DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Harris Hawezi kumzidi Trump kwenye "Battleground states"Hapa nadhani unazungumzia umuhimu wa “Battleground states”
Ziko sita kama sikosei. Mara zote “Battleground states” ndizo ambazo huamuwa mshindi wa urais na siyo popular votes peke yake. Nitaweka uzi wa “battleground states” ili tufuatilie nani anaongoza. Ambapo hadi usawa huu Trump yuko juu ya Harris. Hata hivyo Harris anapunguza “gap” kadri muda unavyokwenda.
Alichobakiza Harris ni Accusation za Trump za unyanyasaji wa Kijinsia ila nothing else..