Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

kule kwenye madhabahu zao kuna kila kitabu kitakatifu, inategemea unapendelea kipi katika kuapa, bibilia, Quran, Torah, Thamapadra, gita, granth sahib, etc

Hata yesu alijaribiwa na shetani kwa maneno ya Bibilia. ndio maana sio ajabu kumkuta mason mkristo, muislam au dini yoyote hata kiongozi.

Ila nyuma ya pazia ambapo wewe unapaita siri, ndio panamtofautisha mjenzi huru na Mwabudu wa Kweli.
 
kule kwenye madhabahu zao kuna kila kitabu kitakatifu, inategemea unapendelea kipi katika kuapa.
bibilia,Quran,Torah, Thamapadra, gita,granth sahib, etc
Hata yesu alijaribiwa na shetani kwa maneno ya Bibilia. ndio maana sio ajabu kumkuta mason mkristo,muislam au dini yoyote hata kiongozi.
Ila nyuma ya pazia ambapo wewe unapaita siri, ndio panamtofautisha mjenzi huru na Mwabudu wa Kweli.
Unajua maana ya mjenzi huru? Unafahamu hilo hekalu linalo jengwa ni kitu gani? Nashukuru kwa kutoa ufafanuzi kuhusu kuapa kwa kutumia vitabu vya dini zote maana ningesema Mimi najua watu wenye mahaba na dini zao wangetoa povu

Kwa kuongezea tu hapo ni kwamba wao wanasema " They blv in the light regardless of who bears it" Kama waislamu na wakristo wangeamini katika hilo basi ingekuwa poa sana
 
" I know that which thou no not "
Unataka nikithibitishie ili na wewe upate maarifa kama niliyo pata Mimi? Unasema Mungu hayupo kwa sababu dhana yako kuhusu Mungu imekuwa limited kwenye mafundisho ya dini zile " kubwa" mbili ambao hawajui chochote kuhusu Mungu.Study freemasonry and it will be scientifically and alchemically proved to you about the creator of the universe.Otherwise ukitaka niprove kuhusu uchawi naweza hata sasa hivi kwa kukutumia wewe mwenyewe kama case study
"Alchemically". That alone shows how quaint you are.

Naomba unitumie uchawi nisiweze kukujibu hapa.

Ukifanya hivyo utakuwa umethibitisha uchawi upo.

Otherwise ukishindwa kufanya hivyo ndani ya 24 hours ukubali kwamba huwezi kuthibitisha uchawi upo.
 
ulishindwa hta kutofautisha harama na nyakati zinazopingana na mungu ambazo vitabu vingi vya dini vimeandika hayo
Let me tell u onething .U have a very low and limited understanding about the true God.What is alama za nyakati?God is God and Alama za nyakati is alama za nyakati.We are not talking about alama za nyakati here
 
"Alchemically". That alone shows how quaint you are.

Naomba unitumie uchawi nisiweze kukujibu hapa.[/QUOTE

Alchemically ndio.Tatizo umekariri.Anyways kuhusu kukutumia uchawi nataka nifanye sasa hivi.But before I can do that let me ask u a very honest question that demand a very honest answer.
Baba ako mzazi bado yupo hai ?"
 
"Alchemically". That alone shows how quaint you are.

Naomba unitumie uchawi nisiweze kukujibu hapa.

Ukifanya hivyo utakuwa umethibitisha uchawi upo.

Otherwise ukishindwa kufanya hivyo ndani ya 24 hours ukubali kwamba huwezi kuthibitisha uchawi upo.

Alchemically ndio .Hata ukitaka God awe proved kwako " Anatomically" inawezekana pia.

Anyways kuhusu uchawi " Go and tell ur biological father that I Likud of Jamii Forums has said that tomorrow he will die and on the day of his barrier there will be the heaviest rainfall ever" Fanya hivyo halafu uone kama baba ako mzazi ataishi zaidi ya hiyo kesho.
 
Biblia inasema cku za mwisho wengi watajitenga na imani nakugeukia mafundisho ya mashetani na roho zidanganyazo, unawezaje kuzijua siri za Mungu kwa kumtumia mganga?
Pole sana ndugu yangu.
 
