Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Aliyeanzisha Uzi na wachangiaji wote mnadanganyana hakuna hata mmoja anayejua robo ya ukweli kuhusu Freemasons.....

Endeleeni lakini.... [emoji1] [emoji23]
 
Duh.! Hawa jamaa walishakimbiana?

Ngoja nasubiri S_2
 
Unaelewakwamba sijasemakwamba kwenye polygon huwezi kupata pembe tatu, nimesema hakuna pembe tatu ambayohapohapo nipembe tatu na pembe sita?
Tueleweshe mfano huu unaendana vipi na dhana ya uwepo wa Mungu au La.

Kwanza unaelewa kwamba silaumu, nakosoa kutokuwepo kwa logical consistency?
Kwaio ili iwepo logical consistency manake instead of evil kuwe na good. Kwaio kama kwa sababu kuna evil ndio hakuna logical consistency, umesahau kama kuna mazuri yanatokea dunia ambayo ni logical consistency?

Pili, unasema yote hayo ni matendo ya binadamu, Mungu alipokuwa anaumba ulimwengu, kabla binadamu hajaumbwa, alishindwa kuumba ulimwengu ambao binadamu hana matendo hayo na hawezi kuwa na matendo hayo?

Hujajibu swali hili, nimeshaliuliza kwakujua utakujana point hii. Hujajibu.
Mungu ameumba malaika, ambao hawafanyi mabaya. Hakushindwa, ila halikuwa lengo lake kuumba tena kiumbe kisichokuwa na freewill, ameumba kiumbe ambacho ni more intelligent and more knowledgable. Baada ya kuumba ichi kiumbe akakiachia free kiamua wenyewe kinataka kufanya nini, Mungu yeye ametoa guidelines tu na kumpa. Ninaweza kukuliza, ikiwa LENGO LA KUMPELEKA MTOTO SHULE ASOME NA AFANIKIWE APATE DEGREE NA SHAHADA NYENGINE, KWANINI ASIPEWE CHETI TU?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Naweza kuthibitisha Mungu yupo, wewe unaweza kuthibitisha kuwa Mungu hayupo?

Mnajichanganya, mara mnasema binadamu hajikomboi mwenyewe, ila kwa neema ya Mungu tu anakombolewa, mara mnasema binadamu ana uchaguzi mwenyewe.

Kipi ni kweli hapa? Ana freewill na ana contraol destiny au anapata kumjuaMungu na kwenda peponikwa neema ya Mungu tu?
Nilijua najadiliana na mtu ambae ni msomi. umekusudia neema au rehema za Mungu kwanza?

Wewe leo una free will ya kurudi mwaka 1982?
O M G! 😀 😀 😀 hata maana ya freewill hujui halafu unataka kuprove kuwa Mungu hayupo.

I googled for you: the power of acting without the constraint of necessity or fate; the ability to act at one's own discretion. ata haihusiani na mambo ya kurudi mwaka 1240 wala 1999! Duh Pole sana....

Kama mazuri ni ushahidi kwamba Mungu yupo, maovu ni ushahidi kwamba hayupo?
Sasa unaniuliza mimi au nkuulize wewe? wewe si hoja yako ni kuwa kwa vile kuna evilness duniani mungu hawezi kuwepo, sasa nimekwambia kuwa kama hio ndio hoja yako, basi kuna mazuri duniani yanatokea kwaio Mungu yupo... sasa unatapatapa? Simamia hoja yako basi!

Unaweza kuthibitisha kwamba mazuri haya hayatokani na kingine chochote zaidi ya huyo Mungu?
Ahahahah... Kwaio hapa kwenye swali lako unatwambia kuwa hayo mazuri yanatokana na kitu kingine sio Mungu kwaio Mungu hayupo, lakini unakataa kuwa haya maovu hakuyaleta Mungu bali ameyaleta mwanadamu mwenyewe na kuwa Mungu atakuja kumhukumu huyu Mwanadamu. Atakuja kumuuliza alichofanya duniani.

Wewe unaweza kuniambia imekuwaje Mungu huyoawepo halafu aumbe ulimwengu unaoruhusu mabaya, wakatialikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya?
Ulimwengu uliokuwa hauna mabaya upo, siku ya hukumu kama ulikuwa mwema basi utaingizwa peponi kama muovu utaenda motoni.

Duniani tumeletwa tujifunze mazuri na mabaya, raha na karaha, starehe na shida, mafanikio na maanguko, tujue nini Furaha na nini kilio. Tufanyie kazi maisha baada ya kifo na tutambue kuwa tupo duniani kuchuma kheri ili siku ya kiama tupate kheri.

and to answer your question in a simplest way, yaani kama hapa hujaelewa tena itakuwa umekusudia kupinga tu na sio kujua.

