Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Mkuu nikajua kwa sasa utakua upande wa Mungu.. Kumbe bado una mtizamo ule ule wa kipindi kile cha JK kabla hujatuaga kuelekea kusikojulikana?
Hata huyo unayemuita Mungu mwenyewe hayupo upande wa Mungu.

Kwa sababu hayupo.

Kwa sababu hata kinadharia tu Mungu ana contradiction na hathibitishiki.

Sasa mimi unataka niwe uoande wa Mungu upi huo ambaobhaupi?

Unataka nife?
 
Unaelewa tofauti ya neno "huna" na una?

Umekusudia kuandika "huna" au "una"?

Kama hujui tofauti ya "huna" na "una" nitapataje hakika kwamba najibizana ma mtu anayejua kusoma?

Kwa nini swali lako linauliza ni nani aliyekupangia na si ni nini kilichokupangia?

Huonibkwamba swali lako lishajielekeza kwenye jibubfulani tayari kabla hata hujapewa jibu, ushaukiza kwa minajili ya "nani" badala ya minajili mipana zaidi ya "nini"?

Unajuaje jibu linatoka kwenye "nani"?

Unajuaje kwamba jibu si "The Second Law of Thermodynamics" ambayo ni "nini" na si "nani"?

Kwa nini unaukiza swali kwa upeo finyu?

Nikikuuliza bendera ya taifa ya Tanzania ni rangi nyekundu ipi utajibu vipi?
cut the bullshit and man up! wewe hapo unaona nimeandika nini? nilichoandika ndicho nilichomaanisha na ndicho ulichokisema ulipokiandika humu jamvini. sasa don't stupidly refute it and answer my question.

uliposema umepangiwa miaka ya kuishi ni nani huyo aliyekupangia miaka ya kuishi?
 
cut the bullshit and man up! wewe hapo unaona nimeandika nini? nilichoandika ndicho nilichomaanisha na ndicho ulichokisema ulipokiandika humu jamvini. sasa don't stupidly refute it and answer my question: uliposema umepangiwa miaka ya kuishi ni nani huyo aliyekupangia miaka ya kuishi?
Kwa nini swali liwe nani?

Nikikuuliza bendera ya taifa ya Tanzania ni ya aina gani ya rangi nyekundu utajibu vipi?

Mbona swali lako linajielekeza katika jibu fulani hata kabla hujajua jibu nitakalokujibu?

Mbona unalifunga jibu langu katika "nani" wakati jibu si lazima litoke katika swali la "nani" ?

Mbona unaniuliza bendera ya taifa ya Tanzania ni ya aina gani ya rangi nyekundu wakati sijakubali kwamba bendera ya taifa ya Tanzania ni ya rangi nyekundu at all?
 
daaaaah.
ngoja niunganishwe duniani.
huku kuzimu sikutaki tena
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye ameumba ulimwengu huu uliojaa mabaya, hayupo, ni dhana tu, tena dhana potofu inayoweza kuoeshwa kimantiki kwamba inajipinga yenyewe. Ina contradiction.

Kusema Mungu huyo yupo ni sawa sawa na kusema kuna "pembe tatu yenye pembe sita" katika Euclidean plane geometry.

Yani ni kitu ambacho definition yake yenyewe ina mambo mawili yanayojipinga, kwa hiyo hakiwezi kuwepo kiuhalisi.

Mungu huyo anajipinga kama "pembetatu yenye pembe sita"

Angekuwepo, utakatifu wake, ujuzi wake, upendo wake na uwezo wake mkuu, usingeruhusu ulimwengu wenye kuweza kuwa na mabaya mengi kama huu uweze kutokea.

Kama unakubali Mungu huyo yupo, imekuwaje akaruhusu ulimwengu huu uweze kuwepo ilhali una uwezekano wa kuwa na mabaya mengi sana?

Jibu la shetani halitoshi, kwa sababu shetani alikuja baadaye, naongelea uumbaji wa ulimwengu kabla shetani hajakuwepo. Ukisema mabaya yamesababishwa na wanadamu kula tunda bustani ya Edeni, nitakwambia kabla ya binadamu kula tunda Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hawawezi kula tunda, kwa nini hakuumba huo?

