Kamala Harris: “Mimi ni mwanasheria, Trump ni muhalifu aliyekutwa na hatia mahakamani”

Kamala Harris: “Mimi ni mwanasheria, Trump ni muhalifu aliyekutwa na hatia mahakamani”

Sawa Mkuu lakini Unasahau kuwa Urais Marekani uchaguzi haufanyiki kama Tanzania Kuna level Mbili za Uchaguzi Kuna Federal Level na kuna Local level..

Uchaguzi wa Local Level ndo huwa unafanywa kwenye ballot na ndo unaitwa Indirect Election..(Huu ndo unasema kwamba Gen Z wanaweza wakashinda)

Halafu kuna federal Level ambayo kuna Electoral College Humu Sasa Electors wanakutana pale December in December Kupiga kura zao za president na vice president. Kila state’s number of electors huwa sawa na Namba ya Masenators na Representatives in Congress..

Na ili Uhesabiwe Umeshinda urais unatakiwa Kushinda Kura 270 out of 538..

Sasa Kama utapata Chini Ya hapo Na umeshinda kwenye Local Election bado unahesabika Umeshindwaa urais..

Na Ndo maana Nikasema Kuwa Wananchi hata wakimpigia Kura Kamala Bado kuna Kizuizi kwa Masenetor ambao.ndo electors wakuu
Umejifunza lini haya mambo wewe?

Maana unaongea abc
 
Hillary na huyu ni tofauti sana. Au na wewe uko kwenye jinsia unapotoa huo mfano wako irrelevant?
Hapana...... Hillary alikuwa mzoefu Sana kwenye siasa na kwenye sera za kimataifa tena akiungwa mkono mno hata na maveterani wa taasisi za Usalama ila bado Mzee Trump alimshinda.

Kamala hawezi kuwa kitisho kikubwa kwa Trump kuliko Hillary......labda tusubiri tuone.
 
Ndo nilichomwambia hata mimi Mushi kuwa Kamala anashindwa Uchaguzi huu Mapema sana
 
Proved , kwa taarifa yako, tokea Biden ame dropout, kina Trump wame panic na hata wanataka kufungua kesi uchwara za kuzuia mgombea wa Democrat asipigiwe kura kwenye baadhi ya majimbo ambayo hayaruhusu mgombea kubadilishwa. Lakini ukweli ni kwamba Biden alikuwa bado hajapitishwa rasmi kama mgombea wa democrats.

Sasa kuhusu hilo la wewe kumfananisha Ms Harris na Ms Clinton, bila kufahamu wao bu tofauti sana.

Kwa taarifa yako kumeanza danadana kuhusiana kutoka kwa Trump kuhusiana na suala la mdahalo baina yake na Kamala. Ambapo mwanzo alitaka midahalo zaidi ya 10 na Joe Biden. Soma hapo chini…

Update: Plans for the debate are in question after President Biden dropped out of the race. Former President Donald Trump said he now wants it to be hosted by Fox News instead. The earlier story below was accurate at the time of publication and will be updated when new plans are confirmed.
 
Mkuu hayo mambo ya kupelekana mahakamani Ili Fulani asipugiwe kura Jimbo Fulani ni siasa tu kama zile za kumtaka Biden ajiuzulu baada ya kusema hatogombea.

Ila bado Trump ana ufuasi mkubwa mno na anabaki kuwa kitisho kwa chama na mgombea yeyote kutoka Democrats, kiufupi hata wahafidhina ndani ya Republic walijaribu kumzuia ila walikwama, tusubiri kampeni zijazo tutashuhudia mengi.
 
Ndo nilichomwambia hata mimi Mushi kuwa Kamala anashindwa Uchaguzi huu Mapema sana
It never happens the way you think. Ni mara moja tu ilishatokea kwa mgombea kupata majority lakini akashindwa za delegates…

Siyo jambo ambalo linategemewa kutokea kama unavyoongea hapa. They never bank on that notion kwenye siasa za marekani…Ama haufahamu vizuri, au unakariri tu?

It’s deeper than you know. Ebu soma kidogo hapo chini then urudi hapa kuendelea.

“In only one election (1876) did a candidate win a majority (not just a plurality) of the popular vote but lose the electoral vote.

Of the five winners who lost the popular vote, three (Adams, Harrison, and Trump) ran for reelection four years later and lost the popular vote again and the election as well, one (Bush) ran and won the election as well as the popular vote, and one (Hayes) did not run for reelection. As of the 2020 election, no incumbent president has won re-election without winning the popular vote, and no president has won two terms in office without winning the popular vote at least once.“

Hapana...... Hillary alikuwa mzoefu Sana kwenye siasa na kwenye sera za kimataifa tena akiungwa mkono mno hata na maveterani wa taasisi za Usalama ila bado Mzee Trump alimshinda.

Kamala hawezi kuwa kitisho kikubwa kwa Trump kuliko Hillary......labda tusubiri tuone.
Kipindi kile Clinton alionekana kama “status quo”, people were tired of it.

Alishinda popular votes kwasababu alipata kura nyingi from urban and suburban areas ambapo wapiga kura wengi lakini delegates sawa tu na states ambazo hazina population kubwa.