Mungu ameweka kanuni na taratibu za ulimwengu. ameweka laws of physics, kwa mfano unajenga gorofa kisha mzsingi umejengea kwa udongo wa ufinyanzi, goro likianguka maanake mungu hayupo? ulitaka Mungu aje aweke mkono akuzuilie gorofa lisianguke au? 😀 😀 😀

Pia kuna taratibu za binaadamu kuishi, tunapozivunja hizi taratibu ndipo unaona watu vita, hawaishi kupigana na mabalaa. Hivi ulitaka Mungu aje awaamue msipigane? taratibu za kuishi kashawaekea si mzifate muone kama kutakuwa na hayo ma evil?

Nithibitishie kuwa Mungu hayupo.
 
Tueleweshe mfano huu unaendana vipi na dhana ya uwepo wa Mungu au La.

Kwaio ili iwepo logical consistency manake instead of evil kuwe na good. Kwaio kama kwa sababu kuna evil ndio hakuna logical consistency, umesahau kama kuna mazuri yanatokea dunia ambayo ni logical consistency?

Mungu ameumba malaika, ambao hawafanyi mabaya. Hakushindwa, ila halikuwa lengo lake kuumba tena kiumbe kisichokuwa na freewill, ameumba kiumbe ambacho ni more intelligent and more knowledgable. Baada ya kuumba ichi kiumbe akakiachia free kiamua wenyewe kinataka kufanya nini, Mungu yeye ametoa guidelines tu na kumpa. Ninaweza kukuliza, ikiwa LENGO LA KUMPELEKA MTOTO SHULE ASOME NA AFANIKIWE APATE DEGREE NA SHAHADA NYENGINE, KWANINI ASIPEWE CHETI TU?

Naweza kuthibitisha Mungu yupo, wewe unaweza kuthibitisha kuwa Mungu hayupo?

Nilijua najadiliana na mtu ambae ni msomi. umekusudia neema au rehema za Mungu kwanza?

O M G! 😀 😀 😀 hata maana ya freewill hujui halafu unataka kuprove kuwa Mungu hayupo.

I googled for you: the power of acting without the constraint of necessity or fate; the ability to act at one's own discretion. ata haihusiani na mambo ya kurudi mwaka 1240 wala 1999! Duh Pole sana....

Sasa unaniuliza mimi au nkuulize wewe? wewe si hoja yako ni kuwa kwa vile kuna evilness duniani mungu hawezi kuwepo, sasa nimekwambia kuwa kama hio ndio hoja yako, basi kuna mazuri duniani yanatokea kwaio Mungu yupo... sasa unatapatapa? Simamia hoja yako basi!

Ahahahah... Kwaio hapa kwenye swali lako unatwambia kuwa hayo mazuri yanatokana na kitu kingine sio Mungu kwaio Mungu hayupo, lakini unakataa kuwa haya maovu hakuyaleta Mungu bali ameyaleta mwanadamu mwenyewe na kuwa Mungu atakuja kumhukumu huyu Mwanadamu. Atakuja kumuuliza alichofanya duniani.

Ulimwengu uliokuwa hauna mabaya upo, siku ya hukumu kama ulikuwa mwema basi utaingizwa peponi kama muovu utaenda motoni.

Duniani tumeletwa tujifunze mazuri na mabaya, raha na karaha, starehe na shida, mafanikio na maanguko, tujue nini Furaha na nini kilio. Tufanyie kazi maisha baada ya kifo na tutambue kuwa tupo duniani kuchuma kheri ili siku ya kiama tupate kheri.

and to answer your question in a simplest way, yaani kama hapa hujaelewa tena itakuwa umekusudia kupinga tu na sio kujua.

Mungu ameweka kanuni na taratibu za ulimwengu. ameweka laws of physics, kwa mfano unajenga gorofa kisha mzsingi umejengea kwa udongo wa ufinyanzi, goro likianguka maanake mungu hayupo? ulitaka Mungu aje aweke mkono akuzuilie gorofa lisianguke au? 😀 😀 😀

Pia kuna taratibu za binaadamu kuishi, tunapozivunja hizi taratibu ndipo unaona watu vita, hawaishi kupigana na mabalaa. Hivi ulitaka Mungu aje awaamue msipigane? taratibu za kuishi kashawaekea si mzifate muone kama kutakuwa na hayo ma evil?

Nithibitishie kuwa Mungu hayupo.
Unafahamu logical consistency ni nini?

Maana tunaweza kujibizana mengi, tatizo huelewi hata logical consistncy ni nini.