Mungu huyo hayupo. Ni hadithi tu.
Kama wewe unaamini kua mungu hayupo, ipi ni asili ya binadam na viumbe wengine?
 
Kwa nini swali liwe nani?

Nikikuuliza bendera ya taifa ya Tanzania ni ya aina gani ya rangi nyekundu utajibu vipi?

Mbona swali lako linajielekeza katika jibu fulani hata kabla hujajua jibu nitakalokujibu?

Mbona unalifunga jibu langu katika "nani" wakati jibu si lazima litoke katika swali la "nani" ?

Mbona unaniuliza bendera ya taifa ya Tanzania ni ya aina gani ya rangi nyekundu wakati sijakubali kwamba bendera ya taifa ya Tanzania ni ya rangi nyekundu at all?
you are thinking narrowly. why don't you have broad mind and give the entity that limited your the time of your living?
 
Unaweza kusemaaliyekwenda kurusha mabomu Syria si Mungu, kwa sababu Mungu hayupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye utakatifu wote, uwezo wote, upendo wote, angekuwepo, palemwanzo kabisa alipokuwa anaamua kuuumba ulimwengu (kabla shetani, watu, ulimwenguhavijakuwapo) asingejiruhusu kuumba ulimwengu ambao watu wanawezakurushiana mabomu,watoto wachanga wanakufa kwa kufukiwa na kifusi kinachotokana na tetemekokubwa laardhi etc etc.

Ulimwengu huu tunaouona ambao maovu mengi yanaweza kutokea unapingana moja kwa moja na sifa za huyo Mungu mnayemsema yupo.

Kuwepo kwa Mungu huyo, halafu akaumba ulimwengu huu tunaouona ni sawasawa na kuwapo kwa "pembe tatu yenye pembe sita", pembe tatu hiyo yenye pembe sita haiwezi kuwepo kiuhalisia kwa sababu ileile ambayo Mungu huyo hawezi kuwepokiuhalisia.

Logical consistency. Contradiction.

Pembe tatu hiyo yenye pembe sita haina logical consistency.Dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.Ina contradiction.

Vivyo hivyo.

Mungu huyo dhana ya kuwepo kwake haina logical consistency. Dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.Ina contradiction.

Mungu huyu ni hadithi za kuliwaza moyo na kuwarudisha watu kwenye mstari na kuwa control watu tu, lakini kiuhalisia hawezi kuwepo.
Elimu ni chanzo cha kupotea kwa imani ya kweli, embu tuambie asili yako hapa duniani
 
Kama wewe unaamini kua mungu hayupo, ipi ni asili ya binadam na viumbe wengine?
Sijui. Lakini si huyu Mungu.

Na sihitaji kujua asili ya binadamu ili kujua kwamba jibu la Mungu nibla uongo.

Kama vile ambavyo sihitaji kujua square root ya 2 ni nini, ili kujua kwamba mtu akisema square root ya 2 ni 10, hilo ni jibu la uongo.

Jibu la kuwapo Mungu na Mungu kuwa chanzi cha maisha, na jibubka square root ya 2 ni 10, yanafanana. Yote yana contradiction.
 
you are thinking narrowly. why don't you have broad mind and give the entity that limited your the time of your living?
Andika Kiswahili labda utaeleweka. Au rekebisha ulichoandika.

Nilichonukuu hakina mantiki.

What does "the entity that limited your the time of your living" mean?

Did you mean "the entity that limited you the time of your living"?

If so, what entity is that according to you?
 
Nilichoandika kipo sawa?

Unajua kusoma?

Unajua hesabu?

Sasa kama hapo umeona sawa siwezi kushangaa ukiamini contradiction yoyote.

Na tatizo ni kwamba, watu wengi ninaojibizana nao hapa wako kama wewe.

Hawajui hata kuhesabu moja mpaka kumi.

Halafu wanataka kubishana kuhusu uwepo wa Mungu.
Anhaa.... nimefanya mistake kwa ku overlook greater than and less than... okey 10 is not less than 9.... i still want to know how you are going to prove god doesnt exist endelea.
 
