Kamala Harris: “Mimi ni mwanasheria, Trump ni muhalifu aliyekutwa na hatia mahakamani”

Kamala Harris: “Mimi ni mwanasheria, Trump ni muhalifu aliyekutwa na hatia mahakamani”

Mushi..

Sikatai kwamba Obama aliingia madarakani wakati Wa American Great Reccesion ya mwaka 2008 iliyosababishwa na Bush..

Ila Obama ni Miongoni mwa Marais waliochangia Kukua Kwa Deni la Taifa, Najua lengo lake halikuwa baya Lilikuwa ni Kufanya Stimulus ya Uchumi..

Kama unakumbukumbu Obama Kaingia Madarakani mwezi january 2009 Deni la Taifa likiwa $ 10.6 Trilioni..

Ila mwezi kwenye Fiscal Year 2009 (Mwishoni mwa September 30, 2009) Deni la Taifa lilikuwa around $11.9 trillion mpaka $12 Trillion..

Ambayo Ni sawa Na Ongezeko la 12.3%..
Au sawa na $ 1.4 Trilioni ndani ya Miezi 7 mpaka 8

Fiscal Year 2010 Deni la Taifa lilikuwa approximately $13.5 trillion.
Fiscal Year 2011: Deni la Taifa lilikuwa approximately $14.8 trillion.
Fiscal Year 2012: Deni la Taifa lilikuwa approximately $16.1 trillion.
Fiscal Year 2013: Deni la Taifa lilikuwa approximately approximately $16.7 trillion.
Fiscal Year 2014: Deni la Taifa lilikuwa approximately $17.8 trillion.
Fiscal Year 2015: Deni la Taifa lilikuwa approximately $18.2 trillion.
Fiscal Year 2016: Deni la Taifa lilikuwa approximately approximately $19.6 trillion.

Ukiangalia Aliingia Deni lilikuwa 10.6Trillion ila katoka liko 19.6 Trillion ongezeko la Trillioni 9..
Ambayo ni Sawa na Ongezeko la 84.91%

Bado unataka niendelee Kuelezea??
Obama alifanya kosa moja tu...baada ya kupata ushindi mnono na kuchukua both houses aliamini angeweza kuwashawishi Republicans wafanye kazi pamoja, alikosea sana. Ni hapo udhaifu wake ulipoonekana wazi kwani wapinzani wake walikuwa na mipango tofauti, kumkwamisha.

Hakusikiliza ushauri wa watu wake na matokeo yake hakupata mafanikio yaliyotarajiwa na wapiga kura wake. Kosa hilo alilijutia baadaye but then it was too late kwani ilimsababishia kufanya vibaya kwenye mid terms ikiwa ni pamoja na kupata ushindi mdogo na kupoteza house na ndoto yake!

Hata hivyo chini ya Obama mafanikio aliyopata hayawezi kuwa ignored kama alivyobainisha hapo juu Mkuu jmushi1
 
Hapana...... Hillary alikuwa mzoefu Sana kwenye siasa na kwenye sera za kimataifa tena akiungwa mkono mno hata na maveterani wa taasisi za Usalama ila bado Mzee Trump alimshinda.

Kamala hawezi kuwa kitisho kikubwa kwa Trump kuliko Hillary......labda tusubiri tuone.
Hilary Clinton alikuwa tishio kwa Trump, tena alikuwa na back up ya Mme wake Rais mstaafu Clinton na Obama, pia alikuwa maarufu kuliko Kamala lakini Trump alimgaragaza.
 
Obama alifanya kosa moja tu...baada ya kupata ushindi mnono na kuchukua both houses aliamini angeweza kuwashawishi Republicans wafanye kazi pamoja, alikosea sana. Ni hapo udhaifu wake ulipoonekana wazi kwani wapinzani wake walikuwa na mipango tofauti, kumkwamisha.