Lakini hilo huwa halitokei mara nyingi kama anacyotaka kutuaminisha DR Mambo Jambo kama vile ni suala analotakiwa kulitetea humu kama hoja yenye kubeba ujumbe wa mgombea wake Trumpy.
 
Kuna Baadhi ya Vita Alizichochea Kufanyika..Bila hata sababu..
Matumizi ya Gharama kubwa ya Bajeti kwenye Vita akifananishwa na Bush mkuu Ingawa walitamani Kipindi cha Obama kungekuwa na Bajeti ndogo ya Kivita ila haikuwa hivyo..
Uchumi ulianza kushuka kipindi cha Obama
Siyo kweli kuwa eti uchumi ulianza kushuka wakati wa Obama! Unatoa wapi habari zako mkuu? Mbona unasema uongo hapa?
 
It never happens the way you think. Ni mara moja tu ilishatokea kwa mgombea kupata majority lakini akashindwa za delegates…

Siyo jambo ambalo linategemewa kutokea kama unavyoongea hapa. They never bank on that notion kwenye siasa za marekani…Ama haufahamu vizuri, au unakariri tu?

It’s deeper than you know. Ebu soma kidogo hapo chini then urudi hapa kuendelea.

“In only one election (1876) did a candidate win a majority (not just a plurality) of the popular vote but lose the electoral vote.

Of the five winners who lost the popular vote, three (Adams, Harrison, and Trump) ran for reelection four years later and lost the popular vote again and the election as well, one (Bush) ran and won the election as well as the popular vote, and one (Hayes) did not run for reelection. As of the 2020 election, no incumbent president has won re-election without winning the popular vote, and no president has won two terms in office without winning the popular vote at least once.“

Mkuu 5 election unaita Minor case?
Screenshot_20240723_204459_Chrome.jpg
 
Siyo kweli kuwa eti uchumi ulianza kushuka wakati wa Obama! Unatoa wapi habari zako mkuu? Mbona unasema uongo hapa?
Mushi..

Sikatai kwamba Obama aliingia madarakani wakati Wa American Great Reccesion ya mwaka 2008 iliyosababishwa na Bush..

Ila Obama ni Miongoni mwa Marais waliochangia Kukua Kwa Deni la Taifa, Najua lengo lake halikuwa baya Lilikuwa ni Kufanya Stimulus ya Uchumi..

Kama unakumbukumbu Obama Kaingia Madarakani mwezi january 2009 Deni la Taifa likiwa $ 10.6 Trilioni..

Ila mwezi kwenye Fiscal Year 2009 (Mwishoni mwa September 30, 2009) Deni la Taifa lilikuwa around $11.9 trillion mpaka $12 Trillion..

Ambayo Ni sawa Na Ongezeko la 12.3%..
Au sawa na $ 1.4 Trilioni ndani ya Miezi 7 mpaka 8

Fiscal Year 2010 Deni la Taifa lilikuwa approximately $13.5 trillion.
Fiscal Year 2011: Deni la Taifa lilikuwa approximately $14.8 trillion.
Fiscal Year 2012: Deni la Taifa lilikuwa approximately $16.1 trillion.
Fiscal Year 2013: Deni la Taifa lilikuwa approximately approximately $16.7 trillion.
Fiscal Year 2014: Deni la Taifa lilikuwa approximately $17.8 trillion.
Fiscal Year 2015: Deni la Taifa lilikuwa approximately $18.2 trillion.
Fiscal Year 2016: Deni la Taifa lilikuwa approximately approximately $19.6 trillion.

Ukiangalia Aliingia Deni lilikuwa 10.6Trillion ila katoka liko 19.6 Trillion ongezeko la Trillioni 9..
Ambayo ni Sawa na Ongezeko la 84.91%

Bado unataka niendelee Kuelezea??
 
You spoke about economy, but then you just switch to debt ceilings?

FYI, real gross domestic product is the broadest measure of economic activity.

There is no much of a difference between Obama and Trump when it comes to their history in America’s economy.

Be it GDP, unemployment, household income, etc.

The only one measure that has clearly outperformed under Trump is the stock market. And this was because of Trump’s tax cuts for the corporations vs democrats policy of raising corporate taxes and for the higher income earners.

The U.S. budget deficit was larger under Trump in his first three years, compared to under Obama in his last three years, according to the Congressional Budget Office.
 
Hapana...... Hillary alikuwa mzoefu Sana kwenye siasa na kwenye sera za kimataifa tena akiungwa mkono mno hata na maveterani wa taasisi za Usalama ila bado Mzee Trump alimshinda.

Kamala hawezi kuwa kitisho kikubwa kwa Trump kuliko Hillary......labda tusubiri tuone.
Hao wote ni watumishi wa Aipac hawana nguvu ya kuongea jambo wenyewe.
 
you spoke about economy, but then you just switch to debt ceilings?

FYI, real gross domestic product is the broadest measure of economic activity.

There is no much of a difference between Obama and Trump when it comes to their history in America’s economy.

Be it GDP, unemployment, household income, etc.

