Kama Yanga watajenga Uwanja hapo Jangwani basi Mo Dewji hastahili kuendelea kuwepo Simba

Kama Yanga watajenga Uwanja hapo Jangwani basi Mo Dewji hastahili kuendelea kuwepo Simba

Ukaone grader ukashindwa kutuletea hata na picha. [emoji3][emoji3]
 
Kama unaamini kuwa Simba au Yanga kuna siku watamiliki kiwanja basi utakuwa upo karne ya 17.
 
Unadhani kujenga uwanja ni rahisi kama kuwa na korodani.
 
Aisee! Sema hizi team za kariakoo mmiliki mkuu wao si anajulikana? Ndiyo maana jamaa anawekeza kimachale tu.
 
Back
Top Bottom