwani kama nilivyosema ni baba wa uongo.
"Know thy enemies as you know thyself" hii kitu naijua si umepata kutoka kwenye kitabu cha "THe art of war" huko nilisoma longtime,na unapokuwa unasoma ,jifunze kutofautisha mambo ya mwili na mambo ya roho.Huyo aliongelea vita vya kimwili,lakini vita vya kiroho vina principle zake ingawa zingine zaweza fanana na za vita vya kimwili kwa mfano "kuvaa silaha au kuwa na silaha muda wote unapokuwa vitani".Soma efeso 6:13-18
Vita vya kimwili unaitaji kujua aduia lipo,ila vya kiroho tunavifanya kwa imani sisi kama wanadamu,tunatamka anayepigana vita hivyo ni Mungu.
 
Mantiki ya dini ya ukweli kuwa ya siri ni ndogo sana..Kwamba ukimjua Mungu wa ukweli atakupa maarifa na hayo maarifa yatakusaidia Ku acquire, maintain and protect power.. Mfano wa maarifa hayo ni Yale aliyopewa Nabii Solar man ( Solomon ).
Nikuulize Swali mkuu " Mungu ametuleta duniani kwa sababu gani? According to the bible.
Wewe unataka nikujibu swali wakati swali langu umelikimbia,jibu kwanza swali langu "je mungu wa kabili ana wazazi?" nami nitakujibu swali lako.By the way jibu la swali lako liko kwenye biblia,so naamini kwa kuwa unasoma biblia you should know the answer,labda kama huwa unasoma biblia mistari michache tu ya kukusaidia kwenye mambo yako.
 
Mkuu nilianza kwa maswali ukajitega mwenyewe,tuelimishane tu kwa upole.Kadri muda unavyoenda utajulikana tu wewe ni nani.Nimecheka kwamba walokole hawamjui adui,wewe unadhani tunahitaji kumwona kwa macho?Some efeso 6:12-13,pia kwa jinsi unavyoandika inaonekana hujui how christian fight their spiritual war,nitakusaidia wewe na wengine ambao walikuwa hawajui.Kwanza kanisa lolote lisilo ongozwa na Roho mtakatifu haliko salama hiyonataka ujue,sasa ukiwa katika kanisa linalo ongozwa na Roho mtakatifu yeye atawaambia shetani anapanga nini?Muombe juu ya nini na muombe vipi yote mtafahamishwa.
Kwa nini si lazima tumjue shetani ila ni lazima tumujue Mungu,tunapokuwa vitani sisi huomba kwa imani,siyo sisi tunaotenda anayetenda ni Mungu,kwa mfano nikiomba kwa jina la Yesu naangamiza madhabahu za wachawi,Mungu yeye ndiye anaziangamiza kutokana na ombi langu.Ndiyo maana mwanzo nilkuambia Mungu anatenda pamoja na wanadamu,sisi ni mabalozi wa ufalme wa Mungu,unaposhambulia ubalozi fulani ,umeishambulia nchi.Shetani anapofanya vita na mabalozi wa ufalme wa Mungu amefanya vita na Mungu,ndiyo maana Mungu akasema "Vita ni vya Bwana".Sasa mkuu nilitegemea utakuwa unajua vitu hivi vya awali kabisa lakini naona humjui Mungu wa Israel na jinsi anavyotenda kazi na wanadamu.
Mkuu ,wewe jamaa wamekukamata kweli,huwezi kujua kama Lucifer anatuona ssi ni adui,wewe unadhani hata siku moja atakuambia walokole wamempa loss kiasi gani?He will never do that na kwa sababu huyajui maandiko ya kwamba yeye ni baba wa uongo,umeamini.Mungu wa kweli akurehemu umjue yeye ,uachane na mungu wa kabili,kweli dunia ina mambo.
Eti unasema "we have nothing of his interest" nimeshakuambia wewe unaandika opinions zako alafu unazifanya kuwa fact.Shetani anafanya vita na yeyote anayeitwa mwanadamu bila kuangalia ni dini gani,wengine alishawakamata ni wake hao hana wasiwasi nao,walokole na wengine wanaoishi maisha ya kumpendeza Mungu hao anavita nao kuhakikisha anawakamata,leo wewe unasema we have nothing of his interest,are you serious brother?
Shetani alikuwa tayari kumpa Yesu milki ya dunia yote akimsujudia,hata leo kuna watu amewapa utajiri kupitia kwa ma agenty wake wengine wamo humu jf ,waganga wa kienyeji,watumishi feki,majini ,mipete ya bahati,sijui utajiri wa majini.haya yote yuko tayari kumpa mwanadami ili tu aikamate roho yake.
Mkuu wewe mwenyewe umeleta andiko Zaburi 82:6 "Mimi nimesema,Ndinyi miungu,Na wana wa aliye juu".Shetani akiwa anajua kwamba tumeumbwa kwa mfano wa Mungu,hakuna kitu chenye thamani duniani kama nafsi ya mwanadamu,ndiyo maana anawapa utajiri in exchang for their soul.
Kweli amekudanganya na umekamatwa,sisi ni wa thamani sana,Lucifer anajua ila hawezi kukwambia wewe kwani kama nilivyosema ni baba wa uongo.
"Know thy enemies as you know thyself" hii kitu naijua si umepata kutoka kwenye kitabu cha "THe art of war" huko nilisoma longtime,na unapokuwa unasoma ,jifunze kutofautisha mambo ya mwili na mambo ya roho.Huyo aliongelea vita vya kimwili,lakini vita vya kiroho vina principle zake ingawa zingine zaweza fanana na za vita vya kimwili kwa mfano "kuvaa silaha au kuwa na silaha muda wote unapokuwa vitani".Soma efeso 6:13-18
Vita vya kimwili unaitaji kujua aduia lipo,ila vya kiroho tunavifanya kwa imani sisi kama wanadamu,tunatamka anayepigana vita hivyo ni Mungu.

