kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Sabaya yupo wapi??Dua la kuku hilo
Mtateseka lakini mungu hajawa upande wenu
Kwani unafikili nini kitatokea?Sabaya yupo wapi??
Akumbuke kutii sheria bila shuruti.Mzee Mroto nakukumbusha muda wa kutoa amri umekwisha rasmi umeingia kupokea amri. Umestaafu ukiwa umejikita zaidi kutetea chama kuliko Jeshi, nikuombe uwasiliane na chama kione wataweka utaratibu gani wakukuwezesha kuwahi kuamka kwenda sehemu kujikeep busy...
Si Sabaya tu , muulize liliko kubwa la maaduiSabaya yupo wapi??
Hata kisipomtokea chochote ila politically (ambayo ndiyo career yake๏ผamekufa, tena akiwa mdogo sanaKwani unafikili nini kitatokea?
Anakuwa Mkuu wa Wilaya au DED hawezi kumuacha barabarani anyway all is possible!Mzee Muroto nakukumbusha muda wa kutoa amri umekwisha rasmi umeingia kupokea amri. Umestaafu ukiwa umejikita zaidi kutetea chama kuliko Jeshi, nikuombe uwasiliane na chama kione wataweka utaratibu gani wakukuwezesha kuwahi kuamka kwenda sehemu kujikeep busy...
Sijui itakuwaje huko mtaani atakapokutana na wale aliokuwa akiwapiga "Kipigo cha mbwa koko๐".....mpaka "Wakapata taabu sana"๐
Hata kama lkn hana tena powers kama alizokuwa nazo amuulize mwenzake Makonda aliyekuwa anazuia watu kuingia mjini.Kwani unafikili nini kitatokea?