Kamala Harris: “Mimi ni mwanasheria, Trump ni muhalifu aliyekutwa na hatia mahakamani”

Wajipange kupambana na trump ,huyu mama hamuwezi trump hata kidogo waweke mtu mwingine wataaibika
 
Obama ndio achague tena

Kama nani wakati amebaki na kofia ya ushauri tu
 
Kamala is more Indian than black.
Zikija kampeni za siasa za uchaguzi ndiyo hugeuka na kuwa black ila in the office, economy policy making etc she is Indian and South Asian.
Mkimtaka the black Kamala msubirini mtaani wakati wa Kampeni.
 
Beberu likimgeukia asianze kulialia maana linatiririka facts tu lile. Further, lina a very clear vision about America he wants to build. Huyo mama zaidi ya zali sidhani kama ana la zaidi.
Eti facts. Kuna jitu ongo kama Trump? Ngoja nikuletee uongo ambao ameshawahi kusema.

Ni muongo kama shetani mwenyewe anatumia kofia ya walokole.
 
hakika, yule hana uweusi kama wa akina Nicki Minaj
Na sasa badala ya kueleza mipango yake,yeye Kamala bila kujua akifanyacho amejisalimisha kwenye miguu ya Don Trump kwa kujivika nafsi ya muhanga wa matendo ya wanaume.Ambayo yeye anayaita ni uhalifu.
NB;Waache wamasai na wakurya waibe ng'ombe ni jadi yao.Ukiwaiga inakula kwako mahakamani.
 
Alishindwa Hilary ambaye alikuwa na nguvu ya ushawishi kuliko Kamala

Trump ni wa kupambanisha na wanaume wenzake
 
Ooh mimi ni mwanamke; ooh mimi ni mwanasheria; ooh najua siri za Trump! Ndicho Marekani inachohitaji?

Marekani inahitaji uchumi imara, usalama, ajira, kuwa juu ya mataifa mengine.
Kwenye uchaguzi, wasichotaka wamarekani ndo watakipa kipaumbele.

Mabadiliko Trump anayotaka kuyaleta siyo mazuri kwa demokrasia ya marekani.

Historia ya uchumi mzuri ni ya democrats check your facts.

Kuhusu kuwa juu ya mataifa mengine hiyo siyo sera ya Trump.

Trump is an “isolationist” kama unafahamu historia na siasa za marekani utanielewa.

Sasa integrity matters as well. Kwanza madhambi aliyonayo Trump ingekuwa ni mweusi asingethubutu kupanua mdomo wake kwa lolote lile kwenye ngazi yoyote ile ya kisiasa wala ya kijamii.

Trump amebebwa tu na siasa za maji taka za far right conservatives ambao ni wenye msimamo mkali kama jihadists tu. Hao wana uwezo wa kuwa magaidi vilevile.

Kama siyo hao hata Middle East kungeweza kuwa na utulivu kwa kiasi kikubwa sana.

Mwavuli wa siasa anatumia kuficha uhalifu wake.

Kina P Diddy wenyewe wameshakuwa cancelled na hata mahakamani hawajafikishwa.
 
Umeshamsahau Obama tayari, why mna memory fupi sana?

Unaonekana kuidharau rangi yako ya ngozi kwasababu hujiamini, kama ungekuwa unajiamini usingezungumzia kigezo cha rqngi kama sababu ya kushindwa kwake.

Hata hoja yako ya pili ya mwanamke, sijui nani alikwambia Marekani ni marufuku kuongozwa na Rais mwanamke, au ulisoma wapi kwenye sheria zao? hata wakati wa Obama mlisema Marekani haiwezi kuongozwa na mweusi ikaja kuwa, na huyu nae atakuja kuku prove wrong, if not yeye basi its a matter of time.
 
Unaweza ukawa una jambo kwenye fikra zako.Lakini,ukiingia uwanjani ni tofauti na uhalisia.Ulitarajia bibi.Hilary Clinton ashindwe kwa Trump?Kwa nini?Kamala ana infuence zaidi ya Obama?
 
Kweli unaongea mambo jambo kama jina lako! Unaposema anaweza kushinda kura Ila kwenye wadau akashindwa unamaanisha delegates?

Kwa taarifa yako, generation Z ndo watakaoamuwa mshindi wa urais marekani.

Fuatilia misimamo yao kisha urudi hapa kuongea.
 
Unaweza ukawa una jambo kwenye fikra zako.Lakini,ukiingia uwanjani ni tofauti na uhalisia.Ulitarajia bibi.Hilary Clinton ashindwe kwa Trump?Kwa nini?Kamala ana infuence zaidi ya Obama?
Clinton aliangushwa na ukoo wao. Wengi walichoshwa na influence yao kubwa kwenye siasa za marekani.

Fuatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…