Kamanda Andrew aliyetia nia ya kumrithi mchungaji Msigwa Iringa mjini asimamishwa kazi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katika hali isiyoeleweka kama ni figisu za mchungaji Msigwa ama la, Mwalimu Andrew Palagio aliyetia nia kugombea ubunge Iringa mjini kwa tiketi ya Chadema amesimamishwa kazi.

Andrew ni mwalimu katika shule ya St Dominic Savio katika manispaa ya Iringa.

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
 
Too low...Iringa Mjini Mch. Msigwa hana haja ya kufanya fitna kwa wanaCHADEMA wenzake. Anakubalika kwenye chama chake vya kutosha. Si kama kule kwenye kufuata utaratibu kuliko katiba, kwenye chama chao kutafanyika mchakato na mshindi atapatikana.
 
Ngoja tuone.....Kimbe naye katia nia!
 
Back
Top Bottom