Anhaa.... nimefanya mistake kwa ku overlook greater than and less than... okey 10 is not less than 9.... i still want to know how you are going to prove god doesnt exist endelea.
Hujajibu swali langu.

Hilo jedwali zima lina logical consistency au halina?

Lina contradiction au halina?
 
If so, what entity is that according to you?
ngoja nichukue ushauri wako.
ulisema huwezi kurudi 1982 au kwenda mbele kwa kuwa umeshapangiwa (wewe ulisema umeshapangiwa) miaka ya kuishi (labda ubadilishe leo). nakuuliza aliyekupangia au kilichokupangia au vilivyokupangia au yaliyokupangia, hicho ulichosema kimekupangia ni kinini?

usikwepe kwepe swali wewe kwa kujitoa ufahamu. toa jibu tu.
 
Lina contradiction
Nikitumia swali uliloniuliza mwanzo, kwa nini unasema lina contradiction wakati mstari wa kwanza mpaka wa tano hauna contradiction?

Ushaona kwamba contradiction moja tu katika number line inaleta contradiction katika number line nzima?

Umeelewa point yangu?
 
Unajua kwenye bible imeandikwa " Kumcha Mungu ndio chanzo cha maarifa" yani knowledge .And the true knowledge is the one that help you to acquire, maintain and protect power.Mind u wazungu sio wajinga kiasi hicho wakwambie kila kitu kuhusu Mungu aliye wapa maarifa yaliyo wafanya wawe na nguvu za kuutawala ulimwengu. Wakupe siri zao ili na wewe uwe kama wao.Unacho kijua kuhusu Mungu ni kile kilicho achiwa na kukusudiwa kijulikana kwa wale tu wanao stahili kupotoshwa.But kiukweli kabisa u don't no nothing about the creator
kwa hiyo wazungu wanamonopolize Mungu (creator), huyo Mungu hana ujanja wa kuji reveal kwa watu wa races nyingine.
 
Nimetoa ushabiki pembeni nimeamua kutumia fikra huru kuhusu hawa freemasonry, sasa najiuliza kama wao ni jamii njema kwa walimwengu kwa nini wawe jamii ya siri?

kwa nini wauangamize ulimwengu kwa kuanzisha maradhi mbali mbali, vita na njaa ili mradi tuu ulimwengu uwe kwenye mikono ya taabu? wewe wala huyo uliye kuwa unafanya nae utafiti wote hamuijui freemasonry, ila wao wana sura mbili kama alivyo baba yao shetani, shetani anaweza kukuodanganya ufanye kitu fulani lakini madhara ya kile kitu yatakukumba mwenyewe, ndie aliye mdanganya farao akatishe bahari kuwafuata wana wa israel matokeo alizama kwenye bahari na kumuacha shetani huru

sasa hata wao wana sura mbili, wana sura ya kuwaongopea walimwengu waone kama kile ni chombo huru tuu na kina lengo jema kwao lakini ingia sasa, ndio utajua kwa nini wana madaraja 33, aliyeko daraja la kwanza huku chini hajui kilichoko daraja linalofuata ila anaejua siri zote ni yule aliyeko juu kabisa mwenye degree 33

yote hiyo ni kuwafumba walimwengu na wanachama wenye akili nyepesi kama mimi na wewe, soma kitabu kinaitwa The Biggest secret, ndo utajua kinachoendelea juu ya hiyo jamii, ndio wanaowabambikia wananchi madeni ya taifa, ndio walio asisi magonjwa mbalmbali ulimwenguni kama ukimwi nk, ndio waanzilishi wa vita na baadhi ya migogoro mbalimbali ulimwenguni, ndio walioanzisha civil war America miaka hiyo wakiwa na lengo la kuifanya America iingie kwenye deni la dunia, pale walipo mwambia Lincoln aiache vita iliyokuwa imeanzishwa na raia mamluki wakijifanya hawtendewi haki katika nchi yao kulingana na ubaguzi nk then wao nchi itakapokuwa kwenye crisis wao ndio watakuwa wana i finance America ikiwa vitani,

Lincoln alikaidi kwa kuchapisha pesa ya mpito 'green bucks' ili itumike kwa muda wakati america iko vitani maana hali ilikuwa tete, kilichomkuta ulimwengu unajua!

