Kama ww ni mtumiaji wa whasapp huwa unatumiwa picha zipi?

Kama ww ni mtumiaji wa whasapp huwa unatumiwa picha zipi?

je wewe unawafanyia nini mpaka wakutumie hizo pics?acha unafki kwa kujifanya msafi
 
sentensi sijuw topic nyingine hazina kiuno wala hipsi.. Basi fujo mtindo mmoja
 
Hivi wajua huku whatsApp dada zetu hufanya nn? Yaan ni madudu
Sio kila mwenye watsap anatumiwa picha za ngono!Mm na mke wangu na binti yetu tuna share akaunti moja ya watsap mbona hatutumiwi wala hatutumi picha X rated?

Bandiko lingine la hovyo hovyo kabisa
 
whasapp ndio nini jamani,,,,,,,,,mimi mgeni.
 
hebu nitumie hizo picha zinazokukera ktk acount yangu ya watsApp no 0786705206
 
Mi nikiwa bored job nawaambia wadau wanitumie madude ya kunipa mzuka wa kazi..hapo ndio kila mtu anatuma analojua yeye
 
Back
Top Bottom