The only one measure that has clearly outperformed under Trump is the stock market. And this was because of Teump’s tax cuts for the corporations vs democrats policy of raising corporate taxes and for the higher income earners.

The U.S. budget deficit was larger under Trump in his first three years, compared to under Obama in his last three years, according to the Congressional Budget Office.
Nakubaliana na wewe kwa 100%
Kama Marekani ilivyomuhitaji Obama Kufanya Reformation kwenye Uchumi na Regulation na kupunguza Unemployment kupitia American Recovery and Reinvestment Act (ARRA) ,Dodd-Frank Wall Street Reform and Consumer Protection Act of 2010..n.k.. (Ili kukwepa Great Reccesion)

Hivyo hivyo US inamuhitaj Rais Kariba ya Trump kwa sasa Ili kurahisisha Njia ya Kupambana na Uchumi uliozorota na Kuingiza Sera za Trump ili marekani irudi tena kama Zaman vinginevyo inakoelekea siko na only sera na Siasa za Trump ndo zitaiokoa
 
Siyo kweli, Soma tena hii kisha urudi hapa. Halafu unasoma kweli navyokuwekea? Jaribu kutulia, usome na kuelewa. Halafu tambuwa kwamba huwa niko makini sana na source za habari zangu. Ninajali sana credibility ya habari nayoweka hapa kama reference ya ku support hoja yangu. Ni sources ambazo zinakubalika academically!

Kama unataka naweza kutafsiri ndo niweke. Otherwise nina imani kwamba unaelewa vyema unachosoma.

Trump inherited a strong economy that got stronger…

-Unemployment: Under Obama, unemployment was cut from a recession-peak of 10 percent to only 4.7 percent. It has continued to drop and now is extremely low at 3.6 percent.5

-Job growth: By the end of the Obama administration, the economy had experienced 76 consecutive months of job growth. Since Trump became president, the streak has been extended to 109 consecutive months.

-Average monthly job growth: During the last 33 months of the Obama administration, non- farm job growth averaged 224,000 per month. During the first 33 months of the Trump administration, the average was 34,000 jobs per month less.

-GDP growth: Average real GDP growth was roughly the same (2.6 percent) for the first 11 quarters under President Trump (ending Sept. 2019) and for the last 11 quarters of the Obama administration.

-Income: During the last two years of the Obama administration, annual median household income increased $4,800. This is three times more than the $1,400 increase during the first two years of the Trump administration.6

Did Trump Create or Inherit the Strong Economy?

-The stock market: President Trump frequently points to the stock market as evidence of his success, even though it is a poor proxy for the nation’s overall economic well-being since nearly half of Americans do not own stock, either directly or indirectly.

However, even by this measure, he lags behind President Obama. Between President Trump’s Inauguration Day and November 2019, the Dow Jones Average increased more than 40 percent, while over the eight years of the Obama administration, the DJIA increased almost 150 percent – a substantially greater pace.

Mainstream economists say the economy was strong before Trump took office
Greg Mankiw, chairman of the Council of Economic Advisers under George W. Bush, states that “... the economy was in fine shape at the end of the Obama administration, despite what President Trump sometimes asserts.”7

A substantial part of economic progress under Trump occurred before his signature economic policy took effect
President Trump’s most significant economic policy, his $1.9 trillion tax cuts, did not take effect until January 2018—a year after he took office. By that time, unemployment had dropped from 4.7 to 4.1 percent, household incomes had increased $850 and 2.3 million new jobs had been created.

The tax cuts may have caused a slight “sugar high” – but at a very high price
The 2017 tax cuts likely added some fuel to the already-hot economy because they increased corporate profits (benefiting shareholders) and gave individuals more money to spend. However, many economists say that the “sugar high” from the tax cuts is wearing off. In fact, business investment has declined for two consecutive quarters and a recent analysis by the New York Times found no relationship between the size of the tax cut companies and industries received and their investments.8 In the long term, the $1.9 trillion in new federal debt likely will weigh down the economy.9
Trump’s trade war hurts consumers, businesses and the economy

American businesses and consumers, not foreigners, pay tariffs. Although the tariffs hurt China by reducing demand for more Chinese goods, they also hurt American businesses that pay the tariffs, American consumers who buy the higher-priced products, American farmers who are hit with reciprocal tariffs, and the economy, which is weighed down by the interaction of these forces.
One analysis finds that the trade war with China has already cost 300,000 American jobs and the number could rise to 450,000 by the end of the year.10 Furthermore, the Congressional Budget Office estimates that the trade war will reduce GDP by 0.3 percent in 2020.11 There clearly are American casualties in the trade war—the magnitude of the long-term damage is yet to be seen.

Trump inherited a strong economy—will he screw it up?

It is clear that Trump inherited a strong economy that was still trending upward when he entered office—those trends have continued. The economy may have received a small boost from the 2017 tax cuts, but many economists believe that “sugar high” will be short-lived. Meanwhile, the Trump trade war has hurt American consumers and businesses, and it may slow future economic growth. In short, Trump inherited a strong economy from Barack Obama. The question is whether he will screw it up.

Back
Top Bottom