Kwa kuongezea tu ni kuwa kuna lodges huwa wanapokea ATHEISTS peke yake mfano THE GRAND ORIENT DE FRANCE au grand lodge of france wao hawakuchukui kama una imani juu ya uwepo wa mungu sasa hapo inakuwa vipi mkuu?Unajua maana ya mjenzi huru? Unafahamu hilo hekalu linalo jengwa ni kitu gani? Nashukuru kwa kutoa ufafanuzi kuhusu kuapa kwa kutumia vitabu vya dini zote maana ningesema Mimi najua watu wenye mahaba na dini zao wangetoa povu..Kwa kuongezea tu hapo ni kwamba wao wanasema " They blv in the light regardless of who bears it" Kama waislamu na wakristo wangeamini katika hilo basi ingekuwa poa sana
Hahaha mkuu mbona unatutisha...." I know that which thou no not "
Unataka nikithibitishie ili na wewe upate maarifa kama niliyo pata Mimi? Unasema Mungu hayupo kwa sababu dhana yako kuhusu Mungu imekuwa limited kwenye mafundisho ya dini zile " kubwa" mbili ambao hawajui chochote kuhusu Mungu.Study freemasonry and it will be scientifically and alchemically proved to you about the creator of the universe.Otherwise ukitaka niprove kuhusu uchawi naweza hata sasa hivi kwa kukutumia wewe mwenyewe kama case study
Kwani mungu alitoka wapi?Ujue kila siku ninapopitia mada zinahusu uwepo wa Mungu huwa nikiona post zako ambazo umekalili baadhi ya maneno na yamekufanya uwe mbumbu kupita maelezo ivi anaekudanganya kuwa mungu hayupo mwambie akome mfano kidogo kuhusu uwepo wa Mungu hivi niambie ni nani analitoa jua mashariki na kuzama magharibi na ninani ambaye analeta usiku na mchana na ninani ambaye anampa uhai binadamu na nani ambaye ametengeneza damu ambayo binadamu kashindwa kusoma hivyo sijui viphilosophy uchwara visikutie uchizi nakuona sana na kakingereza kako kakucopy na kupest Mungu kakupa ufahamu ujitambue
LIKUD nakukumbusha hayo maswali hapo juu swali no.6 na Je Mungu wa kabili ana wazazi na pia nataka jibu la mungu wako kuhusu walokole na si jibu lako,jibu lako umelitoa nataka jibu la mungu wa kabili.Mkuu umenipa somo nashukuru,ok,usisahau kumuuliza kuhusu swali no.6 lakini tafadhali umwulize na jingine no.7Je mungu wa kabili ana wazazi?(kumbuka umeniambia anawatoto na ameoa).Shukurani
Kuhusu kuwa na wazazi nadhani that's a rhetoric...Kuhusu wakokole nineambiwa ni watu wenye hisia Kali juu ya Mungu.Namaanisha hisia yani ( feelings ) na sio imani ( faith )LIKUD nakukumbusha hayo maswali hapo juu swali no.6 na Je Mungu wa kabili ana wazazi na pia nataka jibu la mungu wako kuhusu walokole na si jibu lako,jibu lako umelitoa nataka jibu la mungu wa kabili.
What keeps planets move in their orbits without colliding is "UNIVERSAL GRAVITATIONAL FORCE" Abbreviated as G, this can be proven if needed, welcomeIn addition to that, ask him " Who keep the planets moving in their orbits?"
Bro, samahani kiodgo, wewe unachanganya, Freewill ni uwezo wa kufanya chochote, kiwe kibaya au kizuri bila kuzuiliwa wala kuhojiwa na mtu yeyote yule, so ukishaweka tu kwamba tufanye mazuri tu yoypte tunayo yataka, basi that is not a freewill but a controlledwill or guidedwill.Tueleweshe mfano huu unaendana vipi na dhana ya uwepo wa Mungu au La.
Kwaio ili iwepo logical consistency manake instead of evil kuwe na good. Kwaio kama kwa sababu kuna evil ndio hakuna logical consistency, umesahau kama kuna mazuri yanatokea dunia ambayo ni logical consistency?
