Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Hao Matajiri walikuwa wapi wakati Simba ikitembeza Bakuli na Yanga ikipepea na tajiri Manji ?Mo Dewji ndiye anayekwamisha hao matajiri wengine wasije kuwekeza Simba, amehodhi madaraka yote kiasi hata mwenyekiti wa wanachama ndugu Mangungu anafata matakwa yake.
Kabla ya kuja Simba unadhani Mo Dewj alikuwa na utajiri kiasi gani? Baada ya kuja Simba amekuwa tajili no moja Tanzania na miongoni mwa Matajili wakubwa Afrika kwa sasa.
Simba ndio imemtangaza na kumkuza kibiashara na amekuwa akitangaza bidhaa zake kupitia Simba kwa gharama karibu na bure.
Mo Dewji hana nia ya dhati Simba isonge mbele ndio maana huoni akiwekeza kwny project zitakazoacha alama kwa klabu.
Hata baada ya Manji tajiri gani mwingine alijitokeza kuwekeza Simba ?
Au hata Leo tajiri gani amekatazwa kuwekeza Simba ?
Ameonyesha hiyo nia lini wakati Simba ilitangaza anaye taka kuwekeza hadharani na hakuna aliyejitokeza zaidi ya MO Dewji.