Kama wewe upo kwenye makundi haya halafu unakidharau na kukikashifu CCM tarajia laana kukuandama katika maisha yako

Wewe tu umeamua kukataa ina maana hata hii amani uliyonayo mpaka muda huu umekaa zako Huna wasiwasi una soma nyuzi jamii forum huoni kuwa ccm inakujali?
Hii amani wanaigawa ccm?
 
Watanzania wamekiamini chama cha mapinduzi na chama cha mapinduzi kimeamua kuwatumikia kwa uwaminifu mkubwa,kukidharau na kukitukana ni kujitafutia laana
Chama kilichoaminiwa kinaingia na kura zilizokwisha pigwa tayaari? Tena kinategemea TISS na polisi ili kiweze kutangazwq mshindi??? Hahaha Africa wajinga hawaishi
 
Waliomzaa mtoa mada WALAANIWE.
 
Chama kilichoaminiwa kinaingia na kura zilizokwisha pigwa tayaari? Tena kinategemea TISS na polisi ili kiweze kutangazwq mshindi??? Hahaha Africa wajinga hawaishi
Asiyekubali kushindwa si mshindani uchaguzi umekwisha tuchape kazi
 
Asiyekubali kushindwa si mshindani uchaguzi umekwisha tuchape kazi
Uchaguzi upi sasa? Huu wa watu kuingia na kura zilizokwisha kupogwa na kuzisokomeza kwenye masanduku ya kura au upi?
Uchaguzi wa kuwekeana pingamizi za kuhisi badala ya kisheria?
Uchaguzi upi? Wewe unachapa kazi gani hapo ulipo?
 
Acha hasira ndugu yangu ccm inakupenda na inakuthamini siku nyingine usichague vyama visivyokubalika na wananchi chagua ccm ili usiwe na makasiriko
 
Mawazo yako tu mkuu,hamjazoea kuambiwa ukweli
Kwahiyo ukikataa CCM unatafuta laana?

Hii naifananisha na ile hadithi ya jimbi mwenda tambo, inaishia Lile jogoo linakimbiza mbwa wa kizungu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwahiyo ukikataa CCM unatafuta laana?

Hii naifananisha na ile hadithi ya jimbi mwenda tambo, inaishia Lile jogoo linakimbiza mbwa wa kizungu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Nimetaja scenarios ndugu yangu soma uzi upya uelewe
 
Your browser is not able to display this video.
 
Asante kwa maoni yako mkuu,ccm inakupenda sana
Inipende mimi vipi wakati haiwapendi Maasai wa Ngorongoro?
Inawapenda iliwauzia bandari na maeneo ya wanyama pori ACHA KUNIPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA.
Sina ULEMAVU WA KUFIKIRIA KAMA ULIVYO WEWE,ninachokijua MNA HARIBU MIFUMO YA ELIMU ILI MTENGENEZE WAPIGA KURA WENGI WASIO NA UWEZO WA KUFIKIRIA KAMA ULIVYO WEWE.
 
Akili za kuambiwa changanya na zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…