- Thread starter
- #41
Nalipwa baraka za kuwa na shukraniKwa siku unalipwa shingapi? Siku mbali kwa saa wanakulipa shingapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nalipwa baraka za kuwa na shukraniKwa siku unalipwa shingapi? Siku mbali kwa saa wanakulipa shingapi?
Iko wapi na laana ya wote wanaoipa sifa za uongo na kusababisha washindwe kutambua na kutekeleza majukumu yao ipasavyo?1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukrani.
2. Kundi la watu wote ambao wamekuta babu zao,wazazi wao wakiwa na itikadi ya chama cha mapinduzi wakalelewa katika maadili mema ya chama cha mapinduzi ,walivyokuwa wakakengeuka na kuanza kuleta itikadi ngeni kwenye ukoo,kundi hili nalionea huruma sana,hakuna laana mbaya kama laana ya kutowatii wazazi,hamjachelewa tubuni.
3. Kundi la wazazi ambao watoto wao wanasoma bure katika shule za serikali hawalipii chochote zaidi ya madaftari ,viatu,na hela ya mtoto ya kula miogo na bado wanapata kiburi cha kukitukana chama cha mapinduzi,nawaambia hawa watoto ni malaika na chama cha mapinduzi kimeamua kuwekeza kwa malaika,uwekezaji huu kwa malaika hautawaacha salama wazazi hawa wasiokuwa na shukrani,tubuni.
4.Kundi la wajasiriamali waliokopeshwa mikopo isiyo na riba na serikali ya chama cha mapinduzi halafu kila kukicha wanashinda mitandaoni kukitukana na chama cha mapinduzi hakika Mungu ataiona sadaka ya chama cha mapinduzi na hatonyamaza,muda bado mnao tubuni kabla laana ijawapata.
5. Kundi la watu ambao mnashinda mitandaoni,kumtukana na kumkashifu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambae pia ni kiongozi wenu tena mnamtukana kwa mambo ambayo hamna huakika wa uthibitisho,nyie pia hamjachelewa tubuni,kumtukana kiongozi aliyewekwa na Mungu ni kumdharau Mungu.
KATAA LAANA
Hata kitendo cha kumwamini mtu na kumpa kodi yako akaifanyia maendeleo inabidi ushukuruWanatoa hela za mishahara yao mfukoni ?
saa ingine ni bora ukakaa kimya tu1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukrani.
2. Kundi la watu wote ambao wamekuta babu zao,wazazi wao wakiwa na itikadi ya chama cha mapinduzi wakalelewa katika maadili mema ya chama cha mapinduzi ,walivyokuwa wakakengeuka na kuanza kuleta itikadi ngeni kwenye ukoo,kundi hili nalionea huruma sana,hakuna laana mbaya kama laana ya kutowatii wazazi,hamjachelewa tubuni.
3. Kundi la wazazi ambao watoto wao wanasoma bure katika shule za serikali hawalipii chochote zaidi ya madaftari ,viatu,na hela ya mtoto ya kula miogo na bado wanapata kiburi cha kukitukana chama cha mapinduzi,nawaambia hawa watoto ni malaika na chama cha mapinduzi kimeamua kuwekeza kwa malaika,uwekezaji huu kwa malaika hautawaacha salama wazazi hawa wasiokuwa na shukrani,tubuni.
4.Kundi la wajasiriamali waliokopeshwa mikopo isiyo na riba na serikali ya chama cha mapinduzi halafu kila kukicha wanashinda mitandaoni kukitukana na chama cha mapinduzi hakika Mungu ataiona sadaka ya chama cha mapinduzi na hatonyamaza,muda bado mnao tubuni kabla laana ijawapata.
5. Kundi la watu ambao mnashinda mitandaoni,kumtukana na kumkashifu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambae pia ni kiongozi wenu tena mnamtukana kwa mambo ambayo hamna huakika wa uthibitisho,nyie pia hamjachelewa tubuni,kumtukana kiongozi aliyewekwa na Mungu ni kumdharau Mungu.