Ndio maana nilikwambia mkuu walokole hawajui neno lolote..Kuna vitu natamani nikwambie lakini nakuonea huruma mkuu wewe endelea kuamini unacho kiamini..But am so sad to inform u that the Bible is a fraud..U can never be shocked as I did the first time I learned about this bitter truth...Kuhusu Kumjua adui yako umesema kwamba Roho mtakatifu ndio anawasaidia kumjua Shetani..Hapo ndo mnapo feli mkuu...Ndo inapokuja point yangu kwamba Freemasons and all other secret societies wanapewa mafundisho yanayo wapa uwezo wa acquire,maintain and protect powers...Wanapewa mafundisho yanayo wapa uwezo wa kubadili hizo spiritual powers into physical..Instead of kneeling down and shouting " Holy Ghost Power" wao wanafundishwa namna wanaweza kuacquire hizo powers na kuzimiliki wao kama wao ..wanapewa keys to the knowledge..And knowledge is power..All they need is to read and study kama alivyo elekeza Nabii Suleiman na Yesu mwenyewe...Kuna mambo ambayo miaka ya nyuma yangeweza kuonekana uchawi ama hayawezekani katika ulimwengu wa nyama..lakini sasa hivi tunaweza kutafanya..Mfano ndge kupaa , simu, computers nakadhalika...
Mungu ametuleta duniani ili tumtumikie tumjue na mwisho wa siku tupate kufika kwake juu mbinguni..
Kumjua Mungu ni nini ? Ni kujua kuhusu nguvu na uwezo wake ? Nguvu na uwezo wa Mungu tunaujua vipi ? Kupitia kusoma vitabu mbalimbali vyenye kufundisha maarifa kuhusu Mungu na uweza wake...Hiki ndo wanacho fundishwa hao free masons..Na hata hizo siri ambazo members wakizitoa wanauwawa ni hizo siri kuhusu Mungu na uwezo wake ambazo huwezi kuzikuta kwenye Bible...Kurudi kwa Mungu maana ake nini ? Ni kuwa kama Mungu kwa kufikia kiwango cha maarifa yake ambacho utakifikia tu kwa njia ya kijua kuhusu siri hizo za Mungu...Unapofikia hatua hiyo sasa unakuwa enlightened ..Unarudi kwenye asili yako ambayo ni Mungu mwenyewe..Yesu alifikia level hiyo ndo maana alidiriki kusema " Mimi na baba tu kitu kimoja"..Walokole hawajui neno lolote kwa sababu wameyakataa maarifa
 
