Kamala Harris: “Mimi ni mwanasheria, Trump ni muhalifu aliyekutwa na hatia mahakamani”

Kamala Harris: “Mimi ni mwanasheria, Trump ni muhalifu aliyekutwa na hatia mahakamani”

Ndugu yangu jmushi1, humu unawapigia mbuzi gitaa! JF ya leo si JF ya zamani. Hata pasco wa zamani sasa kawa Pascal Mayalla wa leo. Wapenzi wa Putin lazima wawe wapenzi wa Trump.

Orodha ya viongozi wetu wa leo wala isikushangaze. Ukipanda mchicha ni uendawazimu kujiaminisha utavuna nyanya! Hivyo hivyo usishangae kukuta Trump anaabudiwa TZ!

Kiumri Trump na Biden wanapishana kidogo sana. Trump hana cha kupoteza kwani asiposhinda, milango ya jela inamsubiri na ikitokea muujiza akashinda atatamani ardhi ipasuke imzike.

Known and proven convict cannot be the leader of the United R
States of America and you can take that to the bank! if the USA was the JMT, just maybe! Here anything goes!
Very well said great thinker.
 
Pamoja na yote hayo kwangu Mimi dunia inamhitaji Trump kuliko wakati wowote. Kwa wale wanaofanya biashara za kimataifa wanajua dunia ilipofikia inahtaji tiba.
Mkuu ebu niambie ni kivipi Trump atasaidia biashara za kimataifa mnazofanya?
 
Kamala kuwa Rais Marekani ni Vigumu sana kwanza Ni Black President contestant Pili Ni mwanamke..

Marekani ukishakuwa Mwanamke Kupata Urais Ni Vigumu sana [emoji28][emoji28]..

Sasa jiulize Imposible alizonanzo zote mbili Kwanza ni Black pili Ni mwanamke..

Hapo ni Ngamia Kupenya kwenye Tundu la sindano [emoji28][emoji28][emoji28]...

Anaweza akamshinda Trump.kwenye Kura Ila kwenye Wadau Akagaragazwa..

Marekani hawana Imani tena Na weusi kwa Kile Obama alichofanya [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]..

Sisi weusi tuko Very selfish Japo tunacheka Usoni..

So hii Ni Kura ya Turufu ya Kushinda Kwa Trump...

Obama angechagua Contestant mwingine chama chake kingeshinda
Kamala is not even black, like Obama she is not descendant of slaves.. although she will try to use some race card and woman card to win an election..she is more worse than Biden
 
Beberu likimgeukia asianze kulialia maana linatiririka facts tu lile. Further, lina a very clear vision about America he wants to build. Huyo mama zaidi ya zali sidhani kama ana la zaidi.
Hawa Hawa ni wale wa kupata nafasi kwa "kudra"

Jesus is Lord
 
Mkuu ebu niambie ni kivipi Trump atasaidia biashara za kimataifa mnazofanya?
Bro hujui wahouth wamesababisha container yamepanda bei kusafirisha. Au hujui vita ya Ukraine vimebadili kila kitu dunian. Hawa waarabu wakati wa Trump walimuogopa hivyo walitulia na mzee hakusababisha vita yoyote mpaka anaondoka. Yeye alikuwa ni mkwara tu anakupa unatulia. Na dunia ilikuwa kitu kimoja sasa hiv dunia imegawanyika mapande mawili makubwa ambayo ni hatar sana. So Trump angalau warusi wanamuelewa na waarabu wanamjua ni kichwa kibovu sio cha kuchezea. Dunia itulie angalau kidogo.
 
Back
Top Bottom