Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Sina mashaka na tafiti yako, imekaa vzr kwa kuwa watu wa imani umemtukuza Mungu wetu aliye Mkuu.
Lakini napata ukakasi pale unapo muandika mungu wa kabili ktk mazingira sawa na Mungu wa kweli.

Usitumie herufi kubwa kwa kumtambulisha mungu wa vichochoroni. IPO hivyo na itadumu hivyo hata Milele.
Hivi Mungu unae muamini anafungwa na herufi kweli? Au unaonyesha jinsi gani haumpendi Mungu wako?
 
Hoja zako ni zipi hasa?
Jifunze Mana ya utafiti. Uwezi kutumia sample ya Mtu mmoja afu useme umefanya utafiti. Ili kukubaliana na hoja za utafiti kwanza unaangalia jinsi utafiti ulivyofanywa then unakuja kwenye matokeo ya utafiti.

Ko hoja yangu kubwa nimeangalia jinsi utafiti ulivyofanywa kwa kumuuliza mtu mmoja hapo tu inanifanya nisiamini kama ulifanya utafiti.
 
Alchemically ndio .Hata ukitaka God awe proved kwako " Anatomically" inawezekana pia..Anyways kuhusu uchawi " Go and tell ur biological father that I Likud of Jamii Forums has said that tomorrow he will die and on the day of his barrier there will be the heaviest rainfall ever" Fanya hivyo halafu uone kama baba ako mzazi ataishi zaidi ya hiyo kesho.
Mzee hebu nilogee wanaonidai wasikumbuke madeni yao
 
Jifunze Mana ya utafiti. Uwezi kutumia sample ya Mtu mmoja afu useme umefanya utafiti. Ili kukubaliana na hoja za utafiti kwanza unaangalia jinsi utafiti ulivyofanywa then unakuja kwenye matokeo ya utafiti. Ko hoja yangu kubwa nimeangalia jinsi utafiti ulivyofanywa kwa kumuuliza mtu mmoja hapo tu inanifanya nisiamini kama ulifanya utafiti.
Sawa
 
Na huo ndiyo ukweli japo bado hujaandika wote, hapa tunahitaji pdf kabisa maana ni utafiti, takwimu ziwekwe wazi
 
Utafiti wa aya tano! Hujui lolote hizi ni stori tu za kijiweni!
 
Bado hujaelezea kitu,funguka mkuu
 
Asili ya matendo ni mawili tu eidha afanye uovu au afanye mema. Ukiwa muovu lazima utakuwa na kundi lako na ukiwa mwema lazima utakuwa na kundi lako. Sasa hapa ni vita baina ya wema na waovu, mwisho wa safari wema lazima washinde hii ndio asili ya ubinadamu.

Kwa hiyo kundi lolote lisilo tambua Uungu wa kweli, basi hao ni Magenge ya maharamia fullstop.
 
Unacho kijua wewe ni kipi?
Tatizo akili zako fupi, kasome post ya mwanzo kwa utulivu ndipo ukarudie kufanya utafiti wako kila kitu kinaeleweka.

Vinginevyo labla useme upo hapa kuhadaa watu kwa utapeli wa kuwaunganisha na freemason ili ujipatie kipato.
 
mkuu, nimetoa hiyo kama changamto tu.
Rudi kutafakari na kuufuatilia, utajua hizo bibilia na misaafu imewekwa na hao wafuasi wa Kaini na Henoko mwana wa kaini kwa matiki zipi. Haziko hapo kumuabudu Mungu wa kweli zaidi ya Lucifer wao wanamwamini kuwa alionewa na alifanyiwa njama na Yesu(Adonai) kutupwa huku duniani na hana kosa kabisa.(Unbiblical opinions)

Asubuhi njema.
Ushauri, Usiamini kila anayeshika kitabu kitakatifu ukadhani yuko upande wa Mungu anayeelezewa humo.
Duuh,mkuu[emoji33] [emoji33]
 
Let me tell u onething .U have a very low and limited understanding about the true God.What is alama za nyakati?God is God and Alama za nyakati is alama za nyakati.We are not talking about alama za nyakati here
mkuu usiwe manipulated san na ujuaji wako mwingi sana hao freemason unaowaongelea walishaonyeshwa mda mrefu kuwepo kwao kwenye vitabu vya dini na hizi ndio alama zao

technical questions freemason eventually ilianza kipindi cha enlightement ulaya je wajua ni kwanini? i hope utaonaanza kuona how low and unlimited understand yang vizur naw
 
Tatizo akili zako fupi, kasome post ya mwanzo kwa utulivu ndipo ukarudie kufanya utafiti wako kila kitu kinaeleweka...
Vinginevyo labla useme upo hapa kuhadaa watu kwa utapeli wa kuwaunganisha na freemason ili ujipatie kipato.
Nadhani wewe ndio hujaelewa post yangu. Unge ielewa post yangu wala usingesema ninataka kuwaunganisha watu na freemasons. Point ya tatu nimeeleza wazi kabisa kwamba ile dhana ya kwamba ukitaka utajiri jiunge Freemason utoe kafara uwe tajiri ni dhana potofu ambayo inaenezwa na watu wasio jua chochote kuhusu freemasonry.

Kwa hiyo huna hoja ya msingi hapo. Nacho kiona kwako ni uoga tu wa kuogopa kitu usicho kijua .Uoga ambao umepandwa kwenye fikra zako tangu ukiwa mtoto mdogo. Labda kwa kikuongezea tu Freemasonry membership is only by invitation
 
mkuu usiwe manipulated san na ujuaji wako mwingi sana hao freemason unaowaongelea walishaonyeshwa mda mrefu kuwepo kwao kwenye vitabu vya dini na hizi ndio alama zao

technical questions freemason eventually ilianza kipindi cha enlightement ulaya je wajua ni kwanini? i hope utaonaanza kuona how low and unlimited understand yang vizur naw
Unazungumzia vitabu vya dini zipi? Halafu una uhakika freemasonry imeanzia ulaya? Like serious?What is ur reference?
 
Back
Top Bottom