Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watavuna walichokipanda American Arab....hata wew unajua hilo. Nina declare interest mm ni mfuasi wa Trump. Na kwa taarifa tu mkwilima( mkwe) wa Trump ni myahudi. Tusubili kama Trump atawasaidia Wapalestina wanaotetewa na Hezbollah na Houthi.
Wanasiasa sio watu wa kuwaamini kabisa, yani akikuambia sasa hivi ni usiku toka nje uangalie kujiridhisha.
Siamini kama Trump atawasaidia Wapalestina, kwani mara ya mwisho yeye ndio alibadilisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv akaupeleka Jerusalem ambalo kwa mujibu wa ramani ni eneo la Wapalestina.
But anyway labda anaweza kubadilika this time..
LAKINI Mateso ya Wapalestina hayawezi kuwa ya milele ipo siku kwa namna sisi wanaadaamu tusiyoielewa Mwenyezi Mungu atawaletea msaada tu.
Hujuwi kuwa Wamarekani wanawasupprt Israel wakijifanya wao hawamo? Na wanafanya hivyo mpaka kieleweke ili mradi tu Arab nations ziteketee.Unconditionally?
Can you support anyone unconditionally?
I am sure Pdidy will luv to hear from you in person!
Hujuwi kuwa Wamarekani wanawasupprt Israel wakijifanya wao hawamo? Na wanafanya hivyo mpaka kieleweke ili mradi tu Arab nations ziteketee.
Hujuwi kuwa Wamarekani wanawasupprt Israel wakijifanya wao hawamo? Na wanafanya hivyo mpaka kieleweke ili mradi tu Arab nations ziteketee.
Kwani huyo mumama alikua ana hoja au sera gani muhimu za kuwashawishi wamarekani wamchague zaidi ya utoji mimba na ushoga? Si ameshinda New York na California pekee ambako ndiko pekee kwenye uchafu huo?Mkuu una uhakika waliomtokea kumtia adabu huyu bi mkubwa ni hao tu uliowaweka hapo?
Ukweli mchungu bi dada kapigwa chini kwa jitihada za wazi za wapinga vita.
Humo walikuwamo Arab Americans na sympathizers wao.
Sympathizers wao unawajua au hata walikuwa pia majimbo yapi?
Bila shaka hadi hapo utakuwa umetambua umetambua thamani ya kura yako dhidi ya wagombea viziwi!
Tlaatlaah na mwenzio habari ndiyo hiyo.
Kama hawakupiga kura maana yake hawakumtia adabu basi, imetokea by chance bila wao kufanya effort yeyote anyway! Kumtia aibu mtu ni kufanya kitendo actively cha kumfanya aone umetenda na umeinfluence matokeo! Hii ni sawa na kusherehekea mvua ikinyesha
Chadema si ni sawa nyumbu wakurupukaji gentleman,au umejisahaulisha makusudi?🐒Hakuna mahali chama chochote makini kinaweza kuwabagaza wapiga kura wake :
CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni
Tofautisha wanachama na ngombe bila kusahau ngombe si ng'ombe!
Mimi nadhani hawajasave kitu. Trump ni muunga mkono kinda konda wa israel.Hii inaitwa kazi tuliyojituma tumeimaliza:
View attachment 3145748
Kwamba hakusikiliza:
View attachment 3145737
Ama hakika mission accomplished somo bayana kwa wasaka kura kokote:
View attachment 3145739
"Mwenye nchi, mwananchi!"
Yaani Trump atangazie ulimwengu mzima kwamba Jerusalem ndio mji mkuu wa Israel halafu tena awape kisogo in favor of Iran? Huko ni kwendra kinyume na biblical 🐒Aiseeee trump atawashangaza sana mnaodhani anaweza kuidump Israel kisa iran
Kwani huyo mumama alikua ana hoja au sera gani muhimu za kuwashawishi wamarekani wamchague zaidi ya utoji mimba na ushoga? Si ameshinda New York na California pekee ambako ndiko pekee kwenye uchafu huo?
Lakini pia Biden alipata kura za awanawake zaidi ya 55%,=kulikoni huyu mumama apate below 50% ya kura za wanawake?
kilicho muharibia zaidi huyu mumama wenu, ni ile ya kusema Israel Must Defend it's soverenity? How about Palestine and Arab world at large? hakua na jibu.
Trump alisema,
he wants to stop unnecessary dying of the people from Ukraine to the middle east 🐒
Mimi nadhani hawajasave kitu. Trump ni muunga mkono kinda konda wa israel.
Sema mimi nimefurahi trump kushinda pia
Chadema si ni sawa nyumbu wakurupukaji gentleman,au umejisahaulisha makusudi?🐒
Because its not emotional nor religious! Natazama data na kutoa maoni yangu na sip lazima ukubaliane nayo! Weka yako yenye nguvu au potezea tu maisha yaendelee! After all hainipunguzii wala kunipa kaugali au mboga, just entartainment kuvuta muda tuHoja duni kabisa
unajitofautishaje wakati hao ndiyo kielelezo cha chadema kudhihaki wananchi wapiga kura kwamba ni wajinga wasiojielewa kuchagua viongozi wazuri wa vyama vingine?Tofautisha Chadema na wanaojifanya Chadema wa mitandaoni wawili hao ni tofauti.
ushoga baba 🤣Mkuu kwani ndiyo kuwasili tokea sayari nyingine?
Bila hoja:
1. Kwa nini alikuwa anagombea au kufanya kampeni?
2. Vipi Marais wote hai democrats kasoro Carter wa miaka 100+ kuambatana naye kumnadi na kumpigia kampeni vilivyo?
3. Vipi vigogo wakiwamo republicans kama kina Dick Cheney na wengi wengine kum endorse Kamala?
4. Kulikuwa na haja gani ya kumwondoa Biden ulingoni na kuingia huyu waliyemwona Messi?
5. Vipi kwenda kuwaangukia wapinga vita waangusha party hawa?
6. Vipi Marais wote hai republicans kumsusa Trump majukwaani naye kupiga kampeni kama yatima?
7. Nk.
Marekani si bongo nyoso!
Shida maoni yenu walokole Yana mlengo wakidini hapa amezungumzia Siasa, Israel italindwa lakini ikifanya uharifu iachwe tu? Lazima watawala wa Washington waikemee ndicho kinachotakiwa. Mimi mkatoliki mbona nimemwelewa vizuri. Huwezi kuwa mkristo harafu unasapoti dhuruma, iwe Kwa mwarabu au mzungu kuleta ushabiki wakati watu wanauanahuo sio ukristo. Ukristo ni dini ya Aman.Mkûu sera za Marekani Kwa Israel zîpo bayana.
Íwe Trump au Kamala wôte Lao Moja.
Marekani haiwezi kuwa upande wa Waarabu dhidi ya Wayahudi Maisha.
Hata huyo Mrusi anachofanya ni geopolitical games lakini urusi hawezi kuwa upande wa Waarabu au jamii za middle east dhidi ya Wayahudi.
Kinachofanyika ni biashara
Waarabu wataendelea kutaabika Sana Marekani ingalipo.
Kupona Kwa waarabu ni aidha kuungana na matakwa Yao au kuanguka Kwa Dola la Marekani Basi.
Hamas, Hezbollah na Kaka Yao Iran round hii huenda wakapata shida zaidi kuliko Wakati wowote