Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye ameumba ulimwengu huu uliojaa mabaya, hayupo, ni dhana tu, tena dhana potofu inayoweza kuoeshwa kimantiki kwamba inajipinga yenyewe. Ina contradiction.

Kusema Mungu huyo yupo ni sawa sawa na kusema kuna "pembe tatu yenye pembe sita" katika Euclidean plane geometry.

Yani ni kitu ambacho definition yake yenyewe ina mambo mawili yanayojipinga, kwa hiyo hakiwezi kuwepo kiuhalisi.

Mungu huyo anajipinga kama "pembetatu yenye pembe sita"

Angekuwepo, utakatifu wake, ujuzi wake, upendo wake na uwezo wake mkuu, usingeruhusu ulimwengu wenye kuweza kuwa na mabaya mengi kama huu uweze kutokea.

Kama unakubali Mungu huyo yupo, imekuwaje akaruhusu ulimwengu huu uweze kuwepo ilhali una uwezekano wa kuwa na mabaya mengi sana?

Jibu la shetani halitoshi, kwa sababu shetani alikuja baadaye, naongelea uumbaji wa ulimwengu kabla shetani hajakuwepo. Ukisema mabaya yamesababishwa na wanadamu kula tunda bustani ya Edeni, nitakwambia kabla ya binadamu kula tunda Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hawawezi kula tunda, kwa nini hakuumba huo?

Mungu huyo hayupo. Ni hadithi tu.
Umetoa maelezo, lakini bado hujaprove kuwa Mungu hayupo naona.

Hoja yako umeijenga kupitia maovu, dhulma n.k yanayotokea duniani huku tunaambiwa Mungu anatupenda sana. Kwanini hajaifanya dunia ikawa salama tu.

Labda utwambie, aliekwenda kurusha mabomu Syria ni Mungu? twende slow slow
 
Unaweza kusemaaliyekwenda kurusha mabomu Syria si Mungu, kwa sababu Mungu hayupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye utakatifu wote, uwezo wote, upendo wote, angekuwepo, palemwanzo kabisa alipokuwa anaamua kuuumba ulimwengu (kabla shetani, watu, ulimwenguhavijakuwapo) asingejiruhusu kuumba ulimwengu ambao watu wanawezakurushiana mabomu,watoto wachanga wanakufa kwa kufukiwa na kifusi kinachotokana na tetemekokubwa laardhi etc etc.

Ulimwengu huu tunaouona ambao maovu mengi yanaweza kutokea unapingana moja kwa moja na sifa za huyo Mungu mnayemsema yupo.

Kuwepo kwa Mungu huyo, halafu akaumba ulimwengu huu tunaouona ni sawasawa na kuwapo kwa "pembe tatu yenye pembe sita", pembe tatu hiyo yenye pembe sita haiwezi kuwepo kiuhalisia kwa sababu ileile ambayo Mungu huyo hawezi kuwepokiuhalisia.

Logical consistency. Contradiction.

Pembe tatu hiyo yenye pembe sita haina logical consistency.Dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.Ina contradiction.

Vivyo hivyo.

Mungu huyo dhana ya kuwepo kwake haina logical consistency. Dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.Ina contradiction.

Mungu huyu ni hadithi za kuliwaza moyo na kuwarudisha watu kwenye mstari na kuwa control watu tu, lakini kiuhalisia hawezi kuwepo.
 
God is not a magician
 
Freemasonry is as quaint as alchemy.

You might as well try to make gold out of lead. Metaphorically and literally.
Alchemy is a secret art. Dont take it literally . when Alchemists claim that they can make gold out of lead, quicksands and mercury don't just take it and go away.

Most of the times it is symbolic. U know the brethrens communicate through symbology....

What u have just said is very possible through 14 processes of Alchemy. By the way if ur wondering about gold being made out lead u may as well wondering seeing a mustard seed producing a bush many thousands of times the size of the seed.
 
Alchemy is a secret art.Dont take it literally . when Alchemists claim that they can make gold out of lead,quicksands and mercury don't just take it and go away..Most of the times it is symbolic. U know the brethrens communicate through symbology....

What u have just said is very possible through 14 processes of Alchemy. By the way if ur wondering about gold being made out lead u may as well wondering seeing a mustard seed producing a bush many thousands of times the size of the seed.
If this alchemy and Freemasonry is such a secret art and society, why are you even talking about it here?

Can you prove God exists?
 
Yes, because he does not exist.
I was responding to ur coment that If God is so and so why he has not done so and so..He is not a magician to do what u want him to do ..Am sure as hell he is not intending to be
 
If this alchemy and Freemasonry is such a secret art and society, why are you even talking about it here?

Can you prove God exists?
The very reason that its a secret doctrine is why am talking about it here
 
It’s interesting walahi!
Asante sana kwa somo!
 
If this alchemy and Freemasonry is such a secret art and society, why are you even talking about it here?