KATAA LAANA
Inawezekana watu wanapambana mambo hayaendi kumbe tu sababu wamekosa shukrani tujifunze kushukuruIko wapi na laana ya wote wanaoipa sifa za uongo na kusababisha washindwe kutambua na kutekeleza majukumu yao ipasavyo?
Jifunze kushukurusaa ingine ni bora ukakaa kimya tu
Shukrani ni muhimu chama kinafanya mambo makubwa ila hayo matusi kama watu ni vipofu vile
Sasa na utuambie weye mchungaji wa kanisa ganii?Inawezekana watu wanapambana mambo hayaendi kumbe tu sababu wamekosa shukrani tujifunze kushukuru
Truth for all people churchSasa na utuambie weye mchungaji wa kanisa ganii?
Hao CCM hufanya biashara gani zinazowapa faida ya kutoka hizo hisani?.1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukrani.
2. Kundi la watu wote ambao wamekuta babu zao,wazazi wao wakiwa na itikadi ya chama cha mapinduzi wakalelewa katika maadili mema ya chama cha mapinduzi ,walivyokuwa wakakengeuka na kuanza kuleta itikadi ngeni kwenye ukoo,kundi hili nalionea huruma sana,hakuna laana mbaya kama laana ya kutowatii wazazi,hamjachelewa tubuni.
3. Kundi la wazazi ambao watoto wao wanasoma bure katika shule za serikali hawalipii chochote zaidi ya madaftari ,viatu,na hela ya mtoto ya kula miogo na bado wanapata kiburi cha kukitukana chama cha mapinduzi,nawaambia hawa watoto ni malaika na chama cha mapinduzi kimeamua kuwekeza kwa malaika,uwekezaji huu kwa malaika hautawaacha salama wazazi hawa wasiokuwa na shukrani,tubuni.
4.Kundi la wajasiriamali waliokopeshwa mikopo isiyo na riba na serikali ya chama cha mapinduzi halafu kila kukicha wanashinda mitandaoni kukitukana na chama cha mapinduzi hakika Mungu ataiona sadaka ya chama cha mapinduzi na hatonyamaza,muda bado mnao tubuni kabla laana ijawapata.
5. Kundi la watu ambao mnashinda mitandaoni,kumtukana na kumkashifu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambae pia ni kiongozi wenu tena mnamtukana kwa mambo ambayo hamna huakika wa uthibitisho,nyie pia hamjachelewa tubuni,kumtukana kiongozi aliyewekwa na Mungu ni kumdharau Mungu.
KATAA LAANA
Shukuru mkuu chama cha mapinduzi kinakupenda na kukujaliVinaja wenye hoja za hovyo wanaongezeka sana JF kuelekea 2025.
Kwa nn usije na ile ID yako ya zamani?
Siyo hisani ni uaminifu kwa wananchi,kodi ya wananchi inawarudiaHao CCM hufanya biashara gani zinazowapa faida ya kutoka hizo hisani?.
Tanzania inaongoza kwa ujinga Afrika.1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukrani.
2. Kundi la watu wote ambao wamekuta babu zao,wazazi wao wakiwa na itikadi ya chama cha mapinduzi wakalelewa katika maadili mema ya chama cha mapinduzi ,walivyokuwa wakakengeuka na kuanza kuleta itikadi ngeni kwenye ukoo,kundi hili nalionea huruma sana,hakuna laana mbaya kama laana ya kutowatii wazazi,hamjachelewa tubuni.
3. Kundi la wazazi ambao watoto wao wanasoma bure katika shule za serikali hawalipii chochote zaidi ya madaftari ,viatu,na hela ya mtoto ya kula miogo na bado wanapata kiburi cha kukitukana chama cha mapinduzi,nawaambia hawa watoto ni malaika na chama cha mapinduzi kimeamua kuwekeza kwa malaika,uwekezaji huu kwa malaika hautawaacha salama wazazi hawa wasiokuwa na shukrani,tubuni.
