kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Mzee Muroto nakukumbusha muda wa kutoa amri umekwisha rasmi umeingia kupokea amri. Umestaafu ukiwa umejikita zaidi kutetea chama kuliko Jeshi, nikuombe uwasiliane na chama kione wataweka utaratibu gani wakukuwezesha kuwahi kuamka kwenda sehemu kujikeep busy.
Nakukumbusha pia kwamba maisha mapya unayoanza yana kadhia kwa watu Kama wewe, wengi watatamani kujua unafanya nini mtaani au unasimamia bishara gani, please usifungue kampuni ya ulinzi utamaliza pensheni bure.
Nikutakie maisha marefu uendako