JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 Mar 17, 2024 #61 Sultan MackJoe Khalifa said: mafuriko yatakuepo vilevile kama ilivyopangwa na bwana Mungu🤸🤸🤸 View attachment 2936677 Click to expand... Hakuna uwanja utakaa ujengwe hapo. Porojo TU.
Sultan MackJoe Khalifa said: mafuriko yatakuepo vilevile kama ilivyopangwa na bwana Mungu🤸🤸🤸 View attachment 2936677 Click to expand... Hakuna uwanja utakaa ujengwe hapo. Porojo TU.
T Twin Tower JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 2,170 Reaction score 3,067 Mar 17, 2024 #62 Ukaone grader ukashindwa kutuletea hata na picha. [emoji3][emoji3]
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Mar 17, 2024 #63 JAYJAY said: Hakuna uwanja utakaa ujengwe hapo. Porojo TU. Click to expand... nafahamu vizuri siasa za soka la Bongo.
JAYJAY said: Hakuna uwanja utakaa ujengwe hapo. Porojo TU. Click to expand... nafahamu vizuri siasa za soka la Bongo.
C christeve88 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 2,841 Reaction score 4,531 Mar 17, 2024 #64 Kama unaamini kuwa Simba au Yanga kuna siku watamiliki kiwanja basi utakuwa upo karne ya 17.
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Mar 17, 2024 #65 Unadhani kujenga uwanja ni rahisi kama kuwa na korodani.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Feb 5, 2025 #66 Aisee! Sema hizi team za kariakoo mmiliki mkuu wao si anajulikana? Ndiyo maana jamaa anawekeza kimachale tu.
Aisee! Sema hizi team za kariakoo mmiliki mkuu wao si anajulikana? Ndiyo maana jamaa anawekeza kimachale tu.