Kamal Mustafa Atartük: Baba wa Uturuki Mpya (1881-1938)

Wewe una weka kutunga quran?
Ebu jaribu hata aya 1 tu.
Siwezi kutunga kitabu chenye contradictions kama Quran, nitaondoa contradictions hizo.

Quran haina logical consistency. Jambo linaloonesha imetungwa, tena na watu tu, tena na watu wenye akili ndogo ambao hawakuweza kuondoa contradictions kwenye kitabu chao.

Nikikuwekea contradictions za kwenye Quran hapa, hutaweza kuzimaliza kuzitatua.
 

Hivi ulisha wahi kwenda Iran ukaona maendeleo walio nayo au unaongea tu ili kujifurahisha?
Ebu ingia hata YouTube tu uone maendeleo ya kimiundo mbinu yake alafu ilinganishe na nchi yako.
Hiyo Iran unayo itaja, Uchumi wa jiji moja la Teheran ni mkubwa zaidi mara mbili ya uchumi wa nchi yako.
Hiyo Afghanistan ina uchumi zaidi ya mara tatu ya nchi yako unayo sema ina maendeleo sasa hapo sijui hoja yako ni ipi?
Hizo nchi zote ulizo zitolea mfano kuna baadhi ya sheria zao ni za kidini.

Malasia wanaongozwa na sheria aina mbili kuna baadhi ya mambo yanaendeshwa kwa sheria za kidunia na kuna nyingine wanatumia sheria za kiislam,hivyo hivyo na nchini Indonesia.
Hata Qtaar ni hivyo hivyo hata UAE ni hivyo hivyo lakini hizo nchi zote zina maendeleo ambayo nchi yako isiyo fuata mfumo wa kidini haitakuja kuyafikia hata kwa miaka 10000 ijayo.

Nimesha kwambia kuwa nchi huwa inapata maendeleo kwa sababu ya utashi wa viongozi na wananchi wake na si kwasababu wanaongozwa na mfumo Fulani.
Kama mfumo wa uongozi ndo unaleta maendeleo basi na nyinyi Tz ondoeni mfumo unao iongoza Tz sasa hivi muweke mfumo unao iongoza Ujerumani ,tuone kama Tz itapata maendeleo kama Ujerumani.
 
Ataturk aliondoa mfumo wa Kiislamu na kufuata Secularism na Uturuki ikapata Maendeleo makubwa.
 
Leo hii Iran Afghanistan nk zinahitaji Kamal Ataturk wao.
 
Weka hapa comparative statistics za before Erdoğan na after Erdoğan na authentic sources. Otherwise utakuwa unaimba kaswida tu hapa
 
Nimepita Teheran mwaka 2014 na nimekaa wiki moja. Unapofanya comparison na Tanzania unakosea kabisa.

Tanzania kama nchi utaanza kui trace mwishoni mwa karne ya 18 wakati Mkoloni Mjerumani amekuja. Kabla ya hapo yalikuwa ni mapori ambayo Waarabu wanapita kwenye tawala za kichifu kwenda kuchukua mali ghafi na watumwa.

Iran ipo kama dola ya kiajemi (Persia) kuanzia miaka 4,000 BC iliyopita. Jina la Iran lilianza kutumika rasmi mwaka 1500 baada ya tawala 2 kujiunga.

Siyo fair kulinganisha hizi nchi 2. Linganisha Iran na Iraq au Saudia au nchi za Ulaya.

Muwe mnasoma history kabla ya kujibu fyongo hapa
 
Unafurahisha
 
Nilikuwa nakupa usiyoyajuwa kuhusu Atartük Rais wa Uturuki aliyeibadili kwenye sura ya sasa
Wewe ndie uliyechelewa kuyajua japo mengi umeongeza sio kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…