Sasa kama huelewi logical consistency ni nini, kukupeleka kwa Plantinga, Russell, Aquinas, Anselm, Mbiti, Augustine etc inakuwa kazi kubwa sana.

Kazi ambayo hunipi confidence kwamba inafaa hata kufanywa.

Ni sawa kabisa na kutaka kumfundisha mtu asiyejua kuhesabu hesabu za Sir Roger Penrose katika "The Road To Reality : A Complete Guide To The Laws of The Universe".
 
Unafahamu logical consistency ni nini?

Maana tunaweza kujibizana mengi, tatizo huelewi hata logical consistncy ni nini.

Sasa kama huelewi logical consistency ni nini, kukupeleka kwa Plantinga, Russell, Aquinas, Anselm, Mbiti, Aaugustine etc inakuwa kazi kubwa sana.

Kazi ambayo hunipi confidence kwamba inafaa hata kufanywa.

Ni sawa kabisa na kutaka kumfundisha mtu asiyejua kuhesabu hesabu za Sir Roger Penrose katika "The Road To Reality : A Complete Guide To The Laws of The Universe".
Something that doesnt contradict logic au?
 
Something that doesnt contradict logic au?
Sawa.

Nikikwambia kwamba jedwali hili hapa chini ni kweli, nime contradict logic au sija contradict?

Nina logical consistency au sina?

Unaelewa maana ya neno "consistency"?

1>0
2 >1
3>2
4>3
5>4
6<5
7<6
8<7
9<8
10<9
 
LIKUD
Wewe unaweza kuwa Freemason.

Lakini kuna Freemason wa Freemason.

Mungu hayupo.

Kama unabisha thibitisha yupo.
mbona huyu Mungu anakutesa namna hii?
mara ya mwisho ulisema huna utashi wa kuishi beyond umri Fulani na huwezi kurudi utoto mpaka 1982 ukasema hii ni kwa sababu ndivyo ulivyopangiwa. swali lilikuwa ni nani huyo aliyekupangia kuwa huwezi kuishi beyond unavoweza?
 
Ngoja niende unavotaka wewe....

Enhe, huja contradict hapo mana ulichokiandika kipo sawa... enhev endelea nasubiri nione hoja yako unavoiunda.
 
" I know that which thou no not "
Unataka nikithibitishie ili na wewe upate maarifa kama niliyo pata Mimi? Unasema Mungu hayupo kwa sababu dhana yako kuhusu Mungu imekuwa limited kwenye mafundisho ya dini zile " kubwa" mbili ambao hawajui chochote kuhusu Mungu.Study freemasonry and it will be scientifically and alchemically proved to you about the creator of the universe.Otherwise ukitaka niprove kuhusu uchawi naweza hata sasa hivi kwa kukutumia wewe mwenyewe kama case study
Acha kuwatisha watu.
Hebu nifafaulie Mungu ni nini?
 
mbona huyu Mungu anakutesa namna hii?
mara ya mwisho ulisema huna utashi wa kuishi beyond umri Fulani na huwezi kurudi utoto mpaka 1982 ukasema hii ni kwa sababu ndivyo ulivyopangiwa. swali lilikuwa ni nani huyo aliyekupangia kuwa huwezi kuishi beyond unavoweza?
Unaelewa tofauti ya neno "huna" na una?

Umekusudia kuandika "huna" au "una"?

Kama hujui tofauti ya "huna" na "una" nitapataje hakika kwamba najibizana ma mtu anayejua kusoma?

Kwa nini swali lako linauliza ni nani aliyekupangia na si ni nini kilichokupangia?

Huonibkwamba swali lako lishajielekeza kwenye jibubfulani tayari kabla hata hujapewa jibu, ushaukiza kwa minajili ya "nani" badala ya minajili mipana zaidi ya "nini"?

Unajuaje jibu linatoka kwenye "nani"?

Unajuaje kwamba jibu si "The Second Law of Thermodynamics" ambayo ni "nini" na si "nani"?

Kwa nini unaukiza swali kwa upeo finyu?

Nikikuuliza bendera ya taifa ya Tanzania ni rangi nyekundu ipi utajibu vipi?
 
"Alchemically". That alone shows how quaint you are.

Naomba unitumie uchawi nisiweze kukujibu hapa.

Ukifanya hivyo utakuwa umethibitisha uchawi upo.

Otherwise ukishindwa kufanya hivyo ndani ya 24 hours ukubali kwamba huwezi kuthibitisha uchawi upo.
Uchawi haupangiwi cha kufanya. Bali wenyewe ndo humpangia mtu nini afanye.

Amini nakuambia, uchawi upo ila hakuna kitu kinaitwa Mungu
 
Uchawi haupangiwi cha kufanya. Bali wenyewe ndo humpangia mtu nini afanye.

