Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Kwa vipi? Toa mfano ambao umekuwa verified beyond any level of doubt, elezea ni jinsi gani hili linawezekana.

Einstein's Relativity forbids any massive object to travelback in time, as any infinitesimally small massive object will need infinite energy to attain the greater than light speed required to go back in time.

So, can you show me how this is achieved without consuming the entire universe in the process?
You can do that through imagination..Nostalgia is a good and vivid example
 
You can do that through imagination..Nostalgia is a good and vivid example
My question is not about imagination, it is about physicality.

You have not addressed that.
 
My question is not about imagination, it is about physicality.

You have not addressed that.
Body and mind are two sides of the same coin.They are inseparable .So if my mind is there .my body is also there.
 
Je mwili ukifa?
Mtu yeyote anayesema watu tuna free will, ana contradict perfect knowledge ya Mungu.

There is no trade off between human freewill and God's perfect knowledge.

You can't have both. You can have one or the other.

Ukisema watu wana uwezo wa kuchagua mema au mabaya, hapo hapo unakuwa umesema Mungu hana uwezo wote wa kuwachagulia watu cha kufanya na hapo hapo umesema Mungu hana ujuzi wote wa kujua watu watafanya nini.

Kwa hivyo, ukitaka kusema watu wana freewill, maana yake Mungu hana ujuzi wote na uwezo wote.

Na ukisema Munguana ujuziwote na uwezo wote, watu hawana freewill.

Huwezi kuwa na Mungu anayejua yote na kuweza yote, halafu hapohapowatu wana freewill.

Ni contradiction.
 
That's some bullshit mumbo jumbo.

Njoo hapa nilipo unipige kibao basi kwa kutumia mawazo yako mpaka mwili wangu upate kupigwa kibao nitajua you are serious.
Power of Imagination was a gift given to man so that among many other benefits he can be able to own and posses all the things that he can own or posses them physically.

Personally I cannot abuse this gift by doing what u have asked me to do for this golden gift was intended for positive things only. What u have asked me to do can be done through black magic or witchcraft
 
Power of Imagination was a gift given to man so that among many other benefits he can be able to own and posses all the things that he can own or posses them physically.Personally I cannot abuse this gift by doing what u have asked me to do for this golden gift was intended for positive things only ...What u have asked me to do can be done through black magic or witchcraft
Go on top of a tall building, 10 plus storey building, and imagine you can fly like a bird,then jump.

Record the whole thing with video evidence and a large group of eyewitnesses.

Then let's talk after that.
 
Mtu yeyote anayesema watu tuna free will, ana contradict perfect knowledge ya Mungu.

There is no trade off between human freewill and God's perfect knowledge.

You can't have both. You can have one or the other.

Ukisema watu wana uwezo wa kuchagua mema au mabaya, hapo hapo unakuwa umesema Mungu hana uwezo wote wa kuwachagulia watu cha kufanya na hapo hapo umesema Mungu hana ujuzi wote wa kujua watu watafanya nini.

Kwa hivyo, ukitakakusema watu wana freewill, maana yake Mungu hana ujuzi wote na uwezo wote.

Na ukisema Munguana ujuziwote na uwezo wote, watu hawana freewill.

Huwezi kuwa na Mungu anayejua yote na kuweza yote, halafu hapohapowatu wana freewill.

Ni contradiction.
Ebanae mjomba unajua unachanganya sana mambo.The way unavyo jicontradict ur self in the same sentence it is as if ur intending to demonstrate ur antithethis skills.

God is not a dictator to do what u want him to do
 
Ebanae mjomba unajua unachanganya sana mambo.The way unavyo jicontradict ur self in the same sentence it is as if ur intending to give ur message through antithethis ..God is not a dictator
God is not a dictator, yes.

Because he does not exist.

If you say he exists, prove that.
 
Go on top of a tall building, 10 plus storey building, and imagine you can fly like a bird,then jump.

Record the whole thing with video evidence and a large group of eyewitnesses.

Then let's talk after that.

Imagination goes simultaneously with the effectively use of common sense.By the way by the power of imagination i don't need to go to a tall building to fly.

All i have to do is to just imagine. Simple like that
 
Back
Top Bottom