The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Hivi kabla Eva/Hawa hajaumbwa, Adam alikuwa anamalizaje hii kitu vijana wanaita upwiru? Au yeye ndio mwanzilishi wa bao la Nape?Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa Mohammed.
Pili, tunajua kuwa hakuna picha zao zinazoweza kuoenekana popote isipokuwa ukimya au za kuigiza.
Tatu, jamaa hawa inawezekana hawakuwapo ili tunaaminishwa walikuwapo.
Nne, inawezekana walikuwapo lakini wakakuzwa na kuwa kitu kingine yaani misingi ya dini.
Tano, wawili hawa walileta utatu yaani, Mungu au Allah, Mwana au Mtume, na Roho Mtakatifu au Ummat.
Sita, wote walitoka sehemu moja, yaani mashariki ya kati.
Saba, wote wana utata mkubwa unaolindwa kwa imani, mabavu, na vitisho.
Nane, wawili hawa hawakuandika kitabu chochote ingawa vitabu vyote viwili vinaitwa vyao.
Tisa, kinachoitwa majina yao si majina bali sifa ambapo Muhammad ni sifa na Yesu ni ukombozi. Mfano, kwa kutumia maana halisi, majina mawili yanamaanisha sifa ukombozi. Je, haya yaweza kuwa majina kweli?
Kumi, hata waanzilishi wa wafuasi, yaani binadamu hawana majina bali sifa ambapo Adam ni ardhi au dunia na Eva ni bustani na kadhalika.
Hakuwa na idea ya mwanamke hivyo hakuwa na matamanioHivi kabla Eva/Hawa hajaumbwa, Adam alikuwa anamalizaje hii kitu vijana wanaita upwiru? Au yeye ndio mwanzilishi wa bao la Nape?
Unajua kuwa hata wanyama wanafanya masturbation? Nao wamejifunza baada yakuumbiwa majike yao?Hakuwa na idea ya mwanamke hivyo hakuwa na matamanio
Ni kweli waliishi maisha simple kabisa tena kwa tamaduni za maeneo Yao wakati huo, watu wamewabadilisha wamewapa masharti meeengi na status tofauti kabisa na ilivyokuwa. Kwa kuwa duniani Kuna roho nyingi zinazunguka probably zipo roho zilishasoma akili za watu wa Sasa wakajitengeneza kama watakavyo hivyo unaweza kuwa unaomba unadhani kuwa unamwomba Yesu au Mohamed kumbe zipo roho tayari zimechukua nafasi Yesu Wala Mohamed hawahusiki ndio maana unakuta miujiza Mungu feki dini zimekuwa na masharti mengi kama viccobaWao wenyewe (Yesu na Moh'd) siku wakizaliwa watashangaa jinsi walivokuwa wanapakaziwa sifa ambazo sio zao. We subiri tuu.
ndio, kitendo cha ku masturbate ni kupata hamu ya tendo ila huna wa kufanya nae kwa kupenda au kukosa, ila kama huna idea mwanamke ni nini huwezi kupata matamanio ya kufanya sex hivyo hujui masturbation ni nini,Unajua kuwa hata wanyama wanafanya masturbation? Nao wamejifunza baada yakuumbiwa majike yao?
ugumu uupatao katika mahangaiko yako, hakuna haja ya kusingizia wengine wala kujificha nyuma ya Mtume au Yesu.Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa Mohammed.
Pili, tunajua kuwa hakuna picha zao zinazoweza kuoenekana popote isipokuwa ukimya au za kuigiza.
Tatu, jamaa hawa inawezekana hawakuwapo ili tunaaminishwa walikuwapo.
Nne, inawezekana walikuwapo lakini wakakuzwa na kuwa kitu kingine yaani misingi ya dini.
Tano, wawili hawa walileta utatu yaani, Mungu au Allah, Mwana au Mtume, na Roho Mtakatifu au Ummat.
Sita, wote walitoka sehemu moja, yaani mashariki ya kati.
Saba, wote wana utata mkubwa unaolindwa kwa imani, mabavu, na vitisho.
Nane, wawili hawa hawakuandika kitabu chochote ingawa vitabu vyote viwili vinaitwa vyao.
Tisa, kinachoitwa majina yao si majina bali sifa ambapo Muhammad ni sifa na Yesu ni ukombozi. Mfano, kwa kutumia maana halisi, majina mawili yanamaanisha sifa ukombozi. Je, haya yaweza kuwa majina kweli?
Kumi, hata waanzilishi wa wafuasi, yaani binadamu hawana majina bali sifa ambapo Adam ni ardhi au dunia na Eva ni bustani na kadhalika.
Ni kweli. Ila sijui kama unajua kilichoandikwa na ulichoandika ambavyo ni kifo na usingizi. Nakushauri usome tena.ugumu uupatao katika mahangaiko yako, hakuna haja ya kusingizia wengine wala kujificha nyuma ya Mtume au Yesu.
Kila moja anayo zawadi ya uhai basi itumie vizuri na kwa usahihi bila lawama kwa wasiohusika na hali yako kiroho na kimwili
acha porojo gentleman,Ni kweli. Ila sijui kama unajua kilichoandikwa na ulichoandika ambavyo ni kifo na usingizi. Nakushauri usome tena.
Uliyoandika ni ha kweli hasa kama mwenye kufanya hivyo hazimtoshi au ni wale wanaoamini kila jambo kibubusa. Wako tayari kumfia mtume lakini ukiwadhuru wao au wazazi wao hukimbilia polisi. Ni aina fulani ya kichaa inayowasumbua watu wa namna hii mazwazwa wa kutupwa.acha porojo gentleman,
Na kabisa,
huna haja ya kubabaika na wanao amini kwa mtu S.A.W na wanaomini kwa Yesu Kristo wa Nazareth,
na kamwe huna haja ya kumsingizia mtume S.A.W au Yesu Kristo wa Nazareth dhidi ya mafarakano ya kilevi kwenye familia yako.
ni vizuri ukang"ang'ana na ushirikina wako bila kuhanagaika bila kumsingizia Yesu au Mtume, pamabana na ramli zako kutatua wako na familia yako ya kishirikina.
na kuna malofa wengine wanaamini hadi bianadamu wenzao, kana kwamba bila wao mambo hayasongi,Uliyoandika ni ha kweli hasa kama mwenye kufanya hivyo hazimtoshi au ni wale wanaoamini kila jambo kibubusa. Wako tayari kumfia mtume lakini ukiwadhuru wao au wazazi wao hukimbilia polisi. Ni aina fulani ya kichaa inayowasumbua watu wa namna hii mazwazwa wa kutupwa.