Kama wewe upo kwenye makundi haya halafu unakidharau na kukikashifu CCM tarajia laana kukuandama katika maisha yako

Pumbavu kabsaa
Laiyoni mkubwa
 
Ndo vile kuna kikundi kinajiona kina hati miliki ya nchi kuliko watanzania wengine.
 
Hata kitendo cha kumwamini mtu na kumpa kodi yako akaifanyia maendeleo inabidi ushukuru
Kwa Kodi wanazofosi kuchukua haziendani na Hicho unaita maendeleo.
Sina Cha kushukuru zaidi kulaaani.
 
Kwa Kodi wanazofosi kuchukua haziendani na Hicho unaita maendeleo.
Sina Cha kushukuru zaidi kulaaani.
Zunguka hii nchi uone maendeleo yaliyofanywa,hakika utaghairi kulaani na utashukuru!!
 
Umeshasema wakoloni,tofautisha kati ya wakoloni na chama cha mapinduzi kilichowaondoa wakoloni kikakufanya wewe kuwa huru kuwa na shukrani kwa ccm
Bora mkoloni kuliko maccm maccm ni mauaji na majinga
 
Huwezi penda kutoka kura wa watu wajinga then ukakerwa na mawazo au maoni yao...Kikubwa Kazi iendelee🙏🏾 hayo makurdi tajwa ni wapiga kura na wakipiga kura ya ndiyo tunafurahi
 
Hakijawahi
Wewe tu umeamua kukataa ina maana hata hii amani uliyonayo mpaka muda huu umekaa zako Huna wasiwasi una soma nyuzi jamii forum huoni kuwa ccm inakujali?
 
Huwezi penda kutoka kura wa watu wajinga then ukakerwa na mawazo au maoni yao...Kikubwa Kazi iendelee🙏🏾 hayo makurdi tajwa ni wapiga kura na wakipiga kura ya ndiyo tunafurahi
Nimewataadharisha tu wasije kupata laana,nimewaambia wawe na shukrani
 
Namshuru mama samia kwa kutuletea mvua huku nanjilinji mazao yamestawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…