LIKUD
Wewe unaweza kuwa Freemason.
Lakini kuna Freemason wa Freemason.
Mungu hayupo.
Kama unabisha thibitisha yupo.[/
Unajua mwenyewe nimefanya research sana kuhusu Freemansory nikaja kugundua kuwa wanachokijua wengi kuhusu hawa jamaa sio kweli na ni upotoshaji tu.
Freemasons sio watu kama wanavyofikiriwa ila ni moja kati ya secret societies ambazo zina maamuzi na impact kubwa sana katika matukio yanayoendelea duniani kila uchwao
Mkuu uwe makini na matumizi ya lugha,umefanya resercha ukaweka neno
sana,unaweza ukaileta writen report ya research yako,methodoligies ulizotumia na unajua research ina gharama ,nategemea ulikuwa unasafiri huku na kule au ulitumia tu internet ukamaliza.Tupe report tuone mkuu.