Kamanda Gilles Muroto Astaafu, karibu uraiani upambane

Kamanda Gilles Muroto Astaafu, karibu uraiani upambane

Mzee Muroto nakukumbusha muda wa kutoa amri umekwisha rasmi umeingia kupokea amri. Umestaafu ukiwa umejikita zaidi kutetea chama kuliko Jeshi, nikuombe uwasiliane na chama kione wataweka utaratibu gani wakukuwezesha kuwahi kuamka kwenda sehemu kujikeep busy.

Nakukumbusha pia kwamba maisha mapya unayoanza yana kadhia kwa watu Kama wewe, wengi watatamani kujua unafanya nini mtaani au unasimamia bishara gani, please usifungue kampuni ya ulinzi utamaliza pensheni bure.

Nikutakie maisha marefu uendako

Sasa ni muda sahihi atuambie ni nani alimpiga Lissu risasi. Pia atuambie kwanini alizuia gari ya Lissu isitoke pale polisi.
Zaidi atuambie kina nani waliondoa Cctv cameras kule makazi ya Lissu.
Sasa hana mlinzi wala nani. Atapata tabu sana.
 
Lama
Mzee Muroto nakukumbusha muda wa kutoa amri umekwisha rasmi umeingia kupokea amri. Umestaafu ukiwa umejikita zaidi kutetea chama kuliko Jeshi, nikuombe uwasiliane na chama kione wataweka utaratibu gani wakukuwezesha kuwahi kuamka kwenda sehemu kujikeep busy.

Nakukumbusha pia kwamba maisha mapya unayoanza yana kadhia kwa watu Kama wewe, wengi watatamani kujua unafanya nini mtaani au unasimamia bishara gani, please usifungue kampuni ya ulinzi utamaliza pensheni bure.

Nikutakie maisha marefu uendako

Kama hakujipanga vizuri kimaisha atapata kipigo cha mbwa koko cha maisha.
 
Nikutakie maisha marefu uendako
susp.png
 
Jamani mbwa koko aliwakosea mini?
Kama ni wasomali ilikuwa sehemu kazini.
Kama ni Bawacha aliwambia wavae bukuta.
TATIZO NI NINI?
Ila yawezekana zilikuwa ni biti tu, maana ukiacha tukio la Lissu sijawahi kusikia kaua mtu, kurundika innocents mahabusu au kupiga watu.

Biti zake huwa zinaepusha madhara.

Mwingine, anaweza asipige biti ili mjitokeze afanye maumivu.
 
Linaonekana linajua sana kubana pesa hili liafande umbwa
 
PSSSF watamsumbua pensheni huyu mzee hadi aombe poo. Atamaliza soli za viatu kufatilia pensheni zake. Hii ndio bongoland!
Wale wahuni hawaangaliagi manyota ya mabegani unawekwa benchi na vijamaa vidogooo mpaka unachanganyikiwa labda kama alikua anapiga dili za rushwa underground vinginevyo miaka hii ukistaafu nikama death sentence
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mzee Mroto..jua tu kuwa watu hawakupendi sana.. wanakuombea hata kesho tu umfuate boss wako wa zamani
 
Wale wahuni hawaangaliagi manyota ya mabegani unawekwa benchi na vijamaa vidogooo mpaka unachanganyikiwa labda kama alikua anapiga dili za rushwa underground vinginevyo miaka hii ukistaafu nikama death sentence
Ukienda wanakwambia meneja kasafiri njoo wiki ijayo.
Wiki ijayo ukienda wanakwambia network ipo down njoo kesho
Kesho ukienda wanakwambia kuna document inammiss nenda wa afisa utumishi wako akupe nyingine...

Ha ha ha kumbe hela hawana za kukulipa.

Kuna Inspekta mmoja alistaafu 2017 hadi leo bila bila
 
Back
Top Bottom