- Thread starter
- #141
Maislamists yameanza vurugu huko Ulaya chini ya kisingizio cha free Palestine. Timu ya Israel 🇮🇱 (Macabi) ilienda kucheza na Ajax ya Holland ktk michuano ya Europa. Maislamists wakaona hiyo ni nafasi ya pekee kuwashambulia mashabiki wa Macabi kwani ni lazima watakuwa wayahudi. Wayahudi kadhaa wameuwawa. Tutarajie matukio kama haya kuenea zaidi hasa kwakuzingatia hii mijitu iko desperate inapoona kila jambo inayojaribu inashindwa; ukizingatia ushindi wa Trump umewatia kiwewe wanajua Hamas wao sasa ni kumaliziwa tu.
View: https://x.com/amjadt25/status/1854771368958857495
Hayo siyo maislmists hao ni wananchi wa nchi hizo.
Kama ni uholanzi hao ni waholanzi labda kama unasema Zungu ni foreigner, Obama mkenya, Tarimba ni mwarabu nk.