To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Na italeta uharibifu sanaAsilimia kubwa ya wananchi hawana shida na hiyo kitu. Tatizo ni kwamba hawataki makampuni makubwa yaingilie hiyo iwe kama bishara yao ambayo italeta uharibifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na italeta uharibifu sanaAsilimia kubwa ya wananchi hawana shida na hiyo kitu. Tatizo ni kwamba hawataki makampuni makubwa yaingilie hiyo iwe kama bishara yao ambayo italeta uharibifu.
Aisee,hali itakuwa mbaya sanaAtaruhusu watoto waingie nayo mpaka ma shuleni
Hapa Tanzania mna sababu zipi za msingi za kuzuia bangi ?Asilimia kubwa ya madawa yanayotengenezwa ya kutibu magonjwa mbali mbali, yana ingredients za bangi.
Kuna uwezekano vita dhidi ya bangi ilianzishwa na mashirika makubwa yanayopata faida kubwa sana kwenye utengenezaji na uuzaji wa madawa.
Hakuna sababu za msingi kwa maoni yangu.Hapa Tanzania mna sababu zipi za msingi za kuzuia bangi ?
Sio marekani yote ni majimbo machache tu lakini majimbo mengi hayaruhusu bangiBangi sio illegal Marekani na ishakuwa proved kwamba haina madhara. Kwa sasa kuna dispensaries kila mtaa unanunua na kuvuta unavyotaka sheria ni uwe na 18yrs and over baaasi!. Labda anamalizia vijisehemu vichache vilivyobaki.
Hakuna cha utalaam bangi ni bangi mzee. Wasifiche madhara ya sigara ni makubwa zaidi ya bangi bora iruhusiwe hata bongo watu walime ikuze uchumi, mtu akichomewa heka moja tu ni mamilioni wao wanaharibu kwakweli tuna safari ndefuSio marekani yote ni majimbo machache tu lakini majimbo mengi hayaruhusu bangi
Na bangi inayoruhusiwa ni ile iliyochakatuliwa kitaalam sio kama unavyiwaza wewe
Yaan bangi inayoruhusiwa ina kiasi fulani cha kilevi au ile stimu na inauzwa maduka maalum na sio kiholela hvyo bado sheria itachukuamkondo wake ikiwa utaenda kinyume na muongozo wa sheria ya bangi
Sasa alichosema kuwa yeye ataruhusu nchi nzima ikiwa utakuwa muswada sheria kwa maana hata majimbo yaliyokuwa hayataki kuruhusu matumizi ya bangi kama seneti waKipitisha na aKatia saini basi majimbo yote bangi ruhusa
Ila ukumbuke mpk seneti wapige kula waridhir
Sio kwamba akiingia tu madarakani akisema bangi ruhusa basi na iwe hapana
Chama Cha watoa mimba, ushoga na sasa bangiWakuu,
Pengine kuna kitu ntakuwa sielewi kuhusu Marekani lakini inaonekana suala la bangi kuwa halali ni suala nyeti sana huko Marekani na hii ni baada ya Harris kusema kuwa atahalalisha matumizi ya bangi nchi nzima pindi akiwa Rais.
Hivi how is this a campaign issue? Na kwanini utake kuhalalisha bangi?
Who is behind Kamala Harris' decisions?
View attachment 3126267
Source: MDN News
Wapige marufuku sigara zinaua watu wengi sana waruhusu ganja ni dawa.Mbona sigara hazipigwi marufuku?
Kwa hiyo makamu wa rais na mgombea urais hajui kuwa bangi ni halali marekani mpaka aahidi kwenye kampeni!!...acheni ujuaji wa kijingaBangi sio illegal Marekani na ishakuwa proved kwamba haina madhara. Kwa sasa kuna dispensaries kila mtaa unanunua na kuvuta unavyotaka sheria ni uwe na 18yrs and over baaasi!. Labda anamalizia vijisehemu vichache vilivyobaki.
Kwa hiyo makamu wa rais na mgombea urais hajui kuwa bangi ni halali marekani mpaka aahidi kwenye kampeni!!...acheni ujuaji wa kijinga
Hapo anawalenga watu weusi......shida bangi zao zenyewe wanazohalalisha kwa sasa ni za gmo ,,,tayari zina upuuzi mwingi hadi mapepo ya lgbtWakuu,
Pengine kuna kitu ntakuwa sielewi kuhusu Marekani lakini inaonekana suala la bangi kuwa halali ni suala nyeti sana huko Marekani na hii ni baada ya Harris kusema kuwa atahalalisha matumizi ya bangi nchi nzima pindi akiwa Rais.
Hivi how is this a campaign issue? Na kwanini utake kuhalalisha bangi?
Who is behind Kamala Harris' decisions?
View attachment 3126267
Source: MDN News
Sio marekani yote ni majimbo machache tu lakini majimbo mengi hayaruhusu bangi
Na bangi inayoruhusiwa ni ile iliyochakatuliwa kitaalam sio kama unavyiwaza wewe
Yaan bangi inayoruhusiwa ina kiasi fulani cha kilevi au ile stimu na inauzwa maduka maalum na sio kiholela hvyo bado sheria itachukuamkondo wake ikiwa utaenda kinyume na muongozo wa sheria ya bangi
Sasa alichosema kuwa yeye ataruhusu nchi nzima ikiwa utakuwa muswada sheria kwa maana hata majimbo yaliyokuwa hayataki kuruhusu matumizi ya bangi kama seneti waKipitisha na aKatia saini basi majimbo yote bangi ruhusa
Ila ukumbuke mpk seneti wapige kula waridhir
Sio kwamba akiingia tu madarakani akisema bangi ruhusa basi na iwe hapana
Unajua maana ya 'medical and recreational'?..mpuuziKwa kuwa hujaelewa maelezo nakuacha ubaki ulivyo, ila siku ingine usome na kuelewa kabla hujajibu ndio maana mnafeli sana vijana.
Unajua maana ya 'medical and recreational'?..mpuuzi