4.Kundi la wajasiriamali waliokopeshwa mikopo isiyo na riba na serikali ya chama cha mapinduzi halafu kila kukicha wanashinda mitandaoni kukitukana na chama cha mapinduzi hakika Mungu ataiona sadaka ya chama cha mapinduzi na hatonyamaza,muda bado mnao tubuni kabla laana ijawapata.
5. Kundi la watu ambao mnashinda mitandaoni,kumtukana na kumkashifu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambae pia ni kiongozi wenu tena mnamtukana kwa mambo ambayo hamna huakika wa uthibitisho,nyie pia hamjachelewa tubuni,kumtukana kiongozi aliyewekwa na Mungu ni kumdharau Mungu.
KATAA LAANA
Mimi nimesoma kwa hela ya mkopo kutoka HESLB. na nilipewa mkopo 100% lakini elimu niliyoipata sitakiwi kuitumia kuwa bootlicker wa majizi, mafisadi ya Ccm. NITAWAPIGA SPANA KADRI NIWEZAVYO.1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukrani.
2. Kundi la watu wote ambao wamekuta babu zao,wazazi wao wakiwa na itikadi ya chama cha mapinduzi wakalelewa katika maadili mema ya chama cha mapinduzi ,walivyokuwa wakakengeuka na kuanza kuleta itikadi ngeni kwenye ukoo,kundi hili nalionea huruma sana,hakuna laana mbaya kama laana ya kutowatii wazazi,hamjachelewa tubuni.
3. Kundi la wazazi ambao watoto wao wanasoma bure katika shule za serikali hawalipii chochote zaidi ya madaftari ,viatu,na hela ya mtoto ya kula miogo na bado wanapata kiburi cha kukitukana chama cha mapinduzi,nawaambia hawa watoto ni malaika na chama cha mapinduzi kimeamua kuwekeza kwa malaika,uwekezaji huu kwa malaika hautawaacha salama wazazi hawa wasiokuwa na shukrani,tubuni.
4.Kundi la wajasiriamali waliokopeshwa mikopo isiyo na riba na serikali ya chama cha mapinduzi halafu kila kukicha wanashinda mitandaoni kukitukana na chama cha mapinduzi hakika Mungu ataiona sadaka ya chama cha mapinduzi na hatonyamaza,muda bado mnao tubuni kabla laana ijawapata.
5. Kundi la watu ambao mnashinda mitandaoni,kumtukana na kumkashifu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambae pia ni kiongozi wenu tena mnamtukana kwa mambo ambayo hamna huakika wa uthibitisho,nyie pia hamjachelewa tubuni,kumtukana kiongozi aliyewekwa na Mungu ni kumdharau Mungu.
KATAA LAANA
Nitakuja kushukuria kanisani kwako iwapo upo upako na miujiza ya mafanikio.Shukuru mkuu chama cha mapinduzi kinakupenda na kukujali
Inawezekana mkuu watu hawapendi ukweliTanzania inaongoza kwa ujinga Afrika.
Huna shukrani ww mjomba alishindwa kukusomesha ccm ikachukua jukumu lake,ccm ina upendo na inakupenda na utakuta bado ujarejesha hata senti na usumbuliwi,kuwa na shukraniMimi nimesoma kwa hela ya mkopo kutoka HESLB. na nilipewa mkopo 100% lakini elimu niliyoipata sitakiwi kuitumia kuwa bootlicker wa majizi, mafisadi ya Ccm. NITAWAPIGA SPANA KADRI NIWEZAVYO.
Miujiza ipo ndani ya chama cha mapinduzi,mtoto wa masikini wa kutupwa kusoma hadi chuo kikuu bure hakuna miujiza zaidi ya hiyo mkuuNitakuja kushukuria kanisani kwako iwapo upo upako na miujiza ya mafanikio.