Kama Yesu na Muhammad walikuwapo, kwanini wanazua ugomvi na utata?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa Mohammed.
Pili, tunajua kuwa hakuna picha zao zinazoweza kuoenekana popote isipokuwa ukimya au za kuigiza.
Tatu, jamaa hawa inawezekana hawakuwapo ili tunaaminishwa walikuwapo.
Nne, inawezekana walikuwapo lakini wakakuzwa na kuwa kitu kingine yaani misingi ya dini.
Tano, wawili hawa walileta utatu yaani, Mungu au Allah, Mwana au Mtume, na Roho Mtakatifu au Ummat.
Sita, wote walitoka sehemu moja, yaani mashariki ya kati.
Saba, wote wana utata mkubwa unaolindwa kwa imani, mabavu, na vitisho.
Nane, wawili hawa hawakuandika kitabu chochote ingawa vitabu vyote viwili vinaitwa vyao.
Tisa, kinachoitwa majina yao si majina bali sifa ambapo Muhammad ni sifa na Yesu ni ukombozi. Mfano, kwa kutumia maana halisi, majina mawili yanamaanisha sifa ukombozi. Je, haya yaweza kuwa majina kweli?
Kumi, hata waanzilishi wa wafuasi, yaani binadamu hawana majina bali sifa ambapo Adam ni ardhi au dunia na Eva ni bustani na kadhalika.
 
Hivi kabla Eva/Hawa hajaumbwa, Adam alikuwa anamalizaje hii kitu vijana wanaita upwiru? Au yeye ndio mwanzilishi wa bao la Nape?
 
Wao wenyewe (Yesu na Moh'd) siku wakizaliwa watashangaa jinsi walivokuwa wanapakaziwa sifa ambazo sio zao. We subiri tuu.
Ni kweli waliishi maisha simple kabisa tena kwa tamaduni za maeneo Yao wakati huo, watu wamewabadilisha wamewapa masharti meeengi na status tofauti kabisa na ilivyokuwa. Kwa kuwa duniani Kuna roho nyingi zinazunguka probably zipo roho zilishasoma akili za watu wa Sasa wakajitengeneza kama watakavyo hivyo unaweza kuwa unaomba unadhani kuwa unamwomba Yesu au Mohamed kumbe zipo roho tayari zimechukua nafasi Yesu Wala Mohamed hawahusiki ndio maana unakuta miujiza Mungu feki dini zimekuwa na masharti mengi kama viccoba
 
Unajua kuwa hata wanyama wanafanya masturbation? Nao wamejifunza baada yakuumbiwa majike yao?
ndio, kitendo cha ku masturbate ni kupata hamu ya tendo ila huna wa kufanya nae kwa kupenda au kukosa, ila kama huna idea mwanamke ni nini huwezi kupata matamanio ya kufanya sex hivyo hujui masturbation ni nini,
Ni kama useme kipindi simu na kompyuta hazijagunduliwa watu walikuwa wanaingiaje whatsapp.
 
Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa Mohammed.
Pili, tunajua kuwa hakuna picha zao zinazoweza kuoenekana popote isipokuwa ukimya au za kuigiza.
Tatu, jamaa hawa inawezekana hawakuwapo ili tunaaminishwa walikuwapo.
Nne, inawezekana walikuwapo lakini wakakuzwa na kuwa kitu kingine yaani misingi ya dini.
Tano, wawili hawa walileta utatu yaani, Mungu au Allah, Mwana au Mtume, na Roho Mtakatifu au Ummat.
Sita, wote walitoka sehemu moja, yaani mashariki ya kati.
Saba, wote wana utata mkubwa unaolindwa kwa imani, mabavu, na vitisho.
Nane, wawili hawa hawakuandika kitabu chochote ingawa vitabu vyote viwili vinaitwa vyao.
Tisa, kinachoitwa majina yao si majina bali sifa ambapo Muhammad ni sifa na Yesu ni ukombozi. Mfano, kwa kutumia maana halisi, majina mawili yanamaanisha sifa ukombozi. Je, haya yaweza kuwa majina kweli?
Kumi, hata waanzilishi wa wafuasi, yaani binadamu hawana majina bali sifa ambapo Adam ni ardhi au dunia na Eva ni bustani na kadhalika.
ugumu uupatao katika mahangaiko yako, hakuna haja ya kusingizia wengine wala kujificha nyuma ya Mtume au Yesu.
Kila moja anayo zawadi ya uhai basi itumie vizuri na kwa usahihi bila lawama kwa wasiohusika na hali yako kiroho na kimwili :1Head:
 