Point yako ya tano imelenga nini mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ili uweze kutenda muujiza wowote ule wa kiungu ni lazima ujue kuhusu Alchemical and Anatomical formulas za jambo ambalo unataka kulifanya.

Kwa mfano kama unataka kuomba mvua inyeshe kuna formula yake ya kisayansi kabisa .Vivyo hivyo ukitaka mvua isinyeshe.Ukitaka bahari ipasuke kama alivyo fanya Mussa, kutembea juu ya maji, kurudisha watu kwenye uhai n.k

Kuhusu mwanadamu ukitaka kumtawala mwanadamu kiroho ni lazima kwanza uwe unajua Alchemical composition of his soul n.k

Haya ni maarifa waliyo kuwa nayo akina Mussa, Suleiman and company na ndio maana wanaheshimika sana in freemasonry . Ninacho maanisha kwa ufupi ni kwamba huwezi kuwa na upako wa kiungu au kutenda muujiza wa aina yoyote kwa kutamka tu maneno ni lazima uwe unajua Alchemical formula ya kutenda muujiza huo.

Sayansi ni kivuli cha hekima za mbinguni ( According to Freemasonry)
 
Huyu jamaa muongo ndo utafiti gani unafanya kwa kumuuliza Babu yako pekeake afu unakuja na kusema umefanya kwa muda mrefu. Huo haujakizi kua utafiti labda ni story tu mlizokua mnasimuliana

Ukweli ni nini?
 
Ndugu acha kudanganya watu, unanzaje kusema tungekua na hayo mafundisho ya freemason dunia ingekua sehemu salama ya kuishi ilhali wenye ufahamu tunaelewa machafuko mengi duniani hasa vita na magonjwa ya kibailojia yanaratibiwa na hizo jumuia za siri ikiwamo freemason na illuminati?

Karudie tena kufanya utafiti wako uchwara...
 
Unajua maana ya mjenzi huru? Unafahamu hilo hekalu linalo jengwa ni kitu gani? Nashukuru kwa kutoa ufafanuzi kuhusu kuapa kwa kutumia vitabu vya dini zote maana ningesema Mimi najua watu wenye mahaba na dini zao wangetoa povu..Kwa kuongezea tu hapo ni kwamba wao wanasema " They blv in the light regardless of who bears it" Kama waislamu na wakristo wangeamini katika hilo basi ingekuwa poa sana
mkuu, nimetoa hiyo kama changamto tu.
Rudi kutafakari na kuufuatilia, utajua hizo bibilia na misaafu imewekwa na hao wafuasi wa Kaini na Henoko mwana wa kaini kwa matiki zipi. Haziko hapo kumuabudu Mungu wa kweli zaidi ya Lucifer wao wanamwamini kuwa alionewa na alifanyiwa njama na Yesu(Adonai) kutupwa huku duniani na hana kosa kabisa.(Unbiblical opinions)

Asubuhi njema.
Ushauri, Usiamini kila anayeshika kitabu kitakatifu ukadhani yuko upande wa Mungu anayeelezewa humo.
 
Sio kweli
 
Ndugu acha kudanganya watu, unanzaje kusema tungekua na hayo mafundisho ya freemason dunia ingekua sehemu salama ya kuishi ilhali wenye ufahamu tunaelewa machafuko mengi duniani hasa vita na magonjwa ya kibailojia yanaratibiwa na hizo jumuia za siri ikiwamo freemason na illuminati?
Karudie tena kufanya utafiti wako uchwara...
Una uthibitisho wa unacho kisema?
 
LIKUD
Sina mashaka na tafiti yako, imekaa vzr kwa kuwa watu wa imani umemtukuza Mungu wetu aliye Mkuu.
Lakini napata ukakasi pale unapo muandika mungu wa kabili ktk mazingira sawa na Mungu wa kweli.

Usitumie herufi kubwa kwa kumtambulisha mungu wa vichochoroni. IPO hivyo na itadumu hivyo hata Milele.
 
Mi sina ukweli wa hayo mambo ila sikubaliani na utafiti ulivyofanywa kwa kumuuliza mtu mmoja afu unakuja na majibu ya utafiti.
Hoja zako ni zipi hasa?
 
Back
Top Bottom