The bible is a fraud?Unachekesha sana,any way sijajua kwa nini unasema ni fraud at the same time unaleta mistari kutoka huko,do you believe the bible?
Kama ikimpendeza Mungu kuhusu kitu fulani yeye atatufundisha na si wanadamu ambao inawezekana elimu hiyo ikawa imetoka kwa huyo huyo shetani kama hiyo elimu ya freemanson,unayoyuma shida hapo ni trustworthy ya chanzo cha hiyo elimu,that is why hatuihitaji hata kama ni knowledge.Si kila knowledge inafaa,jifunze kuchuja.

Kuhusu suala la kupata ,kumiliki na kutunza nguvu mbona biblia iko wazi unapotaka nguvu za Mungu ufanye nini,wewe si unasoma biblia?Zaburi 105:4 "Mtakeni Bwana na nguvu zake",hata huku kwa kadri unavyokuwa karibu na Mungu unapokea nguvu,tabia za uungu zinazidi kuumbika ndani yako na ndiyo tena unarudi kwenye andiko lako la awali Zaburi 82:6.Jinsi ya kutunza nguvu ya Mungu biblia imesema,ukiishi maisha matakatifu,Mungu anakaa ndani yako ,nguvu za Mungu zinakuwa na wewe,sasa sijaona kipya kwa hao freemanson zaidi ya kuwapotosha watu.naona hapo tofauti ya power ya freemanson umesema wanaimiliki wao,sisi nguvu unakuwa nayo,au kwa lugha nyepesi unatumiwa kama chombo which means ukienda kinyume na Mungu nguvu ya Mungu inaondoka,na ndiyo hapo wengi wa watumishi wakiachwa na Mungu kwa maana ya kupoteza nguvu,hukimbilia kwa shetani wanapewa nguvu za kipepo na wanaendelea kutumia biblia lakini ni watumishi wa shetani au watumishi feki kwa lugha nyepesi.Nguvu ni za Mungu sisi tunatumiwa kama njia tu ya yeye kufanya kazi sasa kama huko kwenu zinakuwa zenu haya.
Kuread na kustadi ni sawa lakini Yesu alienda zaidi akasema tuwe watendaji wa neno na si wasikilizaji tu,kuread na kustadi siyo shida,shida ni unaread na kustudy kitu gani.Youa are the product of what you read and study.
Unaposema walokole wameyakataa maarifa uko sahihi kwa maana ni kweli wameyakataa maarifa yanayotoka kwa Lucifer lakini wameyakubali maarifa ya Mungu.Kama ambavyo biblia imesema "kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa" kwa hiyo yeyote asiyemcha Bwana amekataa maarifa ya Mungu wa kweli ukiwemo wewe ambaye umekubali maarifa ya mungu wa kabili na ukijua Mungu wa kweli hachangii utukufu na kiumbe yeyote yule.
Si kila elimu inafaa,mtafute ndugu yako mwingine yumo humu,huwafundisha watu jinsi ya kuita majini na mambo ya kichawi ya kutoka nje ya mwili yote hayo ni maarifa ya kishetani na baba wa uongo amewakamata kwa kuwafanya mjione nyie kwa kuwa kuna vitu mnavijua ambavyo sisi hatuvijui basi mmejiona very special na sisi ni vilaza.
Lakini ipo siku inakuja na siku hiyo i karibu,utakumbuka haya ninayokuambia leo,lakini sikushangai kwa sababu najua ambavyo imani ina nguvu,ni vigumu sana kumtoa mtu kwenye imani ya upotevu ,hapo huwa ni kumwomba Mungu amsaidie mtu huyo,hao huwa hawatoki kwa ushawishi wa kianadamu.Hujiona waliko wako sahihi,hapo ndiyo shida inaanzia.
 
Moja kati ya tafiti mbovu tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Inawezekana hata uyo mungu wa kabili hajui kitu, kalithishwa tu mikoba.
 
