imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imehalalishwa baadhi ya majimbo tu.Kwani haikuhalalishwa?! Mbona watu wanatumia tu hadharani
😀😀😀😀😀Ataruhusu watoto waingie nayo mpaka ma shuleni
Nadhani kwa baadhi ya majimbo, sio Marekani kote. Hata Mike Tyson I think ndio biashara yake inayo muweka mjini kwasasa; yupo kwenye jimbo linalo ruhusu matumizi ya bangi. Hvi pia mnajua kwamba Urusi kinywaji ili kiitwe Pombe sharti % of alcohol iwe +10? Ikiwa <10 mfano beer hiyo kwao ni juice iliochangamkaBangi sio illegal Marekani na ishakuwa proved kwamba haina madhara. Kwa sasa kuna dispensaries kila mtaa unanunua na kuvuta unavyotaka sheria ni uwe na 18yrs and over baaasi!. Labda anamalizia vijisehemu vichache vilivyobaki.
🤣🤣🤣🤣🤣Ukute ana mpenzi mvuta bange.
Sio Marekani yote, na sehemu kubwa ni kwa ajiri ya matibabu, watu wanataka wavute kwa starehe zao ( recreational) all over US, mfano kwa sasa you can smoke all you want in Colorado lakini ukivuka border to Nebraska ukishikwa unavuta unaenda jelaKwani haikuhalalishwa?! Mbona watu wanatumia tu hadharani
acha watu wazima wavute ni starehe, wamarekani hawapendi mambo ya kikuda yasiyo na faida kwa jamiiKwa hiyo bangi ikiruhusiwa ndio maisha ya wamarekani woe yatakuwa bora😳..Kumbe kikwazo kilikuwa ni kutoruhusiwa kwa bangi tu.Siasa hiziii
AiseeSio Marekani yote, na sehemu kubwa ni kwa ajiri ya matibabu, watu wanataka wavute kwa starehe zao ( recreational) all over US, mfano kwa sasa you can smoke all you want in Colorado lakini ukivuka border to Nebraska ukishikwa unavuta unaenda jela
Eti bangi ya burudani,sasa kwa nini ukikutwa na bangi marekani unafungwa!?Hahahaha we unagoogle, mi ni fani yangu for over 25yrs kijana! Halafu "recreational" "bangi ya burudani" umeelewa nini maana yake au hadi ras simba akutafsirie? Ficha upumbavu wako kijana wakati mwingine
ni katika majimbo na majimbo kama nchi haijawahi ruhusuKwani haikuhalalishwa?! Mbona watu wanatumia tu hadharani
Sawa mkuuni katika majimbo na majimbo kama nchi haijawahi ruhusu
1Eti bangi ya burudani,sasa kwa nini ukikutwa na bangi marekani unafungwa!?
Sio Marekani yote, na sehemu kubwa ni kwa ajiri ya matibabu, watu wanataka wavute kwa starehe zao ( recreational) all over US, mfano kwa sasa you can smoke all you want in Colorado lakini ukivuka border to Nebraska ukishikwa unavuta unaenda jela
of 2023, twenty-four states, three U.S. territories, and the District of Columbia have legalized recreational use of cannabis. Thirty-eight states, four U.S. territories, and D.C. have legalized medical use of the drug.1
Hahaha unaokana hujui unachokiongea anyway I rest my case! Kwamba Marekani ni kama hapo manzese mnapochomekeana vipisi na kushtakiana? Nasikitikia nchi yangu sana kutotoa exposure kwa vijana wasafiri na kujionea dunia sikulaumu kwa kutikijua mambo sio kosa lako kijana
Achunguzwe kama ana undugu na kishimbaWakuu,
Pengine kuna kitu ntakuwa sielewi kuhusu Marekani lakini inaonekana suala la bangi kuwa halali ni suala nyeti sana huko Marekani na hii ni baada ya Harris kusema kuwa atahalalisha matumizi ya bangi nchi nzima pindi akiwa Rais.
Hivi how is this a campaign issue? Na kwanini utake kuhalalisha bangi?
Who is behind Kamala Harris' decisions?
View attachment 3126267
Source: MDN News