Kama wewe upo kwenye makundi haya halafu unakidharau na kukikashifu CCM tarajia laana kukuandama katika maisha yako

Iko wapi na laana ya wote wanaoipa sifa za uongo na kusababisha washindwe kutambua na kutekeleza majukumu yao ipasavyo?
 
saa ingine ni bora ukakaa kimya tu
 
Iko wapi na laana ya wote wanaoipa sifa za uongo na kusababisha washindwe kutambua na kutekeleza majukumu yao ipasavyo?
Inawezekana watu wanapambana mambo hayaendi kumbe tu sababu wamekosa shukrani tujifunze kushukuru
 
Vinaja wenye hoja za hovyo wanaongezeka sana JF kuelekea 2025.

Kwa nn usije na ile ID yako ya zamani?
 
Hao CCM hufanya biashara gani zinazowapa faida ya kutoka hizo hisani?.
 
Tanzania inaongoza kwa ujinga Afrika.
 
Mimi nimesoma kwa hela ya mkopo kutoka HESLB. na nilipewa mkopo 100% lakini elimu niliyoipata sitakiwi kuitumia kuwa bootlicker wa majizi, mafisadi ya Ccm. NITAWAPIGA SPANA KADRI NIWEZAVYO.
 
Mimi nimesoma kwa hela ya mkopo kutoka HESLB. na nilipewa mkopo 100% lakini elimu niliyoipata sitakiwi kuitumia kuwa bootlicker wa majizi, mafisadi ya Ccm. NITAWAPIGA SPANA KADRI NIWEZAVYO.
Huna shukrani ww mjomba alishindwa kukusomesha ccm ikachukua jukumu lake,ccm ina upendo na inakupenda na utakuta bado ujarejesha hata senti na usumbuliwi,kuwa na shukrani
 
Nitakuja kushukuria kanisani kwako iwapo upo upako na miujiza ya mafanikio.
Miujiza ipo ndani ya chama cha mapinduzi,mtoto wa masikini wa kutupwa kusoma hadi chuo kikuu bure hakuna miujiza zaidi ya hiyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…