subsaharan
Member
- Sep 11, 2013
- 13
- 5
Sio kila mwenye watsap anatumiwa picha za ngono!Mm na mke wangu na binti yetu tuna share akaunti moja ya watsap mbona hatutumiwi wala hatutumi picha X rated?Hivi wajua huku whatsApp dada zetu hufanya nn? Yaan ni madudu
sentensi sijuw topic nyingine hazina kiuno wala hipsi.. Basi fujo mtindo mmoja
je wewe unawafanyia nini mpaka wakutumie hizo pics?acha unafki kwa kujifanya msafi
whasapp ndio nini jamani,,,,,,,,,mimi mgeni.
whasapp ndio nini jamani,,,,,,,,,mimi mgeni.
Ipo kama asali hivi, inauzwa kwenye vidumu...
natumiwaga pic za kuchekesha..yaani vituko zaidi