Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Hawakuthibisha kwa siku Moja, Iliwachukua Miaka Subiri utaona.
 
Nachojua tena bila utafiti ni kwamba watu wengi na hasa jamii zetu hizi hatuna ufahamu mwingi kuhusu asili ya vitu /mambo na hii inachagizwa na kutokupenda kudadisi na kujisomea

Naungana na mtoa mada ni kweli dhana na mafundisho ya Freemasons yamepotoshwa sana

Si wengi wanaoweza kwenda ktk ufahamu wa juu na tunaishia ktk mambo madogo ya matukio yanayotuzunguka tu ya kila Siku

Sisemi nawakubali hao Freemasons sema ni jamii ambayo at least wanatafuta sababu za uwepo wetu hapa duniani na kufungua /kuzielewa siri za maumbile (creations)

Wengine ni bendera fata upepo tu mradi tumetoka ktk imani fulani tunaona tupo sahihi kabisa
 
Well said bro
 
Kiranga inaonekana ulivyo kuwa shule ya msingi ulikuwa bingwa wa multiple choices.Ur picking questions to answer..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kakutana na mwenzaqe leo... [emoji119][emoji119]
 
Napenda
Heshima kwako Mh. Likud.
Napenda sana watu wanaojenga hoja!
Lakini napenda sana watu wanaoandika! Katika Maandishi huwezi ukandanganya!

Ukidanganya andishi litadai Ukweli.
Big Up.
 
Nikipata wakati nitajaribu kueleza na mimi Kuhusu Freemason! Siku chache zijazo!
Ilinisumbua sana! lakini nikajitahidi kufanya kautafiti kadogo,kupitia maandiko machache na nilikutana na Andiko moja linaloumulika Umason kwa Macho ya Kiimani!

Nikapata Jibu kwanini Watu wanaomwamini MUngu wa Kweli hawapaswi kujiunga na freemason.
Nitatupia na Andiko hilo hapa.
 
Sawaa mkuu tunasubiri kujifunzaa,,, usisahau kututag... [emoji120][emoji119]
 
Ujue kila siku ninapopitia mada zinahusu uwepo wa Mungu huwa nikiona post zako ambazo umekalili baadhi ya maneno na yamekufanya uwe mbumbumbu kupita maelezo ivi anaekudanganya kuwa Mungu hayupo mwambie akome.

Mfano kidogo kuhusu uwepo wa Mungu hivi niambie ni nani analitoa jua mashariki na kuzama magharibi na ninani ambaye analeta usiku na mchana na ninani ambaye anampa uhai binadamu na nani ambaye ametengeneza damu ambayo binadamu kashindwa kusoma hivyo sijui viphilosophy uchwara visikutie uchizi nakuona sana na kakingereza kako kakucopy na kupest Mungu kakupa ufahamu ujitambue
 
Wewe hujui tofauti ya "kalili" na "kariri" inabidi ujifunze Kiswahili kwanza kabla ya kuingilia makubwa zaidi.
 
In addition to that, ask him " Who keep the planets moving in their orbits?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…