Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambao hawana shukraniNywanoko!
Ndo vile kuna kikundi kinajiona kina hati miliki ya nchi kuliko watanzania wengine.1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukrani.
2. Kundi la watu wote ambao wamekuta babu zao,wazazi wao wakiwa na itikadi ya chama cha mapinduzi wakalelewa katika maadili mema ya chama cha mapinduzi ,walivyokuwa wakakengeuka na kuanza kuleta itikadi ngeni kwenye ukoo,kundi hili nalionea huruma sana,hakuna laana mbaya kama laana ya kutowatii wazazi,hamjachelewa tubuni.
3. Kundi la wazazi ambao watoto wao wanasoma bure katika shule za serikali hawalipii chochote zaidi ya madaftari ,viatu,na hela ya mtoto ya kula miogo na bado wanapata kiburi cha kukitukana chama cha mapinduzi,nawaambia hawa watoto ni malaika na chama cha mapinduzi kimeamua kuwekeza kwa malaika,uwekezaji huu kwa malaika hautawaacha salama wazazi hawa wasiokuwa na shukrani,tubuni.
4.Kundi la wajasiriamali waliokopeshwa mikopo isiyo na riba na serikali ya chama cha mapinduzi halafu kila kukicha wanashinda mitandaoni kukitukana na chama cha mapinduzi hakika Mungu ataiona sadaka ya chama cha mapinduzi na hatonyamaza,muda bado mnao tubuni kabla laana ijawapata.
5. Kundi la watu ambao mnashinda mitandaoni,kumtukana na kumkashifu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambae pia ni kiongozi wenu tena mnamtukana kwa mambo ambayo hamna huakika wa uthibitisho,nyie pia hamjachelewa tubuni,kumtukana kiongozi aliyewekwa na Mungu ni kumdharau Mungu.
KATAA LAANA
Mpumbavu aliye ndani ya ccm ni bora kuliko mwerevu aliye gizaniPumbavu kabsaa
Laiyoni mkubwa
Ndani ya ccm wote ni sawaNdo vile kuna kikundi kinajiona kina hati miliki ya nchi kuliko watanzania wengine.
Kwa Kodi wanazofosi kuchukua haziendani na Hicho unaita maendeleo.Hata kitendo cha kumwamini mtu na kumpa kodi yako akaifanyia maendeleo inabidi ushukuru
Zunguka hii nchi uone maendeleo yaliyofanywa,hakika utaghairi kulaani na utashukuru!!Kwa Kodi wanazofosi kuchukua haziendani na Hicho unaita maendeleo.
Sina Cha kushukuru zaidi kulaaani.
Kichaa ila nina shukraniMadness is real.
Wewe ni kichaa.
Bora mkoloni kuliko maccm maccm ni mauaji na majingaUmeshasema wakoloni,tofautisha kati ya wakoloni na chama cha mapinduzi kilichowaondoa wakoloni kikakufanya wewe kuwa huru kuwa na shukrani kwa ccm
Hayo ni mawazo yako,ila ndugu ccm inakupenda na inakuthaminiBora mkoloni kuliko maccm maccm ni mauaji na majinga
HakijawahiShukuru mkuu chama cha mapinduzi kinakupenda na kukujali
Huwezi penda kutoka kura wa watu wajinga then ukakerwa na mawazo au maoni yao...Kikubwa Kazi iendelee🙏🏾 hayo makurdi tajwa ni wapiga kura na wakipiga kura ya ndiyo tunafurahi1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukrani.
2. Kundi la watu wote ambao wamekuta babu zao,wazazi wao wakiwa na itikadi ya chama cha mapinduzi wakalelewa katika maadili mema ya chama cha mapinduzi ,walivyokuwa wakakengeuka na kuanza kuleta itikadi ngeni kwenye ukoo,kundi hili nalionea huruma sana,hakuna laana mbaya kama laana ya kutowatii wazazi,hamjachelewa tubuni.
3. Kundi la wazazi ambao watoto wao wanasoma bure katika shule za serikali hawalipii chochote zaidi ya madaftari ,viatu,na hela ya mtoto ya kula miogo na bado wanapata kiburi cha kukitukana chama cha mapinduzi,nawaambia hawa watoto ni malaika na chama cha mapinduzi kimeamua kuwekeza kwa malaika,uwekezaji huu kwa malaika hautawaacha salama wazazi hawa wasiokuwa na shukrani,tubuni.
4.Kundi la wajasiriamali waliokopeshwa mikopo isiyo na riba na serikali ya chama cha mapinduzi halafu kila kukicha wanashinda mitandaoni kukitukana na chama cha mapinduzi hakika Mungu ataiona sadaka ya chama cha mapinduzi na hatonyamaza,muda bado mnao tubuni kabla laana ijawapata.
5. Kundi la watu ambao mnashinda mitandaoni,kumtukana na kumkashifu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambae pia ni kiongozi wenu tena mnamtukana kwa mambo ambayo hamna huakika wa uthibitisho,nyie pia hamjachelewa tubuni,kumtukana kiongozi aliyewekwa na Mungu ni kumdharau Mungu.
KATAA LAANA
Wewe tu umeamua kukataa ina maana hata hii amani uliyonayo mpaka muda huu umekaa zako Huna wasiwasi una soma nyuzi jamii forum huoni kuwa ccm inakujali?Hakijawahi
Nimewataadharisha tu wasije kupata laana,nimewaambia wawe na shukraniHuwezi penda kutoka kura wa watu wajinga then ukakerwa na mawazo au maoni yao...Kikubwa Kazi iendelee🙏🏾 hayo makurdi tajwa ni wapiga kura na wakipiga kura ya ndiyo tunafurahi
Siyo kweli.Ndani ya ccm wote ni sawa
Hakuna state capture Tanzania chini ya ccm ni ya watu woteState capture is the problem.
Umeamua kubisha tu ila ccm inakujali nawe onyesha kuijali itakapofika October 2025Siyo kweli.