Ni kweli. Ila sijui kama unajua kilichoandikwa na ulichoandika ambavyo ni kifo na usingizi. Nakushauri usome tena.
 
acha porojo gentleman,

Na kabisa,
huna haja ya kubabaika na wanao amini kwa mtu S.A.W na wanaomini kwa Yesu Kristo wa Nazareth,
na kamwe huna haja ya kumsingizia mtume S.A.W au Yesu Kristo wa Nazareth dhidi ya mafarakano ya kilevi kwenye familia yako.

ni vizuri ukang"ang'ana na ushirikina wako bila kuhanagaika bila kumsingizia Yesu au Mtume, pamabana na ramli zako kutatua wako na familia yako ya kishirikina. :1Head:
 
Kwan hakuna historia zao tukiacha za kwenye bible au hakuna ndugu zake mfn vitukuu au ukoo wake uliopo leo
 
Uliyoandika ni ha kweli hasa kama mwenye kufanya hivyo hazimtoshi au ni wale wanaoamini kila jambo kibubusa. Wako tayari kumfia mtume lakini ukiwadhuru wao au wazazi wao hukimbilia polisi. Ni aina fulani ya kichaa inayowasumbua watu wa namna hii mazwazwa wa kutupwa.
 
na kuna malofa wengine wanaamini hadi bianadamu wenzao, kana kwamba bila wao mambo hayasongi,
wanasahau kwamba zawadi ya uhai walionao, kila moja kapewa bure na alitujalia hali hiyo,

ni vizuri kila moja kutumia uhai na maarifa alojaaliwa kutatua changamoto zake bila kusingizia wengine ambao nao walipewa zawadi ya uhai kama wao tu :1Head:
 
Huyo Yesu hajawai kuwepo ni stories tu za kuundwa na warumi miaka ya juzi tu hapo 300A.D, na huyo Muhamad alikuwa muhuni kama hawa wahuni wa sasa akina Netanyau ama wale viongozi wa makundi hatari ya kigaidi yanayopora haki za watu na kuwalazimisha waishi vile makundi haya yanataka, mfano Islamic State, Alkaida, Alshababu, boko haramu n.k, kiufupi Muhamad alikuwa kiongozi wa kusambaza na kueneza itikadi zake alizoziita imani huku akiwa na back up ya nakala za warumi alizobadili baadae wakaziiita Qur'an.

Kiufupi kabisa, kuwatumaini hawa viumbe ni ujinga na kupoteza muda, maana imani ya Muhamad haitowai kumkomboa mtu yeyote kama yeye mwenyewe ambavyo hatokomboleka na uhuni wake.

Yesu pia kama kiumbe wa uongo na nadharia aliyeundwa na wazungu wa rumi ya Catholic kwa kucopy stories za Miungu ya kale ya kimisri/Afrika ambayo ina sifa ya kuzaliwa kati ya mtu na kiumbe wa juu, kufa na kufufuka tarehe 25 December, hizi ni stories zilishakuwepo Afrika mpaka india na china kwa zaidi ya miaka 10,000 kabla ya kuundwa kwa ukristo wala uislamu.

Dini ni uhuni wa wazungu na waarabu kutawala fikra za mtu ili kumuondoa ktk asili yake.
 
Maajabu ni kuwa unaweza kupata ushahidi wa uwepo wa mafalao walioishi zaidi ya miaka 5000B.C, pia unaweza kupata ushahidi wa uwepo wa mabaki ya jamii za kale tunazozijua ktk historia lkn hutowai kupata wala kuona ushahidi wa hao mitume wa hizi dini mbili, achilia mbali huyu Yesu kaondoka juzi tu hapo 2000 iliyopita lkn hakuna ushahidi wowote wa historia yake wala ndugu zake, wala jamaa zake, wala mtu yeyote aliyehusiana na background ya maisha ya uyahudi wa kipindi chake, je ni kwanini tunapata hadithi zao ktk biblia na Quran pekee??.

Shitukeniii, kuna mchezo ktk hizi dini
 
Back
Top Bottom