Kamala Harris: “Mimi ni mwanasheria, Trump ni muhalifu aliyekutwa na hatia mahakamani”

Kamala Harris: “Mimi ni mwanasheria, Trump ni muhalifu aliyekutwa na hatia mahakamani”

Hichi kimama hakitoboi sababu kimeshiriki kumwaga damu za watoto wa Palestine na wanawake wa Palestine na wazee wa Palestine.

Mumgu asimbariki kabisa yeye na Biden na Blinken na Lloyd Austin
 
Kamala kuwa Rais Marekani ni Vigumu sana kwanza Ni Black President contestant Pili Ni mwanamke..

Marekani ukishakuwa Mwanamke Kupata Urais Ni Vigumu sana 😅😅..

Sasa jiulize Imposible alizonanzo zote mbili Kwanza ni Black pili Ni mwanamke..

Hapo ni Ngamia Kupenya kwenye Tundu la sindano 😅😅😅...

Anaweza akamshinda Trump.kwenye Kura Ila kwenye Wadau Akagaragazwa..

Marekani hawana Imani tena Na weusi kwa Kile Obama alichofanya 😅😅🤣🤣..

Sisi weusi tuko Very selfish Japo tunacheka Usoni..

So hii Ni Kura ya Turufu ya Kushinda Kwa Trump...

Obama angechagua Contestant mwingine chama chake kingeshinda
Mkuu Obama alifanya nini cha kukosesha imani?
 
Unaweza ukawa una jambo kwenye fikra zako.Lakini,ukiingia uwanjani ni tofauti na uhalisia.Ulitarajia bibi.Hilary Clinton ashindwe kwa Trump?Kwa nini?Kamala ana infuence zaidi ya Obama?
Bado unaendeleza kasumba ya kudharau jinsia ya kike, siamini kama Hillary alikuwa akimtegemea mumewe kushinda Urais U.S, hata yeye kwenye kampeni zake alisisitiza anasimama kama yeye.

Leo Kamala anaingia kwenye kampeni akiwa na sifa na vigezo vingi zaidi ya Hillary, hii peke yake inaonesha Trump ana wakati mgumu zaidi kwa Kamala.

Ndio maana kwa kuanzia nimeona mahala Trump anaogopa mdahalo wa September dhidi ya Kamala, amesema hatashiriki, anajua u prosecutor wa Kamala hautamuacha salama.

So, kumlinganisha Kamala na Hillary dhidi ya Trump, ni vitu viwili tofauti.
 
Bado unaendeleza kasumba ya kudharau jinsia ya kike, siamini kama Hillary alikuwa akimtegemea mumewe kushinda Urais U.S, hata yeye kwenye kampeni zake alisisitiza anasimama kama yeye.

Leo Kamala anaingia kwenye kampeni akiwa na sifa na vigezo vingi zaidi ya Hillary, hii peke yake inaonesha Trump ana wakati mgumu zaidi kwa Kamala.

Ndio maana kwa kuanzia nimeona mahala Trump anaogopa mdahalo wa September dhidi ya Kamala, amesema hatashiriki, anajua u prosecutor wa Kamala hautamuacha salama.

So, kumlinganisha Kamala nay Hillary dhidi ya Trump, ni vitu viwili tofauti.
Hayo ya kasumba umeyawaza wewe.Yote kwa yote,tusubiri wino utakavyofanya yake kuliko mate.
 
Trump na genge lake wanapenda siasa za majitaka na zilikuwa zinawalipa vizuri tu.., Biden hawezi mikiki kama hiyo,Sasa wamemletea mwadada Kamala, mtoto wa mjini, dada anawasha moto mpaka hapa tz!..,sote tunaona walamba viatu wa Putin walivyohamaki kama nyoka aliyemwagiwa mafuta ya taa😅
 
Putin hapo alipo anapiga konyagi tu akisubiria kwenda whitehouse kushuhudia Trunp akila kiapo
Waziri wa Kaskazini, tatizo la watu kama wewe ni kwamba mnapenda kudandia mada zinazowazidi kimo. Je unajua kwa nini hukumu ya kesi ya Trump haikutolewa? Nina wasi wasi kama unajua kwa nini hadi sasa ni mtu huru. Pona yake ni kushinda, full stop!

Kosa si kosa ila kurudia kosa. Mpe mtu madaraka ndio utajua tabia yake na vuta subira kampeni zianze. Trump alipewa madaraka na kwa miaka mitano tabia yake ilijionesha hata kwa kipofu. Kwa sasa hukumu imewekwa pembeni kwa kuheshimu tu takwa la Katiba.

