Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Siwezi kutunga kitabu chenye contradictions kama Quran, nitaondoa contradictions hizo.Wewe una weka kutunga quran?
Ebu jaribu hata aya 1 tu.
Quran haina logical consistency. Jambo linaloonesha imetungwa, tena na watu tu, tena na watu wenye akili ndogo ambao hawakuweza kuondoa contradictions kwenye kitabu chao.
Nikikuwekea contradictions za kwenye Quran hapa, hutaweza kuzimaliza kuzitatua.