Ndio maana nilikwambia mkuu walokole hawajui neno lolote..Kuna vitu natamani nikwambie lakini nakuonea huruma mkuu wewe endelea kuamini unacho kiamini..But am so sad to inform u that the Bible is a fraud..U can never be shocked as I did the first time I learned about this bitter truth...Kuhusu Kumjua adui yako umesema kwamba Roho mtakatifu ndio anawasaidia kumjua Shetani..Hapo ndo mnapo feli mkuu...Ndo inapokuja point yangu kwamba Freemasons and all other secret societies wanapewa mafundisho yanayo wapa uwezo wa acquire,maintain and protect powers...Wanapewa mafundisho yanayo wapa uwezo wa kubadili hizo spiritual powers into physical..Instead of kneeling down and shouting " Holy Ghost Power" wao wanafundishwa namna wanaweza kuacquire hizo powers na kuzimiliki wao kama wao ..wanapewa keys to the knowledge..And knowledge is power..All they need is to read and study kama alivyo elekeza Nabii Suleiman na Yesu mwenyewe...Kuna mambo ambayo miaka ya nyuma yangeweza kuonekana uchawi ama hayawezekani katika ulimwengu wa nyama..lakini sasa hivi tunaweza kutafanya..Mfano ndge kupaa , simu, computers nakadhalika...
Mungu ametuleta duniani ili tumtumikie tumjue na mwisho wa siku tupate kufika kwake juu mbinguni..
Kumjua Mungu ni nini ? Ni kujua kuhusu nguvu na uwezo wake ? Nguvu na uwezo wa Mungu tunaujua vipi ? Kupitia kusoma vitabu mbalimbali vyenye kufundisha maarifa kuhusu Mungu na uweza wake...Hiki ndo wanacho fundishwa hao free masons..Na hata hizo siri ambazo members wakizitoa wanauwawa ni hizo siri kuhusu Mungu na uwezo wake ambazo huwezi kuzikuta kwenye Bible...Kurudi kwa Mungu maana ake nini ? Ni kuwa kama Mungu kwa kufikia kiwango cha maarifa yake ambacho utakifikia tu kwa njia ya kijua kuhusu siri hizo za Mungu...Unapofikia hatua hiyo sasa unakuwa enlightened ..Unarudi kwenye asili yako ambayo ni Mungu mwenyewe..Yesu alifikia level hiyo ndo maana alidiriki kusema " Mimi na baba tu kitu kimoja"..Walokole hawajui neno lolote kwa sababu wameyakataa maarifa

Daaah mkuu bible hii hii tunayoiamini unasema ni fraud? So whats the truth? Nataman utujuze zaid hapa maana moyo wangu umetikisika ghafla
 
Namba 3 ndiyo haswa..............!!! LIKUD....................................
 
Mkuu watu walikuwepo kituoni kabisa polisi walivyokuwa wanajaribu kumtua jamaa lakini mzigo hautoki jamaa analia maumivu
Mpaka bibi mwenye mzigo alipofika..
Usibishe mkuu haya mambo yapo.
Huku mtaani kwenyewe tumeshashuhudia mchawi ameanguka kwenye nyumba ya mganga
tunaamka asubuhi tunamkuta mdada uwanjani katulia hata kuongea hawezi mpaka alivyokuja mganga mwenye mji wake ndo akaweza kujieleza..

Kuna vitu sio vya kubisha kabisa vipo.
Utajuaje kwamba kuna gundi mpya ambayo haijajulikana vizuri imetumika hapo?

Polisi walifanya jitihada gani kuutua huo mzigo? Walitumia pulleys na levers? Walitumia winchi? Walitoboa gunia? Kuna video inayoonesha hilo?

Unaaema watu walikuwepo watu gani? Hao wanaoogopa polisi?

Tutajiridhishaje haya si mambo yanayoweza kuelezewa vizuri tu bila uchawi na ni uchawi?

Ukiamka asubuhi ukamkuta mtu kaanguka hawezi kuongea, katika nchi ambayo huduma za afya ni finyu sana kiasi wagonjwa wengi wanatembea huku hawajui magonjwa yao na wanaweza kuanguka siku yoyote na magonjwa ya akili yote yanaitwa "kichaa" kwa sababu hatujayachunguza na kuyapa majina tofauti, utajuaje huyo dada hajaanguka kwa malaria ya kichwa au kifafa au ugonjwa mwingine wa akili?
 
Back
Top Bottom