Hakusikiliza ushauri wa watu wake na matokeo yake hakupata mafanikio yaliyotarajiwa na wapiga kura wake. Kosa hilo alilijutia baadaye but then it was too late kwani ilimsababishia kufanya vibaya kwenye mid terms ikiwa ni pamoja na kupata ushindi mdogo na kupoteza house na ndoto yake!

Hata hivyo chini ya Obama mafanikio aliyopata hayawezi kuwa ignored kama alivyobainisha hapo juu Mkuu jmushi1
Well said.
 
100% Agreed
 
Siyo kweli, Soma tena hii kisha urudi hapa. Halafu unasoma kweli navyokuwekea? Jaribu kutulia, usome na kuelewa. Halafu tambuwa kwamba huwa niko makini sana na source za habari zangu. Ninajali sana credibility ya habari nayoweka hapa kama reference ya ku support hoja yangu. Ni sources ambazo zinakubalika academically!

Kama unataka naweza kutafsiri ndo niweke. Otherwise nina imani kwamba unaelewa vyema unachosoma.

Trump inherited a strong economy that got stronger…

-Unemployment: Under Obama, unemployment was cut from a recession-peak of 10 percent to only 4.7 percent. It has continued to drop and now is extremely low at 3.6 percent.5

-Job growth: By the end of the Obama administration, the economy had experienced 76 consecutive months of job growth. Since Trump became president, the streak has been extended to 109 consecutive months.

-Average monthly job growth: During the last 33 months of the Obama administration, non- farm job growth averaged 224,000 per month. During the first 33 months of the Trump administration, the average was 34,000 jobs per month less.

-GDP growth: Average real GDP growth was roughly the same (2.6 percent) for the first 11 quarters under President Trump (ending Sept. 2019) and for the last 11 quarters of the Obama administration.

-Income: During the last two years of the Obama administration, annual median household income increased $4,800. This is three times more than the $1,400 increase during the first two years of the Trump administration.6

Did Trump Create or Inherit the Strong Economy?

-The stock market: President Trump frequently points to the stock market as evidence of his success, even though it is a poor proxy for the nation’s overall economic well-being since nearly half of Americans do not own stock, either directly or indirectly.

However, even by this measure, he lags behind President Obama. Between President Trump’s Inauguration Day and November 2019, the Dow Jones Average increased more than 40 percent, while over the eight years of the Obama administration, the DJIA increased almost 150 percent – a substantially greater pace.

Mainstream economists say the economy was strong before Trump took office
Greg Mankiw, chairman of the Council of Economic Advisers under George W. Bush, states that “... the economy was in fine shape at the end of the Obama administration, despite what President Trump sometimes asserts.”7

A substantial part of economic progress under Trump occurred before his signature economic policy took effect
President Trump’s most significant economic policy, his $1.9 trillion tax cuts, did not take effect until January 2018—a year after he took office. By that time, unemployment had dropped from 4.7 to 4.1 percent, household incomes had increased $850 and 2.3 million new jobs had been created.

The tax cuts may have caused a slight “sugar high” – but at a very high price
The 2017 tax cuts likely added some fuel to the already-hot economy because they increased corporate profits (benefiting shareholders) and gave individuals more money to spend. However, many economists say that the “sugar high” from the tax cuts is wearing off. In fact, business investment has declined for two consecutive quarters and a recent analysis by the New York Times found no relationship between the size of the tax cut companies and industries received and their investments.8 In the long term, the $1.9 trillion in new federal debt likely will weigh down the economy.9
Trump’s trade war hurts consumers, businesses and the economy

American businesses and consumers, not foreigners, pay tariffs. Although the tariffs hurt China by reducing demand for more Chinese goods, they also hurt American businesses that pay the tariffs, American consumers who buy the higher-priced products, American farmers who are hit with reciprocal tariffs, and the economy, which is weighed down by the interaction of these forces.
One analysis finds that the trade war with China has already cost 300,000 American jobs and the number could rise to 450,000 by the end of the year.10 Furthermore, the Congressional Budget Office estimates that the trade war will reduce GDP by 0.3 percent in 2020.11 There clearly are American casualties in the trade war—the magnitude of the long-term damage is yet to be seen.