Trump atatakiwa kujibu mengi sana na kubwa lao ni kuwa yeye ni mhalifu kwani alishtakiwa na akapatikana na hatia ila hukumu haikutolewa. Pamoja na hilo zipo kesi zinamsubiri ila kwa sababu aliibuka na kuwa mgombea rasmi wa chama chake zilisimamishwa.
 
Umeshamsahau Obama tayari, why mna memory fupi sana?

Unaonekana kuidharau rangi yako ya ngozi kwasababu hujiamini, kama ungekuwa unajiamini usingezungumzia kigezo cha rqngi kama sababu ya kushindwa kwake.

Hata hoja yako ya pili ya mwanamke, sijui nani alikwambia Marekani ni marufuku kuongozwa na Rais mwanamke, au ulisoma wapi kwenye sheria zao? hata wakati wa Obama mlisema Marekani haiwezi kuongozwa na mweusi ikaja kuwa, na huyu nae atakuja kuku prove wrong, if not yeye basi its a matter of time.
Mkuu Hilary clinton amegombea Mara Ngapi??
Ameshinda Marais wanawake wamegombea mara Ngapi Yupi aliyewahi kushinda Historia Mara nyingi inatabia ya Kujirudia..

Pili sijamshahau Obama ila nimesema Black female Contestant hilo ni tukio la kwanza kwa marekani..

Kingine sidharau ngozi yangu Boss ila usisahau Marekani Bado inakumbwa na Unyanyasaji na Ubaguzi wa Rangi Imekuwa Ikikumbwa na Ubaguzi wa Rangi Tangu wapate Uhuru mwaka 1776..

Japo inapungua Ila kuna Majimbo ipo kwa kasi sana..Nimewahi kuishi Baadhi Ya majimbo Marekani mtu mweusi Huonekana kama Muhalufu kabla hata Hujafanya chochote..

Na Marekani wana Mfumo Dume Pia wanaamini Mwanamke hawezi kuongoza Mwanaume nenda Texas Utaona...

Kingine Marekani sio Kama Tanzania....
Marekani imekusanya states na Kila state ina Sheria zake na taratibu zake..
 
Trump ndio anakuja kuwachinja vizuri.
Mstafu wa JWTZ hivi we unadhani America yule wazamani akwadanganya watu anaona mpaa sisimizi nani anamuam8ni tena 😄

Iran, Hezbullah, Hamasi, Al Houth wanajitegemea wenyewe sasa hivi kutengeneza silaha na hao Hezbullah. Hamasi na Al Houth wanapeleka vijana wao Iran kusomea namna ya kutengeneza silaha, US na Israel wanachemsha tu hapo.

Wewe Mtu anatumia Missile ina cost 2 Million kuangusha Misile au drone haicost hata 5000 $

Tazama Wanajeshi Wa Israel wanavyo malizwa huko kwenye border ya Lebanon


View: https://youtube.com/shorts/hmkTX8K94k0?si=jBipiOdy1hh2bOz_
 
Kweli unaongea mambo jambo kama jina lako! Unaposema anaweza kushinda kura Ila kwenye wadau akashindwa unamaanisha delegates?

Kwa taarifa yako, generation Z ndo watakaoamuwa mshindi wa urais marekani.

Fuatilia misimamo yao kisha urudi hapa kuongea.
Sawa Mkuu lakini Unasahau kuwa Urais Marekani uchaguzi haufanyiki kama Tanzania Kuna level Mbili za Uchaguzi Kuna Federal Level na kuna Local level..

Uchaguzi wa Local Level ndo huwa unafanywa kwenye ballot na ndo unaitwa Indirect Election..(Huu ndo unasema kwamba Gen Z wanaweza wakashinda)

Halafu kuna federal Level ambayo kuna Electoral College Humu Sasa Electors wanakutana pale December in December Kupiga kura zao za president na vice president. Kila state’s number of electors huwa sawa na Namba ya Masenators na Representatives in Congress..

Na ili Uhesabiwe Umeshinda urais unatakiwa Kushinda Kura 270 out of 538..

Sasa Kama utapata Chini Ya hapo Na umeshinda kwenye Local Election bado unahesabika Umeshindwaa urais..

Na Ndo maana Nikasema Kuwa Wananchi hata wakimpigia Kura Kamala Bado kuna Kizuizi kwa Masenetor ambao.ndo electors wakuu
 
Mkuu Obama alifanya nini cha kukosesha imani?
Kuna Baadhi ya Vita Alizichochea Kufanyika..Bila hata sababu..
Matumizi ya Gharama kubwa ya Bajeti kwenye Vita akifananishwa na Bush mkuu Ingawa walitamani Kipindi cha Obama kungekuwa na Bajeti ndogo ya Kivita ila haikuwa hivyo..
Uchumi ulianza kushuka kipindi cha Obama
 
Back
Top Bottom