Can you prove God exists?
Kiranga unaweza kuniambia wewe ni nini unachokijua kuhusu mwanzo wa Dunia na maisha?

Maana sidhani kama kuna maana hapa ya wewe kuwakaba watu makoo ikiwa we mwenyewe hujui kitu!
 
Huwa napenda kutumia hesabu na logic kutoa analogies, kwa sababu hesabu zina tabia ya kuonesha mambo wazi kabisa ukijua kuzifuatilia vizuri.

Unafahamu hesabu za square root?

Nikikwambia square root ya 2 ni 10 utakubali?

Unaweza kuiandika kwa ukamilifu square root ya 2 in decimal point notation?
 
Ukifuatilia Historia, Utagundua Hisabati zote Zimekuwa Discovered na Hawa Hawa Raia. Watu Hawakuzikuta hisabati Duniani Ila Hisabati ziliwakuta Watu!

Lengo Langu Hapa Sihitaji Unisimulie Habari Iliyotengenezwa Na Mtu! La Hasha Nahitaji Uniambie Source ya Mtu ni nini? Na si Habari Za Forfigure wala Kutoa
 
Hisabati zimewakuta watu,watu wangapi? Unajua ukishasema watu tayariushaingia kwenye hisabati, kwa sababu watu ni zaidi ya mtu mmoja?

Sasa kama hisabati zimewakuta watu, utajuaje watu na si mtu bila hisabati?

Ukiwa na nazi mbili, lakinihujui kuhesabu kujua tofauti ya moja na mbili, hizo nazi mbili zitakuwa mbili?
 
Unaweza kuniambia makao Ya Hisabati yalipo Twende? Kama Si Kichwani Mwa mtu?
 
Unaweza kusemaaliyekwenda kurusha mabomu Syria si Mungu, kwa sababu Mungu hayupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye utakatifu wote, uwezo wote, upendo wote, angekuwepo, palemwanzo kabisa alipokuwa anaamua kuuumba ulimwengu (kabla shetani, watu, ulimwenguhavijakuwapo) asingejiruhusu kuumba ulimwengu ambao watu wanawezakurushiana mabomu,watoto wachanga wanakufa kwa kufukiwa na kifusi kinachotokana na tetemekokubwa laardhi etc etc.

Ulimwengu huu tunaouona ambao maovu mengi yanaweza kutokea unapingana moja kwa moja na sifa za huyo Mungu mnayemsema yupo.

Kuwepo kwa Mungu huyo, halafu akaumba ulimwengu huu tunaouona ni sawasawa na kuwapo kwa "pembe tatu yenye pembe sita", pembe tatu hiyo yenye pembe sita haiwezi kuwepo kiuhalisia kwa sababu ileile ambayo Mungu huyo hawezi kuwepokiuhalisia.

Logical consistency. Contradiction.

Pembe tatu hiyo yenye pembe sita haina logical consistency.Dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.Ina contradiction.

Vivyo hivyo.

Mungu huyo dhana ya kuwepo kwake haina logical consistency. Dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.Ina contradiction.

Mungu huyu ni hadithi za kuliwaza moyo na kuwarudisha watu kwenye mstari na kuwa control watu tu, lakini kiuhalisia hawezi kuwepo.
Mimi naamini Mungu yupo.

Naamini pia kwamba sisi ni sehemu yake nk,pia naamini hajali wala hahukumu mtu anayeamini kama yupo wala hayupo kwamba habari za moto nk ni uzushi.

Ila ukitafuta uthibitisho kama yupo utaupata,na ukitafuta uthibitisho kama hayupo pia utaupata ili nafsi yako iridhike. Lakini narudia tena hayo yote hayana maana zaidi ya kutenda mema,hapo ndio kila kitu.

Soma Spiritual Laws by Vicent Gulliem
 
Unaweza kuniambia makao Ya Hisabati yalipo Twende? Kama Si Kichwani Mwa mtu?
Huyo mtu akifa na kichwa chake kisifanye kazi, kutakuwa na maiti ya mtu mmoja au wawili?
 
Mimi naamini Mungu yupo.

Naamini pia kwamba sisi ni sehemu yake nk,pia naamini hajali wala hahukumu mtu anayeamini kama yupo wala hayupo kwamba habari za moto nk ni uzushi.

Ila ukitafuta uthibitisho kama yupo utaupata,na ukitafuta uthibitisho kama hayupo pia utaupata ili nafsi yako iridhike. Lakini narudia tena hayo yote hayana maana zaidi ya kutenda mema,hapo ndio kila kitu.

Soma Spiritual Laws by Vicent Gulliem
Kuaminiunaruhusiwakuamini chochote, ni haki yakoya kikatiba na hata UniversalDeclaration ofHuman Rights inakupa uhuru wa kuabudu utakavyo, mradi huvunji sheria tu.

Na mimi nitakutetea uamini unavyotaka.

Hiyo imani.

Fact ni kitu kingine. Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Thibitisha.
 
Back
Top Bottom