Maraisi wetu hawa watafanya kila kitu ila ole wake raisi atakayeona pesa imekuwa ngumu basi achapishe noti mpya, kitakachompata atakijua mwenyewe, magavana wengi wa benk mbalimbali duniani lazima wawe wamepitia world bank, benki yao hii!

nyie mtalalamika uchumi unasumbua, pesa imekua ngumu nk lakini mtaambiwa uchumi unaenda poa na kwa kukazia WB ndio itasisitiza kuwa uchumi wa nchi fulani unaenda vizuri, Deni la taifa huwa halilipiki, ni kama spring kadiri unavyolilipa ndivyo linavyozidi.

kifupi hawa jamaa wame u compromise ulimwengu kwa kiasi kikubwa sana unahitaji akili kubwa kuwaelewa
 
  • Thanks
Reactions: ywf
kwa hiyo wazungu wanamonopolize Mungu (creator), huyo Mungu hana ujanja wa kuji reveal kwa watu wa races nyingine.
wewe unataka kitokee nini ili kikuambie kuwa ameshajireveal? nani kakwambia kuwa wazungu ndio wanamjua Mungu hivyo mpaka wammonopolize?
 
1>0
2 >1
3>2
4>3
5>4
6<5
7<6
8<7
9<8
10<9
Nikitumia swali uliloniuliza mwanzo, kwa nini unasema lina contradiction wakati mstari wa kwanza mpaka wa tano hauna contradiction?
Wa kwanza mpaka tano hauna contradiction wa tano mpaka kumi una contradiction.

Point yako sijaielewa inahusiana vipi na Mungu. Ni contradiction ipi ambayo umeiona kwa uwepo wa Mungu?
 
kwa hiyo wazungu wanamonopolize Mungu (creator), huyo Mungu hana ujanja wa kuji reveal kwa watu wa races wengine.
Tatizo linakuja pale mtu anaposhindwa kusoma "kumcha Mungu ni mwanzo wa maarifa" na kudhindwa kuelewa tofauti ya "mwanzo wa maarifa" , "mwisho wa maarifa" na "maarifa".

Inawezekana kabisa kumcha Mungu kukawa ni mwanzo wa maarifa katika ulimwengu ambao Mungu hayupo.

Kwamba jitihada za kumjua Mungu (ambaye hayupo) zinaweza kukutoa gizani huko hujui kusoma wala kuandika, ukasoma shule ya dini na kujifunza dini, ukamcha Mungu, ukapata chanzo cha maarifa, ukaona habari za kuwapo huyu Mungu zinaupwaya ukweli, ukaendelea na uchunguzi zaidi.

Ushavuna ujuzi wa dini. Ushajua habari za Mungu. Ushapata chanzo cha maarifa. Unatafuta maarifa zaidi.

Tatizo watu wanataka kubaki kwenye chanzo cha maarifa tu wakati wanatakiwa ku expand zaidi na zaidi.

Wanaishia kusoma kitabu kimoja maisha yao yote.

Matokeo yake ukiongea nao mambo mengi tofauti, upeo wao umeishia kwenye Quran au Biblia.

Lazima mtakosa kuelewana.
 
" I know that which thou no not "
Unataka nikithibitishie ili na wewe upate maarifa kama niliyo pata Mimi? Unasema Mungu hayupo kwa sababu dhana yako kuhusu Mungu imekuwa limited kwenye mafundisho ya dini zile " kubwa" mbili ambao hawajui chochote kuhusu Mungu.Study freemasonry and it will be scientifically and alchemically proved to you about the creator of the universe.Otherwise ukitaka niprove kuhusu uchawi naweza hata sasa hivi kwa kukutumia wewe mwenyewe kama case study
inafaida gani kama dini ya Freemason ni siri, je! tunawezaje ipambanisha na dini zingine ikiwa ni siri ya watu wachache
 
Back
Top Bottom