Mungu ameumba malaika, ambao hawafanyi mabaya. Hakushindwa, ila halikuwa lengo lake kuumba tena kiumbe kisichokuwa na freewill, ameumba kiumbe ambacho ni more intelligent and more knowledgable. Baada ya kuumba ichi kiumbe akakiachia free kiamua wenyewe kinataka kufanya nini, Mungu yeye ametoa guidelines tu na kumpa. Ninaweza kukuliza, ikiwa LENGO LA KUMPELEKA MTOTO SHULE ASOME NA AFANIKIWE APATE DEGREE NA SHAHADA NYENGINE, KWANINI ASIPEWE CHETI TU?
Naweza kuthibitisha Mungu yupo, wewe unaweza kuthibitisha kuwa Mungu hayupo?
Nilijua najadiliana na mtu ambae ni msomi. umekusudia neema au rehema za Mungu kwanza?
O M G! 😀 😀 😀 hata maana ya freewill hujui halafu unataka kuprove kuwa Mungu hayupo.
I googled for you: the power of acting without the constraint of necessity or fate; the ability to act at one's own discretion. ata haihusiani na mambo ya kurudi mwaka 1240 wala 1999! Duh Pole sana....
Sasa unaniuliza mimi au nkuulize wewe? wewe si hoja yako ni kuwa kwa vile kuna evilness duniani mungu hawezi kuwepo, sasa nimekwambia kuwa kama hio ndio hoja yako, basi kuna mazuri duniani yanatokea kwaio Mungu yupo... sasa unatapatapa? Simamia hoja yako basi!
Ahahahah... Kwaio hapa kwenye swali lako unatwambia kuwa hayo mazuri yanatokana na kitu kingine sio Mungu kwaio Mungu hayupo, lakini unakataa kuwa haya maovu hakuyaleta Mungu bali ameyaleta mwanadamu mwenyewe na kuwa Mungu atakuja kumhukumu huyu Mwanadamu. Atakuja kumuuliza alichofanya duniani.
Ulimwengu uliokuwa hauna mabaya upo, siku ya hukumu kama ulikuwa mwema basi utaingizwa peponi kama muovu utaenda motoni.
Duniani tumeletwa tujifunze mazuri na mabaya, raha na karaha, starehe na shida, mafanikio na maanguko, tujue nini Furaha na nini kilio. Tufanyie kazi maisha baada ya kifo na tutambue kuwa tupo duniani kuchuma kheri ili siku ya kiama tupate kheri.
and to answer your question in a simplest way, yaani kama hapa hujaelewa tena itakuwa umekusudia kupinga tu na sio kujua.
Mungu ameweka kanuni na taratibu za ulimwengu. ameweka laws of physics, kwa mfano unajenga gorofa kisha mzsingi umejengea kwa udongo wa ufinyanzi, goro likianguka maanake mungu hayupo? ulitaka Mungu aje aweke mkono akuzuilie gorofa lisianguke au? 😀 😀 😀
Pia kuna taratibu za binaadamu kuishi, tunapozivunja hizi taratibu ndipo unaona watu vita, hawaishi kupigana na mabalaa. Hivi ulitaka Mungu aje awaamue msipigane? taratibu za kuishi kashawaekea si mzifate muone kama kutakuwa na hayo ma evil?
Nithibitishie kuwa Mungu hayupo.
Kiranga japo hata yeye hana majibu kuhusu asili ya Binadamu ila maswali na majibu yake yako wazi. Mfano, wewe unamlazimisha atoe jibu unalolitrgemea, swali ulilomuuliza kiranga linaishia na NANI? ukitaka amtaje MUNGU, kwanini lisiishie KIPI? NINI? etc.you are thinking narrowly. why don't you have broad mind and give the entity that limited your the time of your living?
Sasa kwenye hilo swali wapi kuna neno nani mkuu?Kiranga japo hata yeye hana majibu kuhusu asili ya Binadamu ila maswali na majibu yake yako wazi. Mfano, wewe unamlazimisha atoe jibu unalolitrgemea, swali ulilomuuliza kiranga linaishia na NANI? ukitaka amtaje MUNGU, kwanini lisiishie KIPI? NINI? etc.