Amini nakuambia, uchawi upo ila hakuna kitu kinaitwa Mungu
Nikikwambia habari nzima ya "uchawi haupangiwi cha kufanya" ni jitihada za wanaosema uchawi upo ili kujihami wakiambiwa wathibitishe uchawi upo, utasemaje?

Unajuaje huu ni uchawi na si kitu tu ambacho si uchawi ambacho hujakielewa?

Mathalani, wazungu walupokuja na gramaphone, mababu zetu waluposikia hawa watu wana kibox kina mtu anasema nabkinapiga muziki, waliona uchawi.

Leo tunajua si uchawi.

Sasa wewe unapoona kitu ambacho huelewi kinatokeaje, unajuaje huu ni uchawi na si mazingaombwe tu ya tricks za mjanja, au kitu ambacho si uchawi, ila wewe hujakielewa tu kama yule babu alivyokuwa haelewi gramaphone inavyofanya kazi?
 
Ndugu acha kudanganya watu, unanzaje kusema tungekua na hayo mafundisho ya freemason dunia ingekua sehemu salama ya kuishi ilhali wenye ufahamu tunaelewa machafuko mengi duniani hasa vita na magonjwa ya kibailojia yanaratibiwa na hizo jumuia za siri ikiwamo freemason na illuminati?
Karudie tena kufanya utafiti wako uchwara...
Sio kweli. Illuminati wanampango wa kufanya dunia iwe sehemu salama ya kuishi. Yaani pasiwepo na mtu mwenye kutembea na silaha. Utu ndo msingi wa illuminati. Ndio maana wanapingana na mambo ya mipaka. Sijui huyu mtanzania mara yule mkenya.

Wanaopotosha kuhusu hizi secret societies ni hao hao mnaodhani ni wazuri kwenu. Wanaowadanganya kuwa kuna kitu kinaitwa mungu
 
Nikikwambia habari nzima ya "uchawi hauoangiwi cha kufanya" ni jitihada za wanaosema uchawi upo ili kujihami wakiambiwa wathibitishe uchawi upo, utasemaje?

Unajuaje huu ni uchawi na si kitu tu ambacho si uchawi ambacho hujakielewa?

Mathalani, wazungu walupokuja na gramaphone, mababu zetu waluposikia hawa watu wana kibox kina mtu anasema nabkinapiga muziki, waliona uchawi.

Leo tunajua si uchawi.

Sasa wewe unapoona kitu ambacho huelewi kinatokeaje, unajuaje huu ni uchawi na si mazingaombwe tu ya tricks za mjanja, au kitu ambacho si uchawi, ila wewe hujakielewa tu kama yule babu alivyokuwa haelewi gramaphone inavyofanya kazi?
Nakuambia hivyo kwasababu mimi mwenyewe ni mchawi.

Siwezi kuupangia uchawi nini ufanye. Ila uchawi unanipangia mimi ni nini cha kufanya kulingana na maagano tuliyoagana wakati nakubali kuwa mchawi. Uchawi wangu ni wa kujikinga na sio mambo mengine. Najikinga na wachawi wabaya. Linapokalibia kunipata jambo baya ambalo mchawi mbaya anakua amelipanga juu yangu, uchawi wangu huniambia nifanye nini ili hayo mabaya yamrudie huyo mchawi mbaya. Nisipofanya vili uchawi unavyonielekeza, lazima mabaya yanikute.

Ipo hivi mkuu,uchawi ni siraha. Sasa hapo kwenye siraha inataegemeana na mtu mwenye nayo. Kuna wengine wanazitumia vibaya na wengine wanazitumia kwa kujirinda.

Utakua umeelewa japo kidogo
 
Ngoja niende unavotaka wewe....

Enhe, huja contradict hapo mana ulichokiandika kipo sawa... enhev endelea nasubiri nione hoja yako unavoiunda.
Nilichoandika kipo sawa?

Unajua kusoma?

Unajua hesabu?

Sasa kama hapo umeona sawa siwezi kushangaa ukiamini contradiction yoyote.

Na tatizo ni kwamba, watu wengi ninaojibizana nao hapa wako kama wewe.

Hawajui hata kuhesabu moja mpaka kumi.

Halafu wanataka kubishana kuhusu uwepo wa Mungu.
 
LIKUD
Wewe unaweza kuwa Freemason.

Lakini kuna Freemason wa Freemason.

Mungu hayupo.

Kama unabisha thibitisha yupo.
Mkuu nikajua kwa sasa utakua upande wa Mungu. Kumbe bado una mtizamo ule ule wa kipindi kile cha JK kabla hujatuaga kuelekea kusikojulikana?
 
Back
Top Bottom