GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nchi zingine zote Vilabu vyao vikiwa vinashiriki Michuano ya Kimataifa huwa hawachezi Ligi Kuu zao mpaka wazimalize ila kwa hapa Tanzania ni kinyume hivyo sijui Kesho itakuwaje kwani tuna Majeruhi wengi muhimu Kikosini" Nasredinne Nabi Kocha Mkuu wa Yanga SC.
Chanzo: Spoti Leo ya Radio One.
Wana Yanga SC mwambieni Kocha wenu Nabi kuwa Liverpool FC yangu imeshawahi Kucheza Mechi Tatu ndani ya Siku Nane ( 8 ) na bado ikashinda zote na wala Kocha Jurgen Klopp hakuwahi Kulalamika.