Kamala Harris akiangukia pua, waliopanga kumtia adabu waangusha tafrija!


Hayo siyo maislmists hao ni wananchi wa nchi hizo.

Kama ni uholanzi hao ni waholanzi labda kama unasema Zungu ni foreigner, Obama mkenya, Tarimba ni mwarabu nk.
 
Hayo siyo maislmists hao ni wananchi wa nchi hizo.

Kama ni uholanzi hao ni waholanzi labda kama unasema Zungu ni foreigner, Obama mkenya, Tarimba ni mwarabu nk.
Tukisema islamists hata wewe kwa ujuha unatokana kuwa brainwashed na Quran yenu ya Shetani kaallah unaingia humo. Wapo Waislamu wachache ambao wanachuja kile kilichoandikwa kwenye Quran, hao siyo islamists
Kama una akili utamsikiliza huyu mdada ni MMISRI TENA ANAVAA USHUNGI LAKINI AMEJIKOMBO KUTOKA UISLAM ISLAMISTS. NA ANAWAITA NYINYI ISLAMISTS MNAOUTIA UISLAM DOA

View: https://x.com/YasMohammedxx/status/1854874255617356288
 


Mkuu umeujuaje kama wewe si shetani?

China ana taabu sana na weusi:



Maoni yako tafadhali.
 

Unaonekana kuwa na makasiriko hadi hujitambui.

1. Wapi nimesema au hata kuashiria mimi ni mwislam?

2. Kwamba wewe ulipo nikimnukuu Xi:



Kwani wewe na hao unaowabagaza pasipokuwa na ushahidi wowote unatofautiana nao nini?

3. Bure kabisa!
 
Wewe ISLAMIST inaonekana haujamsikiliza Dalia Ziada, muislam tena avavaa hijabu. Yeye ni muislam lakini siyo islamist. Lakini wewe kwa jinsi ulivyopumbazwa na Quran ni Islamist na mambo yakikuzidi wewe na MAISLAMISTS wenzio wa Tanzania mtaenda tena KIBITI muanze kutuletea vurugu
 

Uislamist unausoma wapi ndugu?

Nilikwambia au kwa ushahidi upi?

Kuwatetea wamasai hakuhitaji mtu kuwa mmasai.

Nendeni shule mkasome, elimu huondoa ujinga, na elimu hata ngumbaru ipo!
 
Shetan anawezaje jua ushetani? Kwa hiyo mpaka nimeandika hivyo jua mimi ni wa nuruni na hivyo naweza jua hili ni giza

1. Una maana binadamu hajui kuwa ni binadamu?

2. Wacha kujihesabia haki ndugu vitabu vya dini vinakataza sana hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…