Trump inherited a strong economy—will he screw it up?

It is clear that Trump inherited a strong economy that was still trending upward when he entered office—those trends have continued. The economy may have received a small boost from the 2017 tax cuts, but many economists believe that “sugar high” will be short-lived. Meanwhile, the Trump trade war has hurt American consumers and businesses, and it may slow future economic growth. In short, Trump inherited a strong economy from Barack Obama. The question is whether he will screw it up.

Unajua Tunatofautiana Kidogo sana, Mimi Namuomgelea Obama kama Obama Bila Kufanya Comparison na Trump..

Kwa sababu Ukimchukua Obama ukafanya Comparison na Trump Utamuona Obama ni Rais Bora sana Kuliko Trump on matter of everything...

Ni sawa Na kumchukua KIKWETE na kumfanyia Comparison Na Magufuli..

Ila ukimchukua Mmoja mmoja Utaona Mapungufu yao bila kufanya Comparison na mwingine..

But so Far Wote tunakubaliana Uongozi wa Trump ulikuwa Mbovu Kuliko wa Obama na wa kibaguzi pia..

Lakini kulingana na Hali ilivyo sasa, Nchi Haihitaji tena Sera za Obamalism.. ambazo Kamala Tunaona ana chembe chembe hizo za Sera hizo...
 
Huwezi kusema ni bora au siyo bora bila kulinganisha na mwingine.

Either ulimlinganishe na marais waliotoka Republican, au na marası kutoka chama chake cha Democratic.

Huwezi kusema siyo bora ama ni bora kwenye uchumi. Zaidi au chini ya nani?

Hapo tayari umeshakosea. Hakuna mantiki.

Lakini mimi nilidhani unazungumzia ubora wa Trump kwenye uchumi na ndiyo maana nikakuletea hizo facts.

Hapa wewe unazungumzia Kikwete na Maghufuli ambao wametokea chama kimoja cha ccm.

Sasa kama unataka tujadili mengine zaidi ya hoja ya uchumi ambayo uliileta hapo awali. Basi ni sawa tu. Lakini malizia moja kwanza then twende kwenye jingine. Mfano hayo unayoyasema kuhusu ubaguzi nk.

Mimi Trump nampenda kwenye issue moja tu ya kuwa kinyume na ushoga nk.

Kwingine ndo napishana naye sana.
 
Huyu mama akipita ushoga na usagaji itakuwa kipaumbele kwenye kila nchi inayoishabikia America
 
Hilary Clinton alikuwa tishio kwa Trump, tena alikuwa na back up ya Mme wake Rais mstaafu Clinton na Obama, pia alikuwa maarufu kuliko Kamala lakini Trump alimgaragaza.
Nawasikitikia sana baadhi ya Watanzania kama wewe mliojiaminisha kuwa mnajua kumbe hamjui kitu. Hujui siasa za Marekani na ni heri mngekaa kimya na kusoma maoni ya wanaojua ili angalau mjifunze.

Ushindi wa Trump mwaka 2016 uliwapa nafasi Wamarekani kumjua a proven and convicted felon. Hakuna namna Trump anaweza kushinda Urais tena kwani ustaarabu huendana na kutorudia kosa la awali.

Kwa Tanzania, mtu kama Trump anaonekana kama shujaa! Kwetu Rais ni mungu asiyegusika na ukimgusa umekufuru. Tunashindwa kuiheshimu na kuitetea hata hiyo Katiba tuliyoapa kuifuata na kuilinda.

Kukaa kimya huficha ujinga kuliko kuropoka hovyo na kujiumbua ulivyo mtupu kichwani, mnatia aibu. Kwa bahati mbaya zaidi idadi ya wajinga inazidi kuongezeka hapa nchini kwa kiwango cha kutisha.
 
Ushindi wa Trump mwaka 2016 uliwapa nafasi Wamarekani kumjua a proven and convicted felon. Hakuna namna Trump anaweza kushinda Urais tena kwani ustaarabu huendana na kutorudia kosa la awali.
Never say never......
 
We

Well said
 
Kuna Baadhi ya Vita Alizichochea Kufanyika..Bila hata sababu..
Matumizi ya Gharama kubwa ya Bajeti kwenye Vita akifananishwa na Bush mkuu Ingawa walitamani Kipindi cha Obama kungekuwa na Bajeti ndogo ya Kivita ila haikuwa hivyo..
Uchumi ulianza kushuka kipindi cha Obama
Ok
 
Beberu likimgeukia asianze kulialia maana linatiririka facts tu lile. Further, lina a very clear vision about America he wants to build. Huyo mama zaidi ya zali sidhani kama ana la zaidi.
Umepigilia msuri kwenye kidonda jamaa lipo vyema sana sana hizo siasa uchwara za huyo maza zitamtokea puani maana li mwamba likianza kutema madini dunia yote husikiliza

Yeye (Haris) ajikite kwenye kuuza sera atalifanyia nini taifa akichaguliwa kuliko kutegemea mbeleke maana jamaa halichafukiki

Kama ni lihalifu imeshindikana nini kwenda kunyea debe? ...Ukweli ni kwamba hizo figisu zimeshagonga mwamba na hata raia wameshajua kuna figisu za kipumbavu

Itoshe kusema hakuna wa kumzuia Trump si Marekani yenyewe wala Iran
 
Nimegundua USA hawataki Rais mwanamke. Ni kama huku kwetu,ukweli hata sisi hatumtaki.
 
Sawa Mkuu lakini Unasahau kuwa Urais Marekani uchaguzi haufanyiki kama Tanzania Kuna level Mbili za Uchaguzi Kuna Federal Level na kuna Local level..

Uchaguzi wa Local Level ndo huwa unafanywa kwenye ballot na ndo unaitwa Indirect Election..(Huu ndo unasema kwamba Gen Z wanaweza wakashinda)

Halafu kuna federal Level ambayo kuna Electoral College Humu Sasa Electors wanakutana pale December in December Kupiga kura zao za president na vice president. Kila state’s number of electors huwa sawa na Namba ya Masenators na Representatives in Congress..

Na ili Uhesabiwe Umeshinda urais unatakiwa Kushinda Kura 270 out of 538..

Sasa Kama utapata Chini Ya hapo Na umeshinda kwenye Local Election bado unahesabika Umeshindwaa urais..

Na Ndo maana Nikasema Kuwa Wananchi hata wakimpigia Kura Kamala Bado kuna Kizuizi kwa Masenetor ambao.ndo electors wakuu
Hapa nadhani unazungumzia umuhimu wa “Battleground states”

Ziko sita kama sikosei. Mara zote “Battleground states” ndizo ambazo huamuwa mshindi wa urais na siyo popular votes peke yake. Nitaweka uzi wa “battleground states” ili tufuatilie nani anaongoza. Ambapo hadi usawa huu Trump yuko juu ya Harris. Hata hivyo Harris anapunguza “gap” kadri muda unavyokwenda.
 
Kuna Baadhi ya Vita Alizichochea Kufanyika..Bila hata sababu..
Matumizi ya Gharama kubwa ya Bajeti kwenye Vita akifananishwa na Bush mkuu Ingawa walitamani Kipindi cha Obama kungekuwa na Bajeti ndogo ya Kivita ila haikuwa hivyo..
Uchumi ulianza kushuka kipindi cha Obama
Uchumi ulianza kushuka kipindi cha Obama?

Weka hapa source ya hiyo taarifa yako.
 
Hilary Clinton alikuwa tishio kwa Trump, tena alikuwa na back up ya Mme wake Rais mstaafu Clinton na Obama, pia alikuwa maarufu kuliko Kamala lakini Trump alimgaragaza.
Situation ya Hillary na Kamala hazifanani